Congo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 2,079
- 2,333
Dhana ya urais ni taasisi inajitokeza pale rais anapoonekana kuwa dhaifu. Ili kumuondolea aibu ndio dhana hiyo inajitokeza. Kama rais ni imara kama sasa dhana hiyo inakuwa haina mashiko maana wasaidizi wake ni washauri tu.Nyani Ngabu urais ni taasisi ukimuona rais anatoa maamuzi ujue information zote anazo