Ebu to pay some respect kwa raisi wetu hiv vijembe vya lugha havina maana
Rais nani?
Ebu to pay some respect kwa raisi wetu hiv vijembe vya lugha havina maana
Sipendi upumbavu wa kuhusisha maamuzi magumu ya rais na hoja dhaifu ya lugha. Aliyewaambia UN hakuna wakalimani wa kiswahili ni nani? Hivi nyie wakuja mnajua lugha za UN ziko ngapi?
Mbona watanzania hamna jema kipindi cha JK mlisema anasafiri sana kipindi hiki cha JPM ametulia hasafiri ovyo bado mnalalamika kua hasafiri sijui watanzania mnataka nini acheni kulalama ovyo..
Usimchokoze Mhe. Msigwa, msemaji wa Ikiulu yupo, muulize yeye.[/QUOTE
Hakina ugumu wowote. We ongea cha aina yoyote cha msingi ueleweke. Tunataka content hatujali sana grammar. Hata kuchomekea inaruhusiwakingereza kigumu nyie msifanye masihara!!!
Suala sio ngeli mkuu,
Marais Kama Putin wa Urusi huwa wanahutubia mikutano ya umoja wa mataifa kwa Lugha za nchi zao Na tafsiri inafanyika kwa wasioelewa.
Kwa nini sisi watanzania hatujithamini?
Inakera sana kuona watu wanashika bango humu kuwa rais hajui kiingereza, fikra za kitumwa kabisa!
Kiingereza ndio kitatuondolea umaskini?
Utapata kwani mimi nahisi kaka katumia muda huu wa majonzi ya Kagera kufanya rehearsal ya hotuba yake kwenye UN. Watu wanahoji kama ni lazima, mimi nadhani ni wajibu wa wakuu wa nchi kuhudhuria kwani ndicho kikao kikuu cha UN ambacho kila mkuu wa nchi anatoa lake la moyoni na kuelelzea kinachomkera. Kumbuka Mugabe ambavyo kila mwaka hakosi na kila mwaka ndo anapata mwanya wa kuwabeza watawala wa UK na US mpaka mara nyingi nchi nyingi huwa zinatoka. Kumbuka wakati wa Rais wa Venezuela alivyokuwa akitoa vigongo naye. Mwalimu alitumia kikao hiki hiki kwenye Senventees kumtetea China aingie kwenye UN na alikubaliwa at last.
Tunaomba kaka Pombe aende atoe ya moyoni, aelezee mikakati ya TZ kumaliza ufisadi na aongelee mifarakano ya Maziwa makuu inavyotuzalishia wakimbizi ili hali wakimbizi wanaoangaliwa ni wale wa Syria na kwingine wakati vita ya kongo na sintofahamu ya Burundi imefumbiwa macho. Awaelezee jinsi alivyoleta elimu ya bure na aseme alivyoanza na madawati na siyo madaftari, kalamu na vitabu vya kiada kwa kila mtoto. Naamini yupo busy na mazoezi na atapanda ndege yetu wenyewe kwenda na kutua JFK. Amina.
Daaah nmecheka sana aiseeLabda kajifungia anameza nondo ndo maana kachindwa hata kwenda bukoba
KoollUN UNARUHUSIWA KUTUMIA LUGHA YOYOTE..HATA KAMA MAGU ATATUMIA KISWAHILI TRANSLATOR MACHINE ZIPO...
SO HAKUNA WASI...
MBONA WARUSI WACHINA ETC WANAONGEA LUGHA ZAO..
OVA
Hatuondolewi umaskini na utaalamu wa lugha iwe kiswahili ama lugha ya kigeni ......Kiswahili kitatuondolea umasikini
Hahahahahakingereza kigumu nyie msifanye masihara!!!
Hahahaaa wachanfanyie na kilugha watakoma wenyewIn my countrrry Tanzania we have a problem which is too big, and that's... people use to die in the rek "lake"
Dah mkuu mpk hapo kwe kamwene wakalimani wataona vumbiMe, a catalyst, never change at the end of chemical reaction but not put in the test tube, never ever kamwene mnogage! Uh sorry! English is a missed call.
Pia kujua kiingereza hakuzuii kufanya yote ulioyasema hapo juu....acha uvivu kijana hata marekan walipelekewa kiingereza na wanaongea mpk kesho...nchi za east africa zote wanaongea kuswahili plus lugha nyingne sa c watz tunataka kiswahili tuu!!!Kiingereza hakileti chakula. Kiingereza hakiondoi rushwa na ufisadi. Kiingereza hakiboreshi hali za maisha ya watanzania. Kwahyo hata kama Rais Magufuli angekuwa anaweza kuongea kiingereza bora kuliko binadam yeyote hapa duniani haimaanishi kuwa angefanya vizuri katika kutatua matatzo ya watanzania
Haa.. Umenikumbusha mbali aisee, ilikuwa ikifika jioni siku za weekend ni mwendo wa mijadala dormitoryHumu ndani raha Sana utadhani tupo dormitories.
Ndio maana kuna msemo unaosema; binadamu hawana jema.UN General Assembly inaanza Jumatatu Sept 19 2016. Hivi ni lazima Rais aalikwe kuhudhuria mkutano huo au huwa wanaenda tu?..Rais wa Nigeria atahutubia na ameshawa taarifu wananchi wake nini atahutubia. Nakumbuka hata Rais Mstaafu Mwinyi niliwahi kumshuhudia akihutubia..Sijui Mheshimiwa Magufuli atahudhuria na kuhutubia? Nafikiri Msigwa atatuhabarisha.