tena atashinda kwa kura nyingi mnoo. hawa wapinzani hawana ajenda pumzi imekata mapema sana. wamebaki kufanya siasa za kinafiki mitandaoniCHADEMA ingekuwa imara kama zamani huyu easily angeondoka 2020
Lkn kwa upinzani huu wa hovyo hovyo wa kutowasikiliza wanachama na kujiona viongozi kama Mungu watu
Wapinzani wanawatumia wanachama wao kwenye maadamano tu
Kwenye teuzi wanapuuzi kauli za wanachama wa kawaida
Wao na CCM hamna tofauti
Magufuli atashinda 2020 hata kukiwa na TUME HURU
Mark my words
walizoea kuchekewa chekewa saivi magufuli hacheki hovyo. kama hawataki waache kazi full stop
Haya maneno mlisha yasema wakati wa jk, jamaa akamaliza muda wake bila tabu. Sasa mnayarudia, tatizo lenu mnafikiri hapa ni south sudanNa kwanza tuliosema huyu ni One term president inawezekana hata asikamilishe One Term
Ofcourse sio lazima akae madarakani miaka 5.
unataka tuonngozwe na shetani? yes Mungu ndio anatuongoza kupitia MagufuliMkuu nyani ngabu, sie tulishaona mapema sana kwamba dereva gar limemshinda, kwasasa ni Mungu mwenyewe ndo anatuongoza
Tutashindwa sababu HAMNA tofauti ya CCM na CHADEMAtena atashinda kwa kura nyingi mnoo. hawa wapinzani hawana ajenda pumzi imekata mapema sana. wamebaki kufanya siasa za kinafiki mitandaoni
Labda tumuombe Mungu amchukue malaika wake mapema maana huku tumezoea kuishi mashetani peke yetuHakuna namna kwa mujibu wa katiba,ya kumtoa kabla hajaleta madhara makubwa?
SureHatujui kesho atasema nini !.
Nilishaonya tangu Mwaka jana.Misingi ya Urais sio kusakata rhumba au push ups majukwaani
Unaweza kushangaa ukasikia ikulu inapigwa mnada wiki ijayo, si unakumbuka alivyosema na hajatengua kauli yakeHatujui kesho atasema nini !.
endeleeni kuota huku mmekaa kwenye viti vyenu.Na kwanza tuliosema huyu ni One term president inawezekana hata asikamilishe One Term
Ofcourse sio lazima akae madarakani miaka 5.
Hatujui kesho atasema nini !.
CHADEMA ingekuwa imara kama zamani huyu easily angeondoka 2020
Lkn kwa upinzani huu wa hovyo hovyo wa kutowasikiliza wanachama na kujiona viongozi kama Mungu watu
Wapinzani wanawatumia wanachama wao kwenye maadamano tu
Kwenye teuzi wanapuuzi kauli za wanachama wa kawaida
Wao na CCM hamna tofauti
Magufuli atashinda 2020 hata kukiwa na TUME HURU
Mark my words