The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,654
Anyways, uzungumzaji wa lugha kwa ufasaha sio kipimo cha uongozi/elimu bora.
Atleast mngemhukumu kwenye matendo yake na si lugha.
Kila kitu 'anaharibu'
sasa bank zinafilisika....
Anyways, uzungumzaji wa lugha kwa ufasaha sio kipimo cha uongozi/elimu bora.
Atleast mngemhukumu kwenye matendo yake na si lugha.
Vitu vingine vidogo sana kwenye maisha ni bora kuachana navyo tu
Hiyo ya chemistry au physics ngoja nifatilie nitakujaTwende class kidogo...
Catalyst is proactive in defining the sectors they participate in finding hidden sectors of Golda and not simply following others in the space they strike a great balance between being founder, friendly and also looking after their limited partners at every step of the journey.
Kwangu hii mara ya pili sasa kumsikia mheshimiwa mtukufu rais wetu Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akielezea maana ya neno 'catalyst'.
Mara ya kwanza ilikuwa ni pale Arusha kwenye mkutano wa jumuia ya Afrika Mashariki.
Sasa leo tena nimemsikia akielezea maana ya hilo neno wakati wa mkutano wake na rais Uhuru Kenyatta.
Angalia hiyo video hapo chini hususan dakika ya 7 na sekunde 53.
Huyu jamaa bana! Sijui hilo ndo neno alilofanikiwa kulikariri kiurahisi zaidi kwenye hiyo fani yake ya ukemia...
Kinda embarrassing....
Kiranga
Naunga mkono hoja, tena kama ulivyoshauri, kama Usalama wa taifa wamo humu waje wawakamate watu hawa wawafungulie mashtaka ya uhaini kabisa maana uchochezi adhabu yake ni faini ndogo tuu ya tumilioni tusaba tuu!.Kinacho nishangaza hivi jamii forum ni uwanja wa kejeli, matusi, vitisho na kashfa kwa rais wetu ?! Hivi siasa zinaweza kutoa uhuru wa mtu kuongea chochote anachojisikia kwa kiongozi alitechaguliwa kwa uwingi Wa kura dhidi ya wale walioshindana nae ?
Kama usalama wa Taifa hili mko humu ndani kiukweli kabisa hamtutendei haki kabisa..!!!
Sisi tunakerwa sana na hizi kejeli na midhaha ya kipuuzi bila shaka inavuka mipaka na kutuvua nguo. Plz watafuteni watu hawa washughulikiwe kwa yale wayasemayo kama mfano. Plzzzzz.
Tupo digital kiongozi, ukisema/ukifanya jambo linasambaa at a speed of light. Kama anafanya yasiyo sahihi ni lazima asemwe tu maana hakuna namna!!Jamani sio jambo jema kuwa tunamdhihaki mheshimiwa Rais kwa mambo ya kipuuzi kama haya
Huyu ni mkuu wa nchi
Mdomo, vidole, na ubongo nilionao vyote ni mali yangu.Poa! Siku nyingine jifunze kukaa kimya. Usiwe unaandika vitu vya ajabu ajabu kama hapa chini..
Mkuu tumia busara kukosoa.Humu kuna MIJINGA mingi mno tena mno! Ukipata nafasi ya kukosoa una kosoa mara moja moja kama hivi. Tofauti na hapo utakuwa unakosoa kila mada.
wapi nimeandika kuwa amekosea?Jambo lipi ambalo siyo sahihi hapo? Kisiasa au kilugha au kisayansi?
Unaweza kuainisha kosa lolote lililojitokeza hapo?
Ok nimeachana na wewe ila nashukuru nimekupa kasomo kidogoAnza na wewe kuachana na mimi basi, sawa?
Sasa na wewe utakerekaje huku unacheka?
Afadhali hilo neno anaweza ku tamka
Kuna mkutano wa wakuu wa nchi za EAC alishindwa kutamka 'deliberation'
akaishia kucheka tu na kutabasam
that was embarrassment....
Kobello kasema...kunauwezekano bank zina'uwawa' kutokana na CEOs wa hizo benk kujilipa kupindukia, na kuwekeza kwenye isssues zisizofuata misingi ya financial management!! (Kwa kama kawa unaweza kuuliza 'who is Kobello')Kila kitu 'anaharibu'
sasa bank zinafilisika....
Kobello kasema...kunauwezekano bank zina'uwawa' kutokana na CEOs wa hizo benk kujilipa kupindukia, na kuwekeza kwenye isssues zisizofuata misingi ya financial management!! (Kwa kama kawa unaweza kuuliza 'who is Kobello')
Kwangu hii mara ya pili sasa kumsikia mheshimiwa mtukufu rais wetu Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akielezea maana ya neno 'catalyst'.
Mara ya kwanza ilikuwa ni pale Arusha kwenye mkutano wa jumuia ya Afrika Mashariki.
Sasa leo tena nimemsikia akielezea maana ya hilo neno wakati wa mkutano wake na rais Uhuru Kenyatta.
Angalia hiyo video hapo chini hususan dakika ya 7 na sekunde 53.
Huyu jamaa bana! Sijui hilo ndo neno alilofanikiwa kulikariri kiurahisi zaidi kwenye hiyo fani yake ya ukemia...
Kinda embarrassing....
Kiranga
Haswa Eric Omomdi. Maana kila Diamond akitoa video lazima aitolee comedy. TAYARI nyimbo "Utanipenda" na "Salome" kishazifanyia "Utani" wake hivyo uwezekano wa kumuigiza JPM upo.Akiondoka huko, nisikilizie Stand Up Comedians wa Kikenya watakavyokuja na mpya ..............!!