Rais Magufuli yashamshinda?

Rais Magufuli yashamshinda?

CHADEMA ilijipanga vyema sana 2010-2015 kabla Mbowe na akina Lissu hawajatuharibia mchakato wa kura za maoni

Kumtoa Dr Slaa kwa sababu za ajabu na baadae kuteua wabunge viti maalum ambao hata hawakuwa wana CHADEMA ndiyo kumeua chama hiki

CDM hakijafa. Ni chama kinachokua. Dr Slaa asingefika mbali kwenye mbio za uraisi. Binafsi naamini kupata wabunge wengi na madiwani pia, ndio hasa kuimarika kwa upinzani. Unapimaje kuimarika au kufa kwa chama? Kwa sababu Slaa ameenguliwa? Incredible!
 
Na kwanza tuliosema huyu ni One term president inawezekana hata asikamilishe One Term

Ofcourse sio lazima akae madarakani miaka 5.
"sio lazima akae madarani miaka 5" hii kauli nimeisikia kwa viongozi wa chadema dar, mwingine akanihakikishia kabisa kwamba magufuli hamalizi miaka 5 madarakani, mkuu kuna nini nyuma ya pazia????
 
Duh! Zamani gani hiyo ambayo CDM ilikuwa imara? Labda wengine tulikuwa hatujazaliwa. Lakini kama CDM hii iliyoanzishwa baada ya vyama vingi kuruhusiwa tena mwaka 1992, has never been stronger.
Nani anapaswa kuifanya iwe Imara!
 
Unajua kitu kinachoitwa 'multiplier effect'?

Wafanyabiashara wanaathiri kila mtu..
wao ndo wanaathiri TRA na mapato.. na mapao ndo bajeti inapoanzia.....
kama unataka niseme watanzania wote.....wanalalamika...
siwezi sema hivyo
najua kuna watu 'mioyo yao inakoshwa na Magufuli'

swali je hao wanaokoshwa hawataguswa na hiyo 'multiplier effects?

Kwa kiasi gani wafanya biashara wana hiyo "multiplier effect"?
 
Wanafunzi wa vyuo vikuu wanalalamika hakuna hela ya field kwa kigezo cha tunahakiki wanafunzi hewa!!...Wazazi tunaombwa pesa na watoto wetu walioko vyuoni kila kukicha na hela zenyewe hatuna!! Mtu unaamka unaenda kazini mpaka ukitoka usipopewa barua ya kufukuzwa kazi unashkuru Mungu...hali ni mbaya sana mitaani,hakuna aijuaye kesho!! Ngoja kwanza nipige picha kigari changu nikipige bei kupatana maana hali ni mbaya sana!!!
 
Bado siku aijaisha..anaweza kufukuza mtu..yaani hana dira ni shida tupu..yaani porojo za viwanda zimeisha..imekuja porojo mpya ya tunakwenda dodoma..
Kweli kabisa.....saaa mbili barua unaiona kwenye wasapu wakati mfukuzwajj wala hajapewa.
 
Wao ndio "sample" ya utafiti wako?

Kama ndiyo hivyo wakosoaji wa Magufuli mna kazi kubwa.

Kama ndiyo hoja zenu hizo mi naweza kuja na kukwambia zungumza na wakulima na wafugaji uone wanavyomsifia na kumpongeza Magufuli na Serikali yake.
Hao wakulima na wafugaji wataachaje kushangilia ikiwa wanaamini akienda atawapelekea Fulana..na..Kofia
 
Na kwanza tuliosema huyu ni One term president inawezekana hata asikamilishe One Term

Ofcourse sio lazima akae madarakani miaka 5.
Mtamroga ili afe au mtamtoa kwa mapinduzi ya kijeshi? Unachokisema ni utabiri au ni mtazamo kupitia sayansi?
 
CHADEMA ilijipanga vyema sana 2010-2015 kabla Mbowe na akina Lissu hawajatuharibia mchakato wa kura za maoni

Kumtoa Dr Slaa kwa sababu za ajabu na baadae kuteua wabunge viti maalum ambao hata hawakuwa wana CHADEMA ndiyo kumeua chama hiki
Slaa...sialikimbia chama?
 
CDM hakijafa. Ni chama kinachokua. Dr Slaa asingefika mbali kwenye mbio za uraisi. Binafsi naamini kupata wabunge wengi na madiwani pia, ndio hasa kuimarika kwa upinzani. Unapimaje kuimarika au kufa kwa chama? Kwa sababu Slaa ameenguliwa? Incredible!
2005-2010 Dr Slaa akiwa HANA RUZUKU kubwa aliongeza wabunge kutoka 11 hadi 24,ongezeko la wabunge 13
2010-2015 RUZUKU ya Milion 206 kwa mwezi,Bilion 2.5 kwa mwaka tukaongeza wabunge 11 tu,pungufu wabunge wawili
Ukichora graph utaona inakuwa negative
Kwa ruzuku hii kubwa,kwa nguvu ile ya Dr Slaa na wenzake kabla hawa wageni hawajaja kutuvuruga ilipaswa tupate at least wabunge wapya 50 + hata kama tusingeshinda Presidency

Mbowe na wenzake wametuchezea sana!
 
Wanafunzi wa vyuo vikuu wanalalamika hakuna hela ya field kwa kigezo cha tunahakiki wanafunzi hewa!!...Wazazi tunaombwa pesa na watoto wetu walioko vyuoni kila kukicha na hela zenyewe hatuna!! Mtu unaamka unaenda kazini mpaka ukitoka usipopewa barua ya kufukuzwa kazi unashkuru Mungu...hali ni mbaya sana mitaani,hakuna aijuaye kesho!! Ngoja kwanza nipige picha kigari changu nikipige bei kupatana maana hali ni mbaya sana!!!
Qwi Qwi Qwi wazee wa NUTA na JUWATA wangekuwapo hai lazima wangeimbisha wimbo-wafanyakazi wote tujiungeeeee wafanyakazi woteee tujiunge pamoja-solidariti forevaaaa
 
Slaa...sialikimbia chama?
Baada ya kuondolewa na watu watatu tu wa kamati kuu kugombea tena akiwa kapitishwa tayari na Kamati kuu anasubiri Mkutano mkuu tu athibitishwe :
Mbowe,Lissu na Msigwa ndiyo wabaya wa demokrasia ya TZ
Dr Skaa akawa hana jinsi zaidi ya kuondoka
Lkn sasa nina uhakika 100% akina Mbowe wanajutia sana uamuzi wao
 
Back
Top Bottom