bongo-live
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 1,731
- 2,293
i liked his speech generally, no need to nitpick phrases that we dont like, the bottomline is that the core mesaage got communicated.
Duh!Kumbe kicheko chako kiko mbali kweli! Samahani kwa kukupotezea wakati. Tuendelee kujadili hii mada. Maana naona hapa magwiji wa kejeli wanafukia mashimo!!Nimeangalia tayari nasikitika kukutaarifu kuwa sikucheka nimeishia kuudhika tu.
Tehe tehe tehe mi huwa nachekaga mbona sema ukipanga kunichekesha mi huwa sicheki etiDuh!Kumbe kicheko chako kiko mbali kweli! Samahani kwa kukupotezea wakati. Tuendelee kujadili hii mada. Maana naona hapa magwiji wa kejeli wanafukia mashimo!!
Indeed mag3For your information all great ideas started with one simple word; the single word but with a simple symbolic picture. One single word can change the entire history of mankind.
Yap hyo misamiati anayo tumia ktk siasa anatakiwa aipime kabla hajaimwaga hadharani sasa anaposema (catalyst)kua wao wanachochea mahusiano lkn wao sio waathirka inamaana wao wanalazimishwa kufanya hvyo?Ni mara ya pili sasa nimemsikia rais akitumia neno Catalyst katika hotuba zake. Mara ya kwanza ni pale alipochaguliwa kuwa mwenyekiti wa Ushirikiano wa nchi za Afrika Mashariki.
Akiwa ziarani nchi Kenya nimemsikia na kumuona kupitia televisheni akitumia neno hili. Mwishoni mwa hotuba yake ambayo ilikuwa ni ya Kiswahili toka mwanzo aliacha kiswahili kidogo na kuhamia kwenye kiingereza. Akasema,
"... kwahiyo ziara yangu hii ni ku-cement the good relationship which have been existing between Tanzania and Tanzan.. and Kenya.In Chemistry I could just say that may be we are just acting like Catalyst. And the Catalyst is that substance which speed up reaction but does not take part into chemical change, so we are all Catalyst. ..." (alipokuwa akisema haya alikuwa anamuoneshea mkono Kenyatta - kwa maana ya wao wawili)
Najua rais ni mtaalam wa somo la Chemistry lakini wasi wasi ni jinsi anavyotumia neno hilo katika hotuba za kawaida za kisiasa. Kwa maelezo yake hapo juu ni kama amesema yeye na Kenyatta wanachochea ushirikiano au uhusiano wa nchi hizi mbili yaani Tanzania na Kenya lakini wao wenyewehawaathiriki au siyo sehemu ya ushirikiano au uhusiano huo kwa kuwa wao ni Catalysts tu.
Ndiyo nilivyo muelewa kama sivyo mnisahihishe
Yes, it is the speech not the prime minister who acted as a catalyst! The president's speech didn't mean so! Hata hivyo hapa tunaelimishana jaribu kuwa mstaarabu. Ukiishazoea kutukana au kukashifu utajikuta unakashifu hata mahali pasipokuwa na ulazima wowote. Nimetoa angalizo kuwa kama I am wrong nielimishwe, sasa wewe unaanza na kuita watu nyumbu. It seems that is the only tool you have in the discussion.Kama hamjui kitu muwe mnaacha, JPM Yupo au alikuwa sahihi kulitumia hilo neno "Catalyst" acheni ushamba ninyi Nyumbu...
Ina maana neno Catalyst hamlijui au?
a person or thing that precipitates an event.
"the prime minister's speech acted as a catalyst for debate"
Kama hamjui kitu muwe mnaacha, JPM Yupo au alikuwa sahihi kulitumia hilo neno "Catalyst" acheni ushamba ninyi Nyumbu...
Ina maana neno Catalyst hamlijui au?
a person or thing that precipitates an event.
"the prime minister's speech acted as a catalyst for debate"
Ni mara ya pili sasa nimemsikia rais akitumia neno Catalyst katika hotuba zake. Mara ya kwanza ni pale alipochaguliwa kuwa mwenyekiti wa Ushirikiano wa nchi za Afrika Mashariki.
Akiwa ziarani nchi Kenya nimemsikia na kumuona kupitia televisheni akitumia neno hili. Mwishoni mwa hotuba yake ambayo ilikuwa ni ya Kiswahili toka mwanzo aliacha kiswahili kidogo na kuhamia kwenye kiingereza. Akasema,
"... kwahiyo ziara yangu hii ni ku-cement the good relationship which have been existing between Tanzania and Tanzan.. and Kenya.In Chemistry I could just say that may be we are just acting like Catalyst. And the Catalyst is that substance which speed up reaction but does not take part into chemical change, so we are all Catalyst. ..." (alipokuwa akisema haya alikuwa anamuoneshea mkono Kenyatta - kwa maana ya wao wawili)
Najua rais ni mtaalam wa somo la Chemistry lakini wasi wasi ni jinsi anavyotumia neno hilo katika hotuba za kawaida za kisiasa. Kwa maelezo yake hapo juu ni kama amesema yeye na Kenyatta wanachochea ushirikiano au uhusiano wa nchi hizi mbili yaani Tanzania na Kenya lakini wao wenyewehawaathiriki au siyo sehemu ya ushirikiano au uhusiano huo kwa kuwa wao ni Catalysts tu.
Ndiyo nilivyo muelewa kama sivyo mnisahihishe
Sidhan kama kwenye huu uzi amepondwa na sidhan kama kuna asojua kuwa yeye ni rais isipokuwa wewe ndo unawaponda wenzio na kuwatukana unahis kama hawamtambui while wanamtambua, hebu soma hata post na comments za aloleta hoja hapaWapuuzi sana mnaomponda Rais kwa hoja zisizo na mashiko. Mtake msitake huyo ndio Rais wenu hadi 2020
Kwangu hii mara ya pili sasa kumsikia mheshimiwa mtukufu rais wetu Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akielezea maana ya neno 'catalyst'.
Mara ya kwanza ilikuwa ni pale Arusha kwenye mkutano wa jumuia ya Afrika Mashariki.
Sasa leo tena nimemsikia akielezea maana ya hilo neno wakati wa mkutano wake na rais Uhuru Kenyatta.
Angalia hiyo video hapo chini hususan dakika ya 7 na sekunde 53.
Huyu jamaa bana! Sijui hilo ndo neno alilofanikiwa kulikariri kiurahisi zaidi kwenye hiyo fani yake ya ukemia...
Kinda embarrassing....
Kiranga
Kila kitu 'anaharibu'
sasa bank zinafilisika....
Maudhi yako yatapungua, kama sio kupona kabisa.Ili iweje?
Tunarefusha maongezi lakini fact checking sio sarcastic language kwa uongozi na viongozi. Kosoa sera, kosoa tabia za kisiasa, usijikite kwenye dharau za kitoto.I do not put a high prime on respect, you do.
What we need is not more respect, we need a healthy dose of disrespect.
But you will never understand that, because you are a sheep in the herd.
If Africa will remain a third world continent for many years to come, it is not because the likes of Kiranga are not helping it.
To the contrary, it is because when the likes of Kiranga are helping out by injecting new ideas, saying "look guys, this shepish respect is not healthy", they are cursed and called hypocrites.
That mentality will contribute a lot to making Africa poor for many years.
How can you fact check the governments numbers if you have too much respect for authority? How will you know if the government is lying to you?
Mimi nimeshaishi huko nje, ninapoandika kitu sio fantasy, inatokana na experience ya baadhi ya hulka za watanzania wenzetu.You are wrong, hivi unafahamu hapa nilipo nina piga kura bila wasi wasi, wasiopiga kura ni wale ambao wamezamia na bado wanajificha, mambo yako yakiwa shwari/kutengemaa unafanya unalotaka na kusafiri kokote duniani. Labda hufahamu Watanzania wengi tulio nje tunasaidia family zetu huko nyumbani nk. Kuna michango tunatoa hapa JF ya kusaidia serikali ifanye shughuli zake kutokana na ulimwengu unavyokwenda. Hiyo miaka 30 unayosema ni uongo mbona tunakuja sana tu hapo Tanzania kila mwaka. Wacha majungu na ku-generalize si wote ambao hawana michango wa maana.
Banks zipi zinafilisika?
We Kweli Nyumbu Mkubwa...
Rais JPM kalitumia neno Catalyst kumaanisha, Ku-accelerate, au Speed up, au Quicken, au Ku-Push forward.
Sasa kama umekalili Pole sana Nyumbu.