chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,401
- 4,396
kiswahili bado hakijaruhusiwa kutumika UNOHumu mna ****** wengi sana,wanaodhani kujua kingereza ndio kua msomi,anaweza kwenda na akahutubia kwa kiswahili maana ni lugha ya kimataifa,Rais wa China akienda anahutubia kichina na wakalimani wapo sasa nyie mnaodhania kiingereza ndio elimu mjue mmetawaliwa bado fooool