Tochi ina betri zote lakini haiwaki.Oooh! Nilidhani ni wapinzani ndio wanamchelewesha?
Well said 100%Pale ambapo upinzani utakapozimwa na kubaki chama kimoja basi hapo ndipo upinzani wa kweli utaibuka kutoka katika chama hiko hiko kimoja...
Kama nchi haikuendelea wakati kipo chama kimoja(one nation one political party) anadhani kuirudisha kulekule ndio kuleta maendeleo eeh?..
Watawakumbuka wapinzani na baadaye wataomba poo.Sasa hivi bado kitambo kidogo tu wataanza kuraruana wao kwa wao.Tatizo ni mifumo yetu,mkiambiwa tubadili Katiba turekebishe mfumo wa utawala unaolimbikiza vitu vyote kwa Rais.Mzee ulituambia kuwa mbowe na genge lake (wapinzani) ndio walikuwa wanakuchelewesha kutuletea maendeleo, ukatuambia tusikuchanganyie magunzi kwenye kurunzi. Sasa mbona tena tumeweka betri tupu lakini malalamiko yanaendelea?
Meko kachanganyikiwa. Kapoteza mwelekeo sasa ni sukuma twende mradi liende.Kumbe sio wapinzani wanaochelewesha maendeleo!
Haaaa!!! Mweeee!!!Pale ambapo upinzani utakapozimwa na kubaki chama kimoja basi hapo ndipo upinzani wa kweli utaibuka kutoka katika chama hiko hiko kimoja....
Hili ni agizo muhimu kwa ngazi zote.
CCM niliyoijua inarejea!
.... na mara nyingi kwenye hafla za kuwaapisha anawasifia wateule wake kuwa si vilaza wala wazembe. Leo analalamika kwamba wanamchelewesha.....!!Mzee ulituambia kuwa mbowe na genge lake (wapinzani) ndio walikuwa wanakuchelewesha kutuletea maendeleo, ukatuambia tusikuchanganyie magunzi kwenye kurunzi. Sasa mbona tena tumeweka betri tupu lakini malalamiko yanaendelea?
Hahahaha ni sheeeedaMakatibu wa CCM wilaya na mikoa ndio waliopewa magari ya kufuatilia utendaji wa serikali. Magari hayo ukiyatafuta kila siku,iwe mchana au usiku utakuta limepakiwa either hotelini au bar. Sasa ninajiuliza ofisi za chama zinakuaga karibu na maeneo hayo au maeneo hayo ndiko ziliko ofisi za chama.
Subiri tunaingia kazini!Mwaka wa sita huu yuko madarakani haijarejea leo ndio itarejea? Ulevi wa madaraka haujawahi kuleta ubora wowote wa uongozi.
Subiri tunaingia kazini!