Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,008
- 142,676
- Thread starter
- #41
Nijieleze nini zaidi ya kukuwekea nukuu zako!
Umeshindwa kuonyesha nilipojichanganya.
Unaleta ujanja ujanja hapa,
Hayo ni maruerue yako tu baada ya kushindwa kunionyesha nilipojichanganya.
sema wewe ni nani hadi umpangie mtu cha kuzungumza?
Wapi nimempangia mtu cha kuzungumza?