Rais Magufuli, mambo unayoyafanya yatadumu?

Sina uhakika kama hiki ninachokiandika kitamfikia rais lakini angalau Watanzania watajua kinachoweza kutokea huko mbeleni.

Binafsi naona Rais Magufuli anapambana na UZEMBE NA RUSHWA kuliko marais wote waliopata kuiongoza Tanzania. Sikubaliani naye kwa kila kitu lakini kwa hili namsifia.

Kitu kinachonipa shida ni baada ya Rais Magufuli kumaliza muda wake. Je, Rais atakayemfuatia atafuata nyayo zake? Hili swali linanipa wasiwasi. Hivi rais Magufuli utajisikiaje kama rais atakayefuata atayafutilia mbali yale mazuri uliyoyaanza? Kazi yote uliyoifanya itakuwa ni sifuri. Ni sawa na kupiga hatua mbili mbele halafu hatua tatu nyuma.

Kutatua jambo hili yafaa kuwe na succession plan. Inabidi waanze kuandaliwa watu waadilifu kuanzia sasa ili nchi isije kuangukia kwenye wrong hands.

Mungu ibariki Tanzania.
Hata yeye amefutilia mbali nguvu ya taasisi mbalimbali ambazo Kikwete alizianzisha. Kila mmoja awe mvumilivu mambo yake yakifutiliwa mbali.
 
Tz hatuna mfumo endelevu kila ajae huja na yake,ataingia muislamu Kama ilivozoeleka.Waislamu huwa na utu wote tunashiba,usipojenga kipindi Chao utojenga tena, wakristo awatupi makombo chini vyoote uishia mezani kwa wateule.Mapaka,mbwa,nk waliouvunguni chini ya meza wote ni kilio cha njaa, waislamu ukumbuka kutupa makombo chini angalau viumbe vingine navyo vishibe.
Tanzania ikiwa nchi ya marais waislam wana wa bongo huwa wanakula sana maisha, hawa wakristu wakatoliki sijui wana shida gani ?
Kazi yao kubwa ni kubaini na kuharibia watu maisha ndio sera zao kuu.
 
Mm? Nilikuahidi kitu? Hpn utakuwa umechanganya mafile..we ndo kwanzaa ni new project kwangu[emoji41]
Ilikua utan tyuuh vile wala usichukulie serious, npo joker San [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sina uhakika kama hiki ninachokiandika kitamfikia rais lakini angalau Watanzania watajua kinachoweza kutokea huko mbeleni.

Binafsi naona Rais Magufuli anapambana na UZEMBE NA RUSHWA kuliko marais wote waliopata kuiongoza Tanzania. Sikubaliani naye kwa kila kitu lakini kwa hili namsifia.

Kitu kinachonipa shida ni baada ya Rais Magufuli kumaliza muda wake. Je, Rais atakayemfuatia atafuata nyayo zake? Hili swali linanipa wasiwasi. Hivi rais Magufuli utajisikiaje kama rais atakayefuata atayafutilia mbali yale mazuri uliyoyaanza? Kazi yote uliyoifanya itakuwa ni sifuri. Ni sawa na kupiga hatua mbili mbele halafu hatua tatu nyuma.

Kutatua jambo hili yafaa kuwe na succession plan. Inabidi waanze kuandaliwa watu waadilifu kuanzia sasa ili nchi isije kuangukia kwenye wrong hands.

Mungu ibariki Tanzania.
Sema tu isiangukie kwa mamtu Kama mende 😂🤣😂🤣!
 
Mimi niko tofauti na wewe.
Katika marais wote wliopita huyu ndie rais anaetoa rushwa wazi wazi.
Moja anatoa rushwa za uongozi ambazo ndiyo mbaya zaidi kuwahi kuwepo katika jamii.
Pili anatembea na kitita cha cash katika ziara zake kugawa pesa hovyo hovyo
Tatu alimdhibiti na kumfukuza mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali baada ya kugundua upotevu wa Tsh, 1.5 badala ya kukaa nae karibu na kutaka kufahamu hela ilipotea je.
Rushwa imezuiwa kwa wengi ila imefanyika kwa wachache ikiwa katika kiwango kikuu kinachoacha mbali sana ile rushwa ndogo ndogo ya wengi.
Taasisi kibao zimepigwa kufuli kukaguliwa kwa hofu ya matumizi mabaya kabisa kuwahi kutokea nje ya sheria kama vile kununua wapinzani , ulinzi wa rais nk.
 
Huu uandishi sio wa mwanamke. Mzee baba una force King kwa hali na mali.
Huhuhuhuh by the way, wee ndo unaeteseka, halafu sikuja humu kumfurahsha au kumchukiza mtu, nlikuja kujifunza na kuburudika, [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] stress mbaya sanaaaaah. Poleeeeeh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom