Rais Magufuli yashamshinda?

Rais Magufuli yashamshinda?

Nyani Ngabu urais ni taasisi ukimuona rais anatoa maamuzi ujue information zote anazo
Hivi kweli eeh ??? Hata ile sukari ilisemwa imefichwa mbagala tani elf tano ilikua ni kweliiii eeh? ambayo wananchi waliambiwa watagaiwa bure.. Komaaaeni tuone mwisho wa tz
 
Anataka maombiiiiiiiiiiii na sisi Tume hokaaaaa,kila tukiomba anafukuza udom,tukiomba anaahidi kushughulikia bila huruma,tukiombaaa sukari inapanda,tukiombaaa
 
2005-2010 Dr Slaa akiwa HANA RUZUKU kubwa aliongeza wabunge kutoka 11 hadi 24,ongezeko la wabunge 13
2010-2015 RUZUKU ya Milion 206 kwa mwezi,Bilion 2.5 kwa mwaka tukaongeza wabunge 11 tu,pungufu wabunge wawili
Ukichora graph utaona inakuwa negative
Kwa ruzuku hii kubwa,kwa nguvu ile ya Dr Slaa na wenzake kabla hawa wageni hawajaja kutuvuruga ilipaswa tupate at least wabunge wapya 50 + hata kama tusingeshinda Presidency

Mbowe na wenzake wametuchezea sana!

Sio hoja iliyo mezani hapa ila hoja yako haitokuwa na ukamilifu sababu umesahau Cuf imeongeza idadi ya Wabunge ambao walichaguliwa na wanachama wa Chadema hasa kutokana na umoja wao wa Ukawa...
 
Nyani Ngabu ,

..mimi huyu nilishamshtukia tangu zamani.
..nilishaonya hapa JF kwamba Magu haamini ktk demokrasia ya vyama vingi na uhuru wa kutoa mawazo.

..nilishaonya kwamba ana dalili za ukatili. Kwamba akitekeleza sheria anafanya hivyo huku akikomoa.
..tulizungumzia tabia yake ya kutopima madhara ya kauli zake ktk majukwaa.

..tukio la mwisho lilikuwa lile la kuvaa KOMBAT za JWTZ. Binafsi tukio lile confirmed my suspicions kuhusu namna ambavyo atatawala.
..Ni kweli tulihitaji kiongozi who is very ASSERTIVE. lakini tumefanya makosa kutokuchagua wabunge wengi wa upinzani ambao wangeweza kumrudisha ktk mstari pale anapovuka mipaka ya madaraka yake.

NB.
..kuna tatizo ktk process ya kumpata Raisi kuanzia kwenye vyama vyetu vya siasa...mchakato ungekuwa wa wazi tungeweza kutambua tabia na mwelekeo wa wagombea Uraisi mapema.

..DEBATES pia zingetusaidia kuchuja wagombea na kupata mtu sahihi.
 
Sio hoja iliyo mezani hapa ila hoja yako haitokuwa na ukamilifu sababu umesahau Cuf imeongeza idadi ya Wabunge ambao walichaguliwa na wanachama wa Chadema hasa kutokana na umoja wao wa Ukawa...
Kwa nn basi wanachama wa CUF nao wasiichague CHADEMA ktk majimbo ambayo CUF hakuwa na wagombea?
 
Magufuli nchi imemshinda kabisa, mpaka sasa hakuna hata kitu kimemoja ambacho ni kipaumbele cha serikali yke
 
Nawaza kwa sauti mnayoyajadili.
Mungu awaongoze mfike tamati.

Ila Nchi inahitaji maombezi na sio kumwombea Kiongozi wake.
 
Hivi ni mimi tu au na wengine mpo mnaoona kama vile mambo yashamshinda huyu Magufuli?

Kuna hali fulani hivi naiona ambapo jamaa ni kama anaamka tu kila asubuhi na kutoa maamuzi ya kukurupuka kurupuka.
Yaani yeye ni amri tu....fanya hivi....fukuza huyu....twende kule...nk.

Yapo baadhi ambayo ni mazuri ambapo mtu unaona kabisa hapa nia ni nzuri lakini mengine yana ukakasi kidogo.
mkuu..ungeenda na mifano, source au reference za uhakika post ingekua na rangi za kupendeza kweli kweli.
 
Nyani Ngabu ,

..mimi huyu nilishamshtukia tangu zamani.

..nilishaonya hapa JF kwamba Magu haamini ktk demokrasia ya vyama vingi na uhuru wa kutoa mawazo.

..nilishaonya kwamba ana dalili za ukatili. Kwamba akitekeleza sheria anafanya hivyo huku akikomoa.

..tulizungumzia tabia yake ya kutopima madhara ya kauli zake ktk majukwaa.

..tukio la mwisho lilikuwa lile la kuvaa KOMBAT za JWTZ. Binafsi tukio lile confirmed my suspicions kuhusu namna ambavyo atatawala.

..Ni kweli tulihitaji kiongozi who is very ASSERTIVE. lakini tumefanya makosa kutokuchagua wabunge wengi wa upinzani ambao wangeweza kumrudisha ktk mstari pale anapovuka mipaka ya madaraka yake.

NB.

..kuna tatizo ktk process ya kumpata Raisi kuanzia kwenye vyama vyetu vya siasa.

..mchakato ungekuwa wa wazi tungeweza kutambua tabia na mwelekeo wa wagombea Uraisi mapema.

..DEBATES pia zingetusaidia kuchuja wagombea na kupata mtu sahihi.

Nimependa maoni yako.

Kweli Magufuli si kiongozi. Hana sifa za ukiongozi. Anafaa tu kuwa mtendaji, basi.

Hapo kwenye midahalo ni pazuri sana. Midahalo huwa ina faida nyingi sana.
 
Hivi ni mimi tu au na wengine mpo mnaoona kama vile mambo yashamshinda huyu Magufuli?

Kuna hali fulani hivi naiona ambapo jamaa ni kama anaamka tu kila asubuhi na kutoa maamuzi ya kukurupuka kurupuka.
Yaani yeye ni amri tu....fanya hivi....fukuza huyu....twende kule...nk.

Yapo baadhi ambayo ni mazuri ambapo mtu unaona kabisa hapa nia ni nzuri lakini mengine yana ukakasi kidogo.
Kama Kikwete aliweza kutawala Tanzania kwa miaka kumi, narudia tena kama.. aliweza kutawala kwa miaka kumi basi hata umweke ''prof'' Maji Marefu ataweza kutawala.... tena uongeze na mitano juu! Sasa kama Kikwete aliweza sembuse iwe Magufuli! Magufuli is million times better than Kikwete!
 
Hahaha sitii neno m 7noumer
 
Ukisema rais fulani ni bora kuliko rais fulani bila kuainisha unaongelea uwanja gani, tayari ushanioesha kwamba huna umakini.
 
Back
Top Bottom