Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,007
- 13,799
Are you Kenyan boss?Asante sana kwa taarifa
Are you Kenyan boss?Asante sana kwa taarifa
inaitwa gahawaNgoja niandae kabisa kahawa na kashata, natumaini kuna makombora lazima yatumwe kwa wale wanaojifanya kutuletea choko choko, wahenga walisema "Choko choko mchokoe pweza, Binadamu hutomuweza"
Hahahaaa Daaah Aisee. Huyu mtu ni shidaLeo ngoja tukae makini anaweza kutangaza kuisha kwa corona duniani tuzidi kuchapa kazi hamna namna tena
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe kama umepata hela ya Ada tulia wengine hatuelewi pesa tutapata liniAfungue vyuo na shule tu
Kweli haina maana kufunga shule na vyuo wakati shughuli zingine zinaendelea kama kawaida.Afungue vyuo na shule tu
Hatimaye shule na vyuo kufunguliwa baada ya hotuba ya leo na ligi itarejea na mashabiki tutahudhuria
Kisura Kichafu Chenye Masikitiko Fake na Ya Kinafiki Live On TV.
Mabeberu watanangwa na Nani sasa