Kasiane
Member
- Apr 20, 2016
- 82
- 57
Mtu asiye mpenda jirani yake mungu atakaaje ndani yake?unataka tuonngozwe na shetani? yes Mungu ndio anatuongoza kupitia Magufuli
Mtu asiye mpenda jirani yake mungu atakaaje ndani yake?unataka tuonngozwe na shetani? yes Mungu ndio anatuongoza kupitia Magufuli
wMindi,pole sana vitabu vya dini...vinasema hudumia wengine ndio ujifikilie unaongelea maslahi ya waalimu ,madaktari zaidi kumbuka kuwa madaktari ,waalimu ni Rais amejitahidi anaboresha maslahi yao mfano waalimu na madaktari wamepewa kipaumbele kwenye mikopo na stahiki zao za masomo.Jpm amewaundia tume zao za kudumu kushughulikia matatizo yao,mishahara yao ni mizuli vilevile,nyumba na vitu vingine vinakuja taratibu,Mitaala na mazingira wazili anajitahidi sana usiku na mchana...Tatizo kubwa sana ninaloliona ni kwamba Rais wetu hana mpangilio katika kufanya kazi zake. kwa mfano, aliamua kushughulikia tatizo la vitanda katika Hospitali. Ni kweli vitanda ni tatizo kubwa na linahitaji ufumbuzi. lakini je, katika muktadha wa afya na matibabu, ukosefu wa vitanda ndio tatizo namba moja? uwepo wa vitanda utapunguza vifo katika hospitali zetu kwa kiwango kikubwa? maana kuna matatizo ya vifaa tiba, kuna matatizo ya madaktari na wauguzi, na juu ya yote kuna matatizo ya mfumo. mfano kama hospitali za chini zinaimarishwa, maana yake mrundikano utapungua Muhimbili.
Katika Elimu, pamoja na matatizo lukuki yaliyopo katika sekta hii: ubovu wa mitaala, matatizo ya walimu, nyumba za walimu, madarasa, maabara, madawati, na mengine mengi, yeye akakomaa na madawati. ni kweli ni moja ya matatizo, lakini je, linaweza kuleta mabadiliko makubwa, impact kubwa katika elimu kama likitatuliwa kwanza hilo?
Kukosa mpangilio kunakuja pia katika maamuzi. ana utaratibu wa kutoa maamuzi ya ghafla. bila mpango, bila bajeti. mfano mzuri ni hii amri ya Serikali kuhamia Dodoma. haijulikani kama kuna tathmini imefanyika kuona impact ya kuhamia ghafla namna hii.
Mwendo wa namna hii matokeo huwa baadaye ni kujikuta umesababisha matatizo mengi kuliko unavyoweza kuyakabili. JK alikuwa na kawaida ya kupaa kwenda majuu mambo yanapomzidia. Magu yeye atakuwa na kautaratibu gani ili angalau apumue? kutumbua majipu zaidi?
Naomba kifungu kwenye katiba kinacho zuia Mbunge wa Magu kwenda kuhutubia Kyela!Je vyama visivyo na wabunge na madiwani kama cha Mrema ina maana kimekufa?ACT ya Zitto na NCCR ina maana vitafifia?Sababu hawana wabunge zaidi ya Kigoma na Vunjo!CHADEMA haitakiwi kufanya siasa ZNZ Sababu haina diwani wala Mbunge hukoMalafyale ,wewe hujui hata unachokisema waliofanya mkutano Tunduma jana mbona hawajazuiliwa,Tatizo unaongea bila kujitathimini,Rais ni mbunge wa Tanzania nzima,na kila mbunge anatakiwa kuhudumia watu wake..wewe Malafyale huwezi kutoka eneo lako la mbeya kufanya mikutano mwanza,utakuwa huwatendei watu wako haki.Kaa kituo chako cha kazi Fanya kazi na wananchi waliokuchagua,Tatizo la wabunge walikuwa wamebweteka hawaendi majimboni mwao kazi kula mishahara bila jasho ikikaribia uchaguzi hao...kama mvua,hataree...
Jibu swali kwanza ndio uje na ngojera zako hapa,Nanyi juzi kwenye mkutano wenu wa kupeana kiti mlimwitaje? Malaika! Mlimtaja mara nyingi na mtaendelea kumtaja mara nyingi kuliko mnavyolitaja jina la Mungu wenu. Wakurupukaji wakubwa ninyi msiokuwa na ubunifu zaidi ya kuvisubiri vichwa vibuni ili ninyi vilasa mliopindukia m-cut na kupaste. Akili ya kasuku nyie.
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaKoma kumuingiza Mungu kwenye mambo ya kiimani.
Akielekea Serengeti au Mikumi?mlisema Kikwete hatamaliza mda wake wa urais lkn leo ni rais mstaafu tena kastafu kwa Heshima.
hizi kelele zenu tushazizoea. Magufuli anazidi kuchanja mbuga,
Endelea kumtaja kwa sifa na mapambio. Kwani hiyo mahakama yenu bado? Mpelekeni muone mtakavyojiharishia. Huyo boss wako hatii mguu hapo kwa jinsi palivyo juu ya uwezo wake. Jibu unalo sasa kuwa siyo fisadi ni malaika mwelekezaji. Na hashtakiki.Jibu swali kwanza ndio uje na ngojera zako hapa,
mlivokaa mkamsema Lowasa ni Fisadi ule ulikuwa ukweli ama uwongo?
unless you are dummy ndio swali hili litakushinda.
We nawe usituchoshe bwana, slaa slaa. Km unahamu naye si umfuate huko canada.2005-2010 Dr Slaa akiwa HANA RUZUKU kubwa aliongeza wabunge kutoka 11 hadi 24,ongezeko la wabunge 13
2010-2015 RUZUKU ya Milion 206 kwa mwezi,Bilion 2.5 kwa mwaka tukaongeza wabunge 11 tu,pungufu wabunge wawili
Ukichora graph utaona inakuwa negative
Kwa ruzuku hii kubwa,kwa nguvu ile ya Dr Slaa na wenzake kabla hawa wageni hawajaja kutuvuruga ilipaswa tupate at least wabunge wapya 50 + hata kama tusingeshinda Presidency
Mbowe na wenzake wametuchezea sana!
Usisema bilataabu mkuu, nafikiri tuliyenaye amepatka kwa sababu ya taabu alizozipata jkHaya maneno mlisha yasema wakati wa jk, jamaa akamaliza muda wake bila tabu. Sasa mnayarudia, tatizo lenu mnafikiri hapa ni south sudan
Hahahahaha, mkuu umenichekesha sana.ccm jk kaiua hilo halikwepeki ngosha nae spidi mia ishirini shimoni
kwa hiyo si Fisadi ni Malaika sasa ivi tokea aje Chadema si ndio..?Endelea kumtaja kwa sifa na mapambio. Kwani hiyo mahakama yenu bado? Mpelekeni muone mtakavyojiharishia. Huyo boss wako hatii mguu hapo kwa jinsi palivyo juu ya uwezo wake. Jibu unalo sasa kuwa siyo fisadi ni malaika mwelekezaji. Na hashtakiki.
Kikubwa zaidi after election
Mbowe akatuletea Katibu Mkuu wake eti ndiyo atuvushe 2020
Ni katibu asiye na uwezo kabisa,akina Heche wakaachwa sababu eti ni watiifu kwa Dr Slaa
Nilicho gundua ni kuwa Mbowe lengo lake awe tu KUB
Apate walinzi na nyumba za bure Dodoma na Dar
Mbowe na wenzake hawana dhamira hata moja kuongoza dola
Kuandamana waende wenyewe
Husichoke kaka ,mambo bado ndiyo kwanzaaaIla kama mimi ndo nimechoka kabisa sina hamu.
HakunaaaaaaaaaaMagufuli nchi imemshinda kabisa, mpaka sasa hakuna hata kitu kimemoja ambacho ni kipaumbele cha serikali yke

Just for clarificationNyani Ngabu urais ni taasisi ukimuona rais anatoa maamuzi ujue information zote anazo
Hii ni hoja ambayo Watanzania wengi hawaioni.Naomba kifungu kwenye katiba kinacho zuia Mbunge wa Magu kwenda kuhutubia Kyela!Je vyama visivyo na wbunhe na madiwani kama cha Mrema ina maana kimekufa?ACT ya Zitto na NCCR ina maana vitafifia?Sababu hawana wabunge!CHADEMA haitakiwi kufanya siasa ZNZ Sababu haina diwani wala Mbunge huko
Rais kabla haja implement haya mambo yake ya hovyo hovyo abadili kwanza katiba