Rais Magufuli amesema kuwa Rais ni kazi ngumu sana kwa sababu wewe unaweza kupanga mipango hii kumbe wenzako nao wana mipango mingine...
Imekuwaje tena mbona wacheleweahaji walikuwa Chadema na upinzani 😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais Magufuli amesema kuwa Rais ni kazi ngumu sana kwa sababu wewe unaweza kupanga mipango hii kumbe wenzako nao wana mipango mingine...
Ukiona hivyo ujue watu wamekuchoka jirekebishe vinginevyo watakurekebisha waoUnataka kugusa Nyati sehemu za siri sasa
Aache vitishoRais Magufuli amesema kuwa Rais ni kazi ngumu sana kwa sababu wewe unaweza kupanga mipango hii kumbe wenzako nao wana mipango mingine....
Kawaida ya Kobe ni kusingizia mchanga kuwa unamchelewesha,na hata akifika sehemu isio na mchanga atasingizia kuwa kwa sababu hajavaa viatu