Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,004
- 142,435
- Thread starter
- #21
Sasa Mbona neno "nashukuru" hujalianzishia thredi?
Uamuzi ni wangu, uchaguzi ni wangu.
Lianzishie wewe.
Sasa Mbona neno "nashukuru" hujalianzishia thredi?
Afadhali umeongea kaka, masihara yana mipaka yake. Halafu anayemcheka mkuu wa nchi angalau awe na elimu, maarifa, hekima ,busara, japo robo tu ya huyo anayemdhihaki.Jamani sio jambo jema kuwa tunamdhihaki mheshimiwa Rais kwa mambo ya kipuuzi kama haya
Huyu ni mkuu wa nchi
Shida iko wapi asiposema hata mara moja?Shida iko wapi hapo hata akirudia mara kumi?
Wapi nilipojichanganya?Ona unavyojichanganya sasa! Wewe ndiyo inabidi nikuulize kwa sababu umeleta hii mada.
Mtu mwenye taaluma yake kuna shida gani kufananisha jambo na kile alichokisomea?
Kama huelewi "catalyst" uliza kwa waliosoma chemistry.
Sasa wewe ulitaka alete definition yake?...hehe hiyo definition imeandikwa hivyo hivyo kwenye kitabu.
Huu ni upumbavu wa hali ya juu. Eti that was embarrassment. Wewe mwenyewe hujui Kiingereza. Msitake kujifanya mnajua lugha wakati hiyo lugha sio ya kwenu. Huu ni ujinga tu.Afadhali hilo neno anaweza ku tamka
Kuna mkutano wa wakuu wa nchi za EAC alishindwa kutamka 'deliberation'
akaishia kucheka tu na kutabasam
that was embarrassment....
Kwangu hii mara ya pili sasa kumsikia mheshimiwa mtukufu rais wetu Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akielezea maana ya neno 'catalyst'.
Mara ya kwanza ilikuwa ni pale Arusha kwenye mkutano wa jumuia ya Afrika Mashariki.
Sasa leo tena nimemsikia akielezea maana ya hilo neno wakati wa mkutano wake na rais Uhuru Kenyatta.
Angalia hiyo video hapo chini hususan dakika ya 7 na sekunde 53.
Huyu jamaa bana! Sijui hilo ndo neno alilofanikiwa kulikariri kiurahisi zaidi kwenye hiyo fani yake ya ukemia...
Kinda embarrassing....
Kiranga
Mwenyewe ndio katengezeza hayo mazingira ya kuzihakiwa, siku zote heshima ya mtu haishushwi na mtu mwingine zaidi yako mwenyewe.Jamani sio jambo jema kuwa tunamdhihaki mheshimiwa Rais kwa mambo ya kipuuzi kama haya
Huyu ni mkuu wa nchi
Wapi nilipojichanganya?Sema! Ulitaka atumie maneno gani badala ya "catalyst".
Marekebisho juu ya marekebisho!Huu ni upumbavu wa hali ya juu. Eti that was embarrassment. Wewe mwenyewe hujui Kiingereza. Msitake kujifanya mnajua lugha wakati hiyo lugha sio ya kwenu. Huu ni ujinga tu.
Ha ha ha, yaani mpaka leo hii watu hawajajitambua.Marekebisho juu ya marekebisho!
Umesema najichanganya.Soma nukuu yako hapa chini, uone jinsi unavyojichanganya. Hivi unajiona uko sawa kumpangia mtu cha kuzungumza?
Sasa hapo nimejichanganyaje?Unajifanya huoni! Nakuwekea kwa mara pili nukuu yako hapa chini.
Nakuuliza tena, wewe ni nani hadi umpangie mtu cha kuzungumza?
Take a glass of water.Great thinkers discusses issues but less minded people always think about a single word and not ideas. Grow tobecome great thinker
Ila wakati mwingine kuna kukosea tu Mkuu.Hadi huwa nashangaa! Kuna mijitu inajofanya mijuaji humu kumbe hamna kitu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yeye anachukia upinzani na analipwa chuki au we ulitakaje?Chuki mbaya sana