Mimi sijaribiwi,,tena wasinijaribu,bahati nzuri mimi ni wa tofauti Sana!mimi nilicheka niliposikia akisema MAJENGO YOTE YA SERIKALI YALIYOPO DAR NITAYAPIGA MNADA..
wajanja wakamshauri aanze na Ikulu ina bei nzuri !!

Nadhani mkuu hatakiwi apewe microphone kwan akipewa tu yeye hufikiri kutisha watu na matamko yasiyona tija kwa taifa. Kuna kitu nimekinotice, nafikiri mawaziri wake wameshamjua ndio maana wengi wako kimya sio kama walivyoanza.
mimi nilicheka niliposikia akisema MAJENGO YOTE YA SERIKALI YALIYOPO DAR NITAYAPIGA MNADA..
wajanja wakamshauri aanze na Ikulu ina bei nzuri !!
Subiri jumamosi atazungukia mtaani kwako aje kusafisha. Ndipo watanzania tulipofikia, mtu anapost uchafu wa mtaani kwao halafu anamhoji rais, kwa nini mtaa wetu bado ni mchafu!
Lkn Mbowe apumzike..hiyo inatoa changamoto kwa kila kiongozi wa cdm to pull up his/her socks kusaidia pale ambapo katibu mkuu amepungukiwa.
..yeyote ambaye angechaguliwa hapo lazima angeonekana anapwaya ukizingatia kipaji na mchango wa Dr.Slaa, katibu mkuu aliyetangulia.
..kila kiongozi sasa ajitume zaidi ya vile alivyokuwa akijituma wakati wa Dr.Slaa.
Ndio mkakati wa UKUTA?Na kwanza tuliosema huyu ni One term president inawezekana hata asikamilishe One Term
Ofcourse sio lazima akae madarakani miaka 5.
Lkn Mbowe apumzike
Tumshukuru kwa utumishi wake then apishe mawazo mapya ndani ya CHADEMA
Kubadili Katiba ili agombee pasipo UKOMO ni dharau kwa wanachama wengine wa CHADEMA

Vijana makini kibao tunao..uzuri wa mbowe ni kuwa una uhakika hawezi hama cdm.
..tuwe makini tusije tukachagua mwenyekiti halafu anahama kwenda ccm.
Kwa sasa ni TANZANIA sio tanganyika. Hayo mengine nakubaliana na wewe without reservationsWell spoken man! Kama sio mkamilifu basi ajue kwamba hana hatimiliki ya nchi hii la hasha! Peke yake hawezi kujenga tanganyika mpya endelevu; "Stronger together", kwa hiyo aongoze nchi kwa kulitambua hilo, not otherwise!
Heri anayeropoka lakini akatenda anayoyaamini kuliko anayeongea kwa urahimu harafu akatenda asiyoyaamini.Mkuu sasa hivi wananchi hatujui kesho ataropoka nini, sasa nimeelewa ni kwa nini mzee kitwanga na mama Kilango malecela wapo kimya
Wanasiasa mnafurahisha sana, kama waigizaji wa maigizo ya kibongo vile.Na kwanza tuliosema huyu ni One term president inawezekana hata asikamilishe One Term
Ofcourse sio lazima akae madarakani miaka 5.
Hivi ni mimi tu au na wengine mpo mnaoona kama vile mambo yashamshinda huyu Magufuli?
Kuna hali fulani hivi naiona ambapo jamaa ni kama anaamka tu kila asubuhi na kutoa maamuzi ya kukurupuka kurupuka.
Yaani yeye ni amri tu....fanya hivi....fukuza huyu....twende kule...nk.
Yapo baadhi ambayo ni mazuri ambapo mtu unaona kabisa hapa nia ni nzuri lakini kuna mengine yenye ukakasi sana hadi kunifanya nianze kuhoji hekima na busara za huyo bwana!
Anatupeleka Dodoma……Kwa akina MatonyaMimi nilichomwelewa ni kwamba anatutoa kwenye ufisadi wa fedha za umma, mtu masikini kunyanyaswa na mwenye mali, uzembe makazini upande wa waajiriwa wa serikali ILA ANAKOTUPELEKA NDO BADO SIJAMWELEWA.
Mfano?????????????????????Hivi ni mimi tu au na wengine mpo mnaoona kama vile mambo yashamshinda huyu Magufuli?
Kuna hali fulani hivi naiona ambapo jamaa ni kama anaamka tu kila asubuhi na kutoa maamuzi ya kukurupuka kurupuka.
Yaani yeye ni amri tu....fanya hivi....fukuza huyu....twende kule...nk.
Yapo baadhi ambayo ni mazuri ambapo mtu unaona kabisa hapa nia ni nzuri lakini kuna mengine yenye ukakasi sana hadi kunifanya nianze kuhoji hekima na busara za huyo bwana!
Ni kweliCHADEMA ingekuwa imara kama zamani huyu easily angeondoka 2020
Lkn kwa upinzani huu wa hovyo hovyo wa kutowasikiliza wanachama na kujiona viongozi kama Mungu watu
Wapinzani wanawatumia wanachama wao kwenye maadamano tu
Kwenye teuzi wanapuuzi kauli za wanachama wa kawaida
Wao na CCM hamna tofauti
Magufuli atashinda 2020 hata kukiwa na TUME HURU
Mark my words