Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
Wakati Anne Garia Mwenyekiti wa UVCCM anateuliwa kuwa Mbunge wa CHADEMA tena siku hiyo akiwa ofisini wakiandaa party ya kumpongeza Mbunge wa CCM kwa kuipokonya kiti CHADEMA Mbulu alikuwepo Dr Slaa madarakani?Umeruka hoja, Dk Slaa ni tatizo zaidi!
CHADEMA ilipo iruka slogan yake iliyowapa maarufu ya MAFISADI alikuwepo Dr Slaa madarakani?
CHADEMA inayopokea mabilion kwa mwaka lkn ikashindwa kuleta hata senti Kyela kumtoa Dr Mwakyembe alikuwepo Dr Slaa?