Mwana
JF-Expert Member
- Aug 6, 2010
- 5,435
- 1,967
Its not about languaje, tatizo watu wengi hawaelewi maana ya Catalyst!Lugha gongana!!!!....atumie tu kiswahili mwanzo mwisho...nini ulimbuk** wa kutumia lugha za wenzetu tusizozjua fresh!!!?
Its not about languaje, tatizo watu wengi hawaelewi maana ya Catalyst!Lugha gongana!!!!....atumie tu kiswahili mwanzo mwisho...nini ulimbuk** wa kutumia lugha za wenzetu tusizozjua fresh!!!?
Definitions of catalyst. n (chemistry) a substance that initiates or accelerates a chemical reaction without itself being affectedKwenye Learners' Dictionary ya Oxford, catalyst - person/thing that causes change. Unaweza kusema x and y are catalysts for change.
Haya kwa kawaida huwa ni majibu ya mtu aliyekosa hoja katika mijadala sasa badala ya kunyamaza ili atunze heshima yake anaona ni bora ajitangaze kuwa yeye si miongoni mwa wastaarabu na wala si muungwana na hivyo kuifanya jamii imdharau na kumpuuza. Silence speeks louder than voice!Mleta mada Ni F.la!
Kwenye Learners' Dictionary ya Oxford, catalyst - person/thing that causes change. Unaweza kusema x and y are catalysts for change.