Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,454
Kuwa na information ni jambo moja na kutoa maamuzi ni jambo jingine.Nyani Ngabu urais ni taasisi ukimuona rais anatoa maamuzi ujue information zote anazo
Kuwa na information ni jambo moja na kutoa maamuzi ni jambo jingine.Nyani Ngabu urais ni taasisi ukimuona rais anatoa maamuzi ujue information zote anazo
Ni kweli. Tulimsema sana na hata mimi nilimsema sana sana! Na kusema kweli mtu kama wewe au Kiranga akimsema naona kabisa ni katika kukosoa kwa haki kusiko na makandokando kwani hata Kikwete mlikuwa mnamchambua vilivyo. Ila mimi nina niko kwnye site na naona wengi ya waliokuwa kimya wakati wa Kikwete sasa hivi hawaishi kupiga kelele. Na hawa wako wengi sana sana!Hivi kuna kiongozi wa Tanzania ambaye keshawahi kupingwa na kukosolewa humu kumzidi Kikwete?
Uhai karibu wote wa JF Kikwete ndo alikuwa rais na watu tumemsema sana humu.
Yamshinde mara ngapi?Hivi ni mimi tu au na wengine mpo mnaoona kama vile mambo yashamshinda huyu Magufuli?
Kuna hali fulani hivi naiona ambapo jamaa ni kama anaamka tu kila asubuhi na kutoa maamuzi ya kukurupuka kurupuka.
Yaani yeye ni amri tu....fanya hivi....fukuza huyu....twende kule...nk.
Yapo baadhi ambayo ni mazuri ambapo mtu unaona kabisa hapa nia ni nzuri lakini mengine yana ukakasi kidogo.
asante nyani ngabu chukua soda kwa mangi ntalipaTaarifa zote angekuwa nazo basi kusingekuwepo na kuteua watu leo halafu kesho uteuzi unatenguliwa.



Mkuu OKW BOBAN SUNZU, napenda tu jinsi unavyopenda kuweka katiba,sheria,kanuni na taratibu mbele katika nyuzi zako,iwe maswali,taarifa au uchokonozi.Hakuna namna kwa mujibu wa katiba,ya kumtoa kabla hajaleta madhara makubwa?
Ukifanya utafiti mdogo utagundua huko mtaani wanaomshangalia magufuli ni " layman's " ambao wanafurahishwa na uropokaji wake.watu wenye akili wote washamgundua jamaa siyo.Rais ni Magufuli na ataendelea kuwa magufuli. huko anakopita ni shangwe na vigelegele. wananchi wanatamani aseme neno roho zao zifrahi. huku mko busy kutunga ngonjera na hadithi zisizo na vichwa wala miguu......
CC Chakaza.
Kila siku husema alikuwa hayupo tayari kuwa rais kakurupuka tu. Ndio maana kila kitu hajui nini anafanyaSwala siyo kuhamia Dodoma ila hiyo bajeti kaitoa wapi?anakurupuka kama kwamba tayari fedha ilisha pangwa na miundo mbinu yote muhimu tayari kaazi ipo.
Hakika kwenye neno ''wengi'' mtu kama wewe hutahusika hata kidogo. Nimekuwa nakufuatilia tangu wakati wa Kikwete na naweza kusema pasi shaka kuwa wewe ni mmoja ya watu wanaokosoa kwa kuwa kuna kasoro na sio vinginevyo.Wengi kina nani?
Mimi nimepiga kelele tangu Enzi za Mkapa.
Rais yeyote aliye madarakani atapigiwa kelele tu. Urais una mengi, na rais hawezi kupatia yote hata siku moja.
Kila siku inayopita kutakuwa cha kukosoa kuhusu serikali. Sasa watu wakimpigia kelele utasemaje kwamba walikuwa kimya wakati wa Kikwete?
Hao wengi kina nani? Unaweza kuwataja majina?
Na kwa nini huangalii hoja zao wanazomkosoa Magufuli tuzichambue kama zina msingi au hazina msingi unaanza kuangalia nani kasema nini?
Ni kweli. Tulimsema sana na hata mimi nilimsema sana sana! Na kusema kweli mtu kama wewe au Kiranga akimsema naona kabisa ni katika kukosoa kwa haki kusiko na makandokando kwani hata Kikwete mlikuwa mnamchambua vilivyo. Ila mimi nina niko kwnye site na naona wengi ya waliokuwa kimya wakati wa Kikwete sasa hivi hawaishi kupiga kelele. Na hawa wako wengi sana sana!
Asante kwa kunitoa.Hakika kwenye neno ''wengi'' mtu kama wewe hutahusika hata kidogo. Nimekuwa nakufuatilia tangu wakati wa Kikwete na naweza kusema pasi shaka kuwa wewe ni mmoja ya watu wanaokosoa kwa kuwa kuna kasoro na sio vinginevyo.
Mkuu,na hapa ndipo tunapoona kete ya CCM ya kumpa Raisi kofia ya Mwenyekiti wa chama.Bunge linaweza mfukuza kazi Rais
Lkn Bunge hili la TZ ambalo Rais anaogopwa hata kuhojiwa kwa kauli zake za hovyo kama hizi?
Usikaririshwe vitu vya hovyo kama hivi! Hakuna cha taasisi wala cha nini, Rais ni mmoja tu na hana ubia na mtu mwingine! Uamuzi ni wake peke yake binafsi!Nyani Ngabu urais ni taasisi ukimuona rais anatoa maamuzi ujue information zote anazo
Waliochoka n wapga dili.. Sisi maskini akhaaaaah tunamkubali ajabu.Ukipita mitaani watu washachoka na story zake...
biashara haziendi.....mood iliyopo ni kusubiri labda mambo yatanyooka soon...
sasa sijui yasiponyooka itakuaje....
And it is really interesting! Mimi ni wewe tujiulize ni kwanini kuna watu wanaona makosa upande mmoja tu!Kama mtu alifaidika na Kikwete haimuondoi uhalali wa kumkosoa Magufuli....
Urais wa Magufuli usiupime kwa kigezo cha Urais wa Kikwete
Urais wa Magufuli unapimwa kwa matatizo yanayojitokeza awamu hii ya tano
haijalishi Kikwete aliweza au hakuweza......
Na hapo ndipo ugumu wa kulinganisha marais wawili tofauti bila kuwa very detailed unalinganisha nini unapokuja.Kama mtu alifaidika na Kikwete haimuondoi uhalali wa kumkosoa Magufuli....
Urais wa Magufuli usiupime kwa kigezo cha Urais wa Kikwete
Urais wa Magufuli unapimwa kwa matatizo yanayojitokeza awamu hii ya tano
haijalishi Kikwete aliweza au hakuweza......
na wenye akili ndio walikua wanatafuna Nchii hii. sasa Magufuli anawanyoosha. vyovyote iwavyo ataawanyosha tu na Nchi itanyokaUkifanya utafiti mdogo utagundua huko mtaani wanaomshangalia magufuli ni " layman's " ambao wanafurahishwa na uropokaji wake.watu wenye akili wote washamgundua jamaa siyo.