Rais Magufuli na maana ya neno 'catalyst'

Angeshusha angalau arrhenious equation k=A*exp(-Ea/R*T) sasa hii catalyst siku hizi hata vitoto vya ST. MEDIUM ambako mwalimu huitwa " MADAM" wanajua
 
Hahaha does not take party in to chemical change, how does it speed up the reaction ? Catalyst speed up the reaction, but at the end of the reaction,the catalyst remain unchanged

Kama mwisho haibadiliki bas ni sawa na kusema unakusanya mapato ya nchi then wananchi wanakosa hata chanjo hospt
 
Aisee mdau, kuna mada inahusu PhD ya Magufuli itafute uisome utaona jinsi mijamaa ilivyo mijinga.

Jamaa linatumia "slanting words" halafu watu wengine wanaona linaandika vitu vya maana kumbe pumba tupu.

Nikafahamu kumbe jamaa anafahamu kiingereza tu lakini kichwani hamna kitu. Sidhani kama hata degree anayo kwa pumba ile..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
mkuu,
siku za nyuma hapa jf hawa jamaa walipata wafuasi wengi waliokuwa wanawashabikia kwa uwezo wao wa kuandika comment zenye "majagoni".

hata mimi nilikuwa shabiki wao,ila nilipokuja baini kumbe wanacheza tu na synonyms wanazookoteza toka kwenye mitandao ya lugha ya kingereza kama thesaurus.com,nikawapuuza.

namshukuru sana brother kahtaan maana yeye ndiye alikuwa wa kwanza kulibaini hilo na kuliweka wazi.
 
Wapuuzi sana mnaomponda Rais kwa hoja zisizo na mashiko. Mtake msitake huyo ndio Rais wenu hadi 2020
 
Ni katika dakika ya 7:53 anaanza kuongelea catalyst...mkemia, my foot! Kwa mwendo huu tunatakiwa tuzidi kuiombea nchi yetu kwa vile ni kama tupo gizani hatujui tunaelekea wapi!
wabongo bwana!! kwahiyo kama nchi tupo kizani kwasababu mkuu wa nchi "hajui" maana ya catalyst?! ikitokea nikapata hasira nikakuuliza kama hiyo katalyst ma..ma ako anaijua ntakua nimekosea? acha kutafuta mabwana mtoto wa kike
 
..hotuba haieleweki kama ni ya kiswahili, au kiingereza.

..sina uhakika kama Raisi wa China au Urusi akihutubia ktk nchi inayozungumza Kiingereza atajichanganya-changanya kama alivyofanya JPM.
 
Magufuli angeelewa na kukubali kweli maana ya dhana ya "catalyst" katika siasa, asingepiga marufuku mikutano ya vyama vya upinzani.

Kwa sababu mikutano ya vyama vya upinzani ni catalyst ya maendeleo nchini.
Mikutano iwe ni catalyst kama wanayoiandaa wanakuwa na positive mentality inayowaongoza.

Lakini aina ya mikutano ambayo inajenga negative thinking haina faida kwa nchi hizi zetuza kiafrika.

Vyama vya siasa ni muhimu sana kama kweli vinao watu wenye kuweza kuwa na akili mbadala, mawazo mbadala. Hizi taasisi zilizojaa walalamikaji, watu wenye kupenda kuongea sarcastically kama mwandishi wa uzi huu, hazina msaada wenye kuweza kuwa na kitu kipya kwa nchi kama yetu.

Tatizo letu huwa hatuzamii deep tunapotazama mustakabali mzima wa nchi. Tunapenda sana masihara ya kitoto hata kwenye mambo serious. Sasa kwa sababu hiyo hizi hizi serikali zilizojaa upungufu, huwa zinakuwa na kila sababu ya kuminya ujinga na utoto mwingi ambao wanao uleta juu ya meza wanatumia neno democracy katika kuutafutia kinga.
 
Afadhali hilo neno anaweza ku tamka

Kuna mkutano wa wakuu wa nchi za EAC alishindwa kutamka 'deliberation'

akaishia kucheka tu na kutabasam

that was embarrassment....
Neno deliberation ndio kila kitu kwa rais wa nchi ya dunia ya tatu?.

Utumwa wa mawazo umejaa akilini mwetu matokeo yake tunaona ufahari kuwa madalali wa makampuni ya wazungu na watu wa mataifa ya kigeni. Kwa sababu kiakili tumeshadanganyika.
 
Mikutano iwe ni catalyst kama wanayoiandaa wanakuwa na positive mentality inayowaongoza.

Lakini aina ya mikutano ambayo inajenga negative thinking haina faida kwa nchi hizi zetuza kiafrika.

Vyama vya siasa ni muhimu sana kama kweli vinao watu wenye kuweza kuwa na akili mbadala, mawazo mbadala. Hizi taasisi zilizojaa walalamikaji, watu wenye kupenda kuongea sarcastically kama mwandishi wa uzi huu, hazina msaada wenye kuweza kuwa na kitu kipya kwa nchi kama yetu.

Tatizo letu huwa hatuzamii deep tunapotazama mustakabali mzima wa nchi. Tunapenda sana masihara ya kitoto hata kwenye mambo serious. Sasa kwa sababu hiyo hizi hizi serikali zilizojaa upungufu, huwa zinakuwa na kila sababu ya kuminya ujinga na utoto mwingi ambao wanao uleta juu ya meza wanatumia neno democracy katika kuutafutia kinga.
Unaouongea ndo utoto. Kutaka watu wafikirie aina moja ya mawazo. Upuuzi mtupu. Jifunze kusikia kila kitu then chuja yaliyo mazuri
 
Haiwezekani watu wakawa na mawazo yanayofanana. Lakini angalau yawakilishe uwezo mkubwa wa fikra walionao. Yasiwe ni mawazo yanayoidhalilisha nchi ambao wazazi wao wamezaliwa na kukulia.

Kusikia kila kitu, ni uwezo nilionao, lakini ujinga ukitamalaki kwenye nchi maana yake ni kwamba hilo ni taifa linalo fanana na kundi la ng'ombe au kondoo. Hata kama wananchi wake wanajivunia sana zile mbwembwe za kujua lugha za watu, bado ni wajinga tu mbele ya watu wanaojielewa kisawasawa.
 
Mikutano iwe ni catalyst kama wanayoiandaa wanakuwa na positive mentality inayowaongoza.

Lakini aina ya mikutano ambayo inajenga negative thinking haina faida kwa nchi hizi zetuza kiafrika.

Vyama vya siasa ni muhimu sana kama kweli vinao watu wenye kuweza kuwa na akili mbadala, mawazo mbadala. Hizi taasisi zilizojaa walalamikaji, watu wenye kupenda kuongea sarcastically kama mwandishi wa uzi huu, hazina msaada wenye kuweza kuwa na kitu kipya kwa nchi kama yetu.

Tatizo letu huwa hatuzamii deep tunapotazama mustakabali mzima wa nchi. Tunapenda sana masihara ya kitoto hata kwenye mambo serious. Sasa kwa sababu hiyo hizi hizi serikali zilizojaa upungufu, huwa zinakuwa na kila sababu ya kuminya ujinga na utoto mwingi ambao wanao uleta juu ya meza wanatumia neno democracy katika kuutafutia kinga.
Now now now now, ndugu yangu Phillipo.

Taratibu. Tatatibu. Taratibu.

Sarcasm prevents revolutions. Sisi wengine hatupendi kuchinjana, kwa hiyo tukiona kitu hakitufai tuna haki ya kuwa sarcastic. Its a small price to pay for bad leadership.

Tatizo kubwa ni kwamba you have too much respect for authority. That is dangerous. Hiyo ni sababu moja kwa nini hatuendelei.

Turudi kwa Magufuli na marufuku yake.

Tatizo linalojitokeza hapo ni kuhukumu kosa ambalo hata halijatokea.

Ni kama uende Manzese kwa Mfuga Mbwa halafu uwakamate watoto wote uwafunge jela kwa kusema nyie mkikua kidogo ntakuwa Panya Road na kutuletea matatizo, kwa hiyo bira tuwafungikie mbali ili msije kutuletea matatizo baadaye.

Mimi Magufuli na serikali yake wangewaadabisha wapinzani wanaosema ovyo - wapo wapinzani kama hao- on a case by case basis, baada ya kusema ovyo, with hard evidence and justification kwamba wamesema ovyo, hata nisingekuwa na tatizo.

Kwa sasa ameqeka mtego wa panya unaokamata waliokusudiwa na wasiokusudiwa.

Hata mtu mwenye heshima zake anayetaka kufanya mikutano ya vyama vya upinzani ya kukosoa serikali kwa njia sahihi na ambayo inalindwa ma katiba ya nchi yetu, hawezi kufanya hivyo.

Magufuli kaziba uhuru huu.

Kama si udikteta huu ni nini?
 
Mkuu Kiranga sio suala la kuheshimu sana uongozi uliopo madarakani. Kwa nchi zetu za kiafrika, lazima iwepo sauti moja yenye kuheshimiwa, na sio nchi inageuka soko la Kariakoo au la Tandale. Ni lazima tuepuke anarchy.

Hatujawafikia sisi waingereza au wamarekani mpaka tuwe na guts za kuwaiga kila wakifanyacho. Sometimes wanapoongelea democracy wanafanya hivyo wakielewa weaknesses zetu ni zipi. Kumbuka hao ni watu ambao walipata watumwa wengi kwa kutumia tricks za mikufu ya dhahabu na vitu vingine vyenye thamani ndogo sana.

Usije ukona debates za uchaguzi wa Marekani halafu ukafikiri same can be applied in our Africa.

Kuna mengi sana ambayo yanabidi yafanywe na serikali kuu za Africa (Tanzania included), ambayo kufanikiwa kwa ufanywaji wake, kuna tofauti sana na aina ya maisha ya kisiasa ya wanaotufundisha democracy.

Kuna faulo nyingi sana zinafanywa na democratic party ya Hillary Clinton na kama hizo faulo zingekuwa zinafanyika Afrika ungewasikia wazungu wakipiga kelele lakini kwa sababu uchafu unafanyika huko huko USA wala huwezi kuwasikia wakiutumia katika kunyanyasia nchi zetu.
 
Kuwepo sauti moja ya kuheshimika hilo lipo dunia nzima.

Lakini sauti ile inapochemka ni haki kuisema.

Kwani hagiography is the way to a siciety's mental slumber and destruction.
 
Isiwe ni katika kila inapokosea ndipo istahili kusemwa, sauti hiyo ni matunda ya ubinadamu wetu.

Ikiwa kila anapokosea mtoto anachapwa bila ya kutengenezewa mazingira ya kuambiwa makosa yake positively, basi baba wa huyo mtoto is a damn fool.
 
Back
Top Bottom