Rais Magufuli na 'mgonjwa aliyerogwa'

Rais Magufuli na 'mgonjwa aliyerogwa'

Huwezi kupata fedha kama hufanyi kazi............

Tunataka mzumguko wa fedha halali sio fedha chafu!

Walio katika hali ngumu ni ;
1.wafanyabiashara waliozoe kukwepa kodi!

2.Wapiga dili.

3.Watu wa semina na kupaa kwenda ughaibuni

4.waliokuwa wakinufaika na biashara holela

5.walio ichezea nchi yetu kama shamba la bibi,

Bora kufunga mkanda kwa muda mfupi ili tunufaike sote kuliko kila siku kuwa wasindikizaji wa matajiri wachache!

Tunafunga mkanda kwa muda mfupi?
wewe una uhakika ni mda mfupi?
 
Huwezi kupata fedha kama hufanyi kazi............

Tunataka mzumguko wa fedha halali sio fedha chafu!

Walio katika hali ngumu ni ;
1.wafanyabiashara waliozoe kukwepa kodi!

2.Wapiga dili.

3.Watu wa semina na kupaa kwenda ughaibuni

4.waliokuwa wakinufaika na biashara holela

5.walio ichezea nchi yetu kama shamba la bibi,

Bora kufunga mkanda kwa muda mfupi ili tunufaike sote kuliko kila siku kuwa wasindikizaji wa matajiri wachache!

Aliekwambia hili tatizo ni la mda mfupi nani?
 
Hizo unazoziita dili ni zipi? Ukiangalia semina nyingi zinafanyika si kwa fedha za ndani bali za miradi kama moja ya masharti ya kuajengea uwezo wanaoisimamia hiyo miradi ambayo fedha za ni zake wahisani. Kilichofanyika ni kuvuruga kila kitu kwa hiyo mambo mengi yamekwama kutokana na misingi ya uchumi kutikiswa. Kumbuka sio kila kubana ni kujenga uchumi kwa nchi za wenzetu ambao wana upeo mpana kuliko sisi, wakisikia mpango wa serikali kubana matumizi wanaandamana.

Kila sehemu ni 'mvurugano' tu
 
Mkuu toa basi na suluhisho la kutibu ugonjwa.

Mimi naamini tulipokuwa tumefikia inabidi tuvurugane kwanza kisha mambo yakae vizuri. Sijaona Serena ikifungwa, sinaona Hyatt Regency ikifungwa. Zinazofungwa ni zile za deal, zile zilizokuwa zinategemea deal toka serikalini. Zile zilizokuwa zinategemea mikutano ya serikali kwa gharama kubwa ambazo zilihusisha cha juu!! Unakuta Ofisi nzima anahamia hotelini ili kufanyia kazi huko kwa wiki nne; wanalala, wanakunywa na kucheza muziki bili ikija ni mamilioni na waliohusika kuandaa wanachekelea njia nzima kwenda kujinyakulia cha juu.

Mkuu, na wewe ndo type ya huyu mgonjwa anayezungumziwa hapa. Yaani unaamini kabisa kwamba kila ambacho hakiendi sawa kiuchumi kwa sasa kilikuwa cha "deal"!
 
Kama ni kuambiwa anaambiwa sana tuu! ,tatizo ni kuamini analoambiwa! .

Ukishajenga pre conceived negativity kuwa watu ni wezi!, then hata ukiambiwa hakuna any economical activities za kusisimua uchumi, utaamini watu wanaiba hizo activities!.

Pasco
Ndo tatizo mindset yake always iko negative ni ngumu sana kubadili mtazamo!
 
Mkuu, na wewe ndo type ya huyu mgonjwa anayezungumziwa hapa. Yaani unaamini kabisa kwamba kila ambacho hakiendi sawa kiuchumi kwa sasa kilikuwa cha "deal"!

Wapiga ramli wako wengi mno
badala ya kupima damu mgonjwa apewe dawa...
wao ni ramli tu
 
Kuna vitu ukiviamini kwa asilimia 100 basi ni ngumu sana mtu mwingine kuja kukuambia vinginevyo.Ni sawa na mtu ambae anaumwa halafu anaamini 'kalogwa'

Mtu huyu hata umpeleke hospitali atakua tu bado anaamini 'kuna mkono wa mtu.

Ikitokea hospitali wamesema 'hana malaria' ndo kabisaa atazidi kuamini ni 'mkono wa mtu'.

Hadi itokee mtu mwingine ambae anaweza kumsikiliza ashauri 'hebu pima na typhoid' au 'pima UTI..' na akutwe na magonjwa apewe dawa apone ndo unaweza kidoogo kumfanya akusikilize vinginevyo watu dizaini hii wanaweza kufa au kusababisha kifo cha mtoto au ndugu anaeumwa.

Sasa hoteli zinafungwa na zingine zinauzwa, biashara zinakufa kwa wingi
pesa imepotea lakini Rais anaamini kuna 'hujuma' na dawa ni kuanza msako wa 'walioficha hela majumbani' au kuchapisha noti au kubadili noti.

Cha ajabu 'madaktari ' wetu nao wa kumwambia 'ukweli' kuhusu 'ugonjwa'
wako kiimya kabisa tunapiga ramli wakati magonjwa haya yana vipimo vyake
na dawa zake zinajulikana.

Hadi 'mgonjwa' afe ndo waje kusema ilikuwa 'typhoid'?
Wagonjwa ni sisi tuliokosa ubunifu wa kutafuta vyazo vingine vya pesa.
Wateja (serikali na watumishi wake) wamebanwa na wanatumia pesa zao kwa uangalifu kuliko zamani badala ya kulalamika kuitaka serikali irudi kwenye matumizi ya hovyo kama zamani inabidi tubuni biashara mpya, tutafute wateja wapya na mambo mengine ilituendeleze biashara zetu la sivyo hii nchi itapata recession but for the right reasons tuilishi kwenye bubble for too long.
 
Sasa tukibuni biashara mpya wakati kodi zinapandishwa kiholela tu
mtu akijisikia tu kodi anapandisha bila hata kupitia bungeni..
sasa tutafanyaje biashara mazingira hayo?
 
Suluhisho la kitaalamu ni kufanya clinical economics. Lazima tufanye diagnosis, kuanzia political issues, household income, economic activity, macro economic stability, food production, human personnel, technological advances.
 
Kwa hiyo suala ni kupandishwa kwa kodi? Mimi nimesema kuwa kulikuwa na masuala ya deal kati ya wenye hotel na wenye maamuzi serikalini. Hakika nakuambia hata kama kodi ingepanda kiasi gani lakini serikali ikaendelea na mtindo wake ambapo Ofisi zilikuwa zinahamia mahotelini, hizo hotel wala zisingetikisika hata chembe.
Ndugu umewahi kumiliki Biashara yoyote hata kama ni GENGE? unasema hata KODI ipande kiasi unajua machungu ya Kodi isiyozingatia kipato halisi inavyoumiza!
 
Ndugu umewahi kumiliki Biashara yoyote hata kama ni GENGE? unasema hata KODI ipande kiasi unajua machungu ya Kodi isiyozingatia kipato halisi inavyoumiza!

Hawa ndo hao hao wapiga ramli wannaomshabikia
 
Huwezi kupata fedha kama hufanyi kazi............

Tunataka mzumguko wa fedha halali sio fedha chafu!

Walio katika hali ngumu ni ;
1.wafanyabiashara waliozoe kukwepa kodi!

2.Wapiga dili.

3.Watu wa semina na kupaa kwenda ughaibuni

4.waliokuwa wakinufaika na biashara holela

5.walio ichezea nchi yetu kama shamba la bibi,

Bora kufunga mkanda kwa muda mfupi ili tunufaike sote kuliko kila siku kuwa wasindikizaji wa matajiri wachache!
Wewe unaishi wapi mkuu? Kama ungekua unafanya biashara hata ndogo tu sidhani kama ungetoa hayo maneno ya wanao lalamika eti ni wakwepa kodi. Nenda kariakoo ukajionee kulivyo dorora pamoja na masoko mengine hapo dar, wakulima tuna lalamika kwa mazao kushuka bei (ufuta, mbaazi, nyanya) nk. Ukiwa na desk job unakula salary mwisho wa mwezi ndiyo unaweza kuongea point kama zako.
 
Back
Top Bottom