Rais Magufuli yashamshinda?

Rais Magufuli yashamshinda?

Mkuu sasa hivi wananchi hatujui kesho ataropoka nini, sasa nimeelewa ni kwa nini mzee kitwanga na mama Kilango malecela wapo kimya
Weka akiba ya maneno unathubutu kudai kua Mkuu wa Nchi "anaropoka"? Shauri yako!
 
Nyani Ngabu urais ni taasisi ukimuona rais anatoa maamuzi ujue information zote anazo
Hapana,si kwa huyu mtukufu sana!Alisema atagawa sukari atakayokamata bure,alipokamata TRA wakamwambia hawezi kugawa bure mali ya mtu ambayo imeingia nchini kihalali na imelipiwa kodi zote!Mpaka leo kimya,au kuna mtaa walipata mgao?
 
Unapigana na rushwa na ufisadi wakati hospitali hazina madawa na hakuna fedha za miradi ya maendeleo zinazopelekwa vijijini au unaishi kwenye jiji na unatibiwa private? Juzi MSD wamegoma kutoa dawa mpaka serikali iwalipe maana wamepoteza uwezo wa kuagiza dawa wizara ya kilimo inadaiwa fedha za pembejeo za ruzuku kwa miaka 2 sasa na hakuna dalili ya kulipa Tanroads inadaiwa more than 2 trilion hizo hela zilizookolewa zipo wapi? Na kama anapambana na ufisadi si awaache wapinzani wafanye mikutano na wananchi wawakatae huko field hofu ya nini kama anakubalika... kwa taarifa yako huku vijijini hali ni mbaya na kibaya zaidi wanatakiwa kuanza kulipa property tax yaani hata kajumba mbavu za mbwa kanalipiwa na kupewa hati mashamba ya mazao ya biashara yote yanasajiliwa na kupimwa kwa kulipiwa...jiulize tunazo taasisi za fedha zitakazoweza kuwapa wananchi wote mikopo? Subiri tar 1 September ndipo utakapojua kama wananchi wamewachoka wapinzani au la
Point yako ni nini sasa....?!
Kwa kuwa hakuna dawa hospitalini rushwa na ufisadi vielndelee?!
 
Ukiwa na mtazamo kama huu ni dhahiri unahitaji miaka kama sitini zaidi kufikia ilipo Uganda au miaka 70 kufikia ilipo Kenya na karne kama saba kufikia ilipo Singapore.
Hivi ni kweli kwamba 'DJ' ndiye alikuwa mwenyekiti au mjumbe wa baraza la mawaziri lililopitisha uamuzi wa kujenga nyumba za mawaziri Mikocheni pamoja na headquarters za mawizara yote!?
Je, ni 'dj' aliyesimamia ununuzi wa uniforms hewa na kulipa billion 60, wizi wa makontena na flow meter bandarini!?
Na ni 'dj' aliyeahidi 'kuwalinda' ...(wino wa kuandika umeniishia)
Wewe ndiye unayehitaji zaidi ya miaka mia kubadilika. Hayo yote uliyoyaongelea yanahitaji uzi mwingine ambao ni tofauti na huu tunaouchangia. Fungua uzi mkuu, ili watu wachangie maoni yako, Tumheshimu mkuu aliyeamua kufungua uzi huu.
 
Taarifa zote angekuwa nazo basi kusingekuwepo na kuteua watu leo halafu kesho uteuzi unatenguliwa.
Hicho ndio kigezo kikubwa unachotumia? wewe binafsi hujawahi kufanya maamuzi fulani the ukayatengua? It is the Almighty God who is perfect. Mkosoeni JPM lakini msijenge taswira ya kumfikiria yeye kama ni mkamilifu kwa kila jambo.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
CHADEMA ingekuwa imara kama zamani huyu easily angeondoka 2020
Lkn kwa upinzani huu wa hovyo hovyo wa kutowasikiliza wanachama na kujiona viongozi kama Mungu watu
Wapinzani wanawatumia wanachama wao kwenye maadamano tu
Kwenye teuzi wanapuuzi kauli za wanachama wa kawaida
Wao na CCM hamna tofauti
Magufuli atashinda 2020 hata kukiwa na TUME HURU
Mark my words
Siyo kweli, Ccm hawapo tayari kuachia madaraka hata Wapinzani wakishinda, hilo lipo wazi, wakiachia watakula wapi ilhali madaraka ndiyo shamba lao miaka yote.
 
Laiti kama tungekuwa na chaguzi huru na haki
laiti kama tungekuwa na tume huru ya uchaguzi....
na vingekuwepo hivyo vyote hata yeye asinge endesha mambo hivi
angekumbuka wapiga kura wanamsubiri 2020...

right now hata tufanyaje....atabaki Rais hadi 2025 unless itokee 'intervention'
Huo ndiyo ukweli mkuu, hata upinzani ukiimarika vp, kama uchaguzi wa huru na haki haupo, sioni kama kuna haja ya Uchaguzi, itabaki Uchaguzi jina.
 
Hicho ndio kigezo kikubwa unachotumia? wewe binafsi hujawahi kufanya maamuzi fulani the ukayatengua? It is the Almighty God who is perfect. Mkosoeni JPM lakini msijenge taswira ya kumfikiria yeye kama ni mkamilifu kwa kila jambo.

Well spoken man! Kama sio mkamilifu basi ajue kwamba hana hatimiliki ya nchi hii la hasha! Peke yake hawezi kujenga tanganyika mpya endelevu; "Stronger together", kwa hiyo aongoze nchi kwa kulitambua hilo, not otherwise!
 
Na kwanza tuliosema huyu ni One term president inawezekana hata asikamilishe One Term

Of course sio lazima akae madarakani miaka 5.
you repeatedly utter this statement where is your hypothesis which we can test to confirm this?
 
Imeandikwa usimjaribu bwana mungu wako.. naona mnapingana na maandiko! mi simo
 
Hapana ni kusema kweli na kwa dhati ya moyo wako! Na pia niombeeni. Haya tuambie wewe kabla sijakutimbua.
Hivi unaujua ukweli wewe ? mlivokaa mkamsema Lowasa ni Fisadi ule ulikuwa ukweli ama uwongo?
 
Natabiri chadema itapotea soon na lowasa atakua na chama kipya ...ila usijibu kwa hasira nikakufananisha na nonihii...
 
Back
Top Bottom