cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 120,032
- 196,633
[emoji2][emoji2] hebu relaaaaaax,Mungu wangu[emoji87][emoji87]
[emoji2][emoji2] hebu relaaaaaax,Mungu wangu[emoji87][emoji87]
Twenzetu chumban baby[emoji2][emoji2] hebu relaaaaaax,
Huhuhuh utalipukiwa na boom huko chumbani, baki hapaaah.Twenzetu chumban baby
Namlinganisha na magufuli. Mimi simlinganishi na Yesu kama braza kangi.Unamlinganisha na nani?
True tatizo ni unafiki wa viongozi wa dini wa Kikristo kutosimamia kweli.Check hata 90% ya madikteta wote ni Wakristo.Tanzania ikiwa nchi ya marais waislam wana wa bongo huwa wanakula sana maisha, hawa wakristu wakatoliki sijui wana shida gani ?
Kazi yao kubwa ni kubaini na kuharibia watu maisha ndio sera zao kuu.

Mkuu me nadhani inawezekana kama angetengeneza Mfumo imara!Sina uhakika kama hiki ninachokiandika kitamfikia rais lakini angalau Watanzania watajua kinachoweza kutokea huko mbeleni.
Binafsi naona Rais Magufuli anapambana na UZEMBE NA RUSHWA kuliko marais wote waliopata kuiongoza Tanzania. Sikubaliani naye kwa kila kitu lakini kwa hili namsifia.
Kitu kinachonipa shida ni baada ya Rais Magufuli kumaliza muda wake. Je, Rais atakayemfuatia atafuata nyayo zake? Hili swali linanipa wasiwasi. Hivi rais Magufuli utajisikiaje kama rais atakayefuata atayafutilia mbali yale mazuri uliyoyaanza? Kazi yote uliyoifanya itakuwa ni sifuri. Ni sawa na kupiga hatua mbili mbele halafu hatua tatu nyuma.
Kutatua jambo hili yafaa kuwe na succession plan. Inabidi waanze kuandaliwa watu waadilifu kuanzia sasa ili nchi isije kuangukia kwenye wrong hands.
Mungu ibariki Tanzania.
Wakristo jina ni wakorofi na wanafki sana.Tru
True tatizo ni unafiki wa viongozi wa dini wa Kikristo kutosimamia kweli.Check hata 90% ya madikteta wote ni Wakristo.