Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,514
- 14,238
Nchi maskini kama hii na nyinyi mnataka muwe jeuri kama Putin?Putin anaongea kiingereza?
Acha fikra za kitumwa
Nchi maskini kama hii na nyinyi mnataka muwe jeuri kama Putin?Putin anaongea kiingereza?
Acha fikra za kitumwa
Mabarabara badala ya barabarakile kiswahi kitatafsirika kweli?
mfano fanizia badala ya fanyizia
Nchi maskini kama hii na nyinyi mnataka muwe jeuri kama Putin?
Teh teh teh teh Mkuu mbona unakuwa mchochezi?Swali la kwanza, kule wanatumia kiswahili? na ile ngeli yenye viraka vya grammar itakuaje?
Wewe unafikiri kuishi kama upo kwenye kisiwa ndio umaskini unaisha? Kama kweli mnaenzi kiswahili mbona mitaala ni ya kiingereza?Hicho kiingereza ndiyo kitatuondolea umaskini?
Kwa kujifungia ndali wawekezaji watajileta wenyewe? Angalia jk aliketa watalii zaidi ya laki saba na wale wa awali laki 6 wakawa 1.3 milion! Utalii ukawa ndo sekta no moja kutuingizia pesa za kigeni! Kujifungia ndani hakuna faida yoyote!Mbona watanzania hamna jema kipindi cha JK mlisema anasafiri sana kipindi hiki cha JPM ametulia hasafiri ovyo bado mnalalamika kua hasafiri sijui watanzania mnataka nini acheni kulalama ovyo..
Naipenda sana username yakoKuuliza sio ujinga,
Imeandikwa wapi kuwa kiswahili hakitambuliki huko UN General assembly?
Kwa hiyo Tanzania kinakotokea kiswahili sio nchi huru?
🙂🙂 true kabisando mana kapotea sana mtukufu wetu kumbe alikua anakula tizi ya kuongea kizungu huko UN hope amesha kariri misamiati kadhaa!!
Huu ni mkutano muhimu na ni vema mkuu wa nchi akahudhuria.UN General Assembly inaanza Jumatatu Sept 19 2016. Hivi ni lazima Rais aalikwe kuhudhuria mkutano huo au huwa wanaenda tu?..Rais wa Nigeria atahutubia na ameshawa taarifu wananchi wake nini atahutubia. Nakumbuka hata Rais Mstaafu Mwinyi niliwahi kumshuhudia akihutubia..Sijui Mheshimiwa Magufuli atahudhuria na kuhutubia? Nafikiri Msigwa atatuhabarisha.
Ha ha ha...umefuta tusi lake lote mkuu...Huyu Mother Faka anachoma chipsi kibanda namba ngapi pale UN?
Mkulu lazima akitumbue kiingereleza ndani ya miaka 5. Hivi kiingereza hakitambui kwamba mkulu wetu hajaribiwi? Mkulu anakilia-timing tu kidhungu akiumbue.Labda kajifungia anameza nondo ndo maana kachindwa hata kwenda bukoba
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Me I am not testable!
UN General Assembly inaanza Jumatatu Sept 19 2016. Hivi ni lazima Rais aalikwe kuhudhuria mkutano huo au huwa wanaenda tu?..Rais wa Nigeria atahutubia na ameshawa taarifu wananchi wake nini atahutubia. Nakumbuka hata Rais Mstaafu Mwinyi niliwahi kumshuhudia akihutubia..Sijui Mheshimiwa Magufuli atahudhuria na kuhutubia? Nafikiri Msigwa atatuhabarisha.
Me, a catalyst, never change at the end of chemical reaction but not put in the test tube, never ever kamwene mnogage! Uh sorry! English is a missed call.Natamani kuona mkwala unapopigwa kwa kizungu(eg mimi huwa sijalibiwi kwa kithungu)