Rungu
JF-Expert Member
- Feb 23, 2007
- 3,932
- 1,727
Acha kukurupuka. Greyson Msigwa ni mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu. Unafiri hii Tanzania tunaye Msigwa mmoja tu?Usimchokoze Mhe. Msigwa, msemaji wa Ikiulu yupo, muulize yeye.
Acha kukurupuka. Greyson Msigwa ni mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu. Unafiri hii Tanzania tunaye Msigwa mmoja tu?Usimchokoze Mhe. Msigwa, msemaji wa Ikiulu yupo, muulize yeye.
Swali la kwanza, kule wanatumia kiswahili? na ile ngeli yenye viraka vya grammar itakuaje?UN General Assembly inaanza Jumatatu Sept 19 2016. Hivi ni lazima Rais aalikwe kuhudhuria mkutano huo au huwa wanaenda tu?..Rais wa Nigeria atahutubia na ameshawa taarifu wananchi wake nini atahutubia. Nakumbuka hata Rais Mstaafu Mwinyi niliwahi kumshuhudia akihutubia..Sijui Mheshimiwa Magufuli atahudhuria na kuhutubia? Nafikiri Msigwa atatuhabarisha.
Mkuu siwek vijembe lakn nataka nikwambie ukitaka kuheshimiwa tanguliza heshima. Mkuu katengeneza mazingira ya kutokuheshimika . Ukimkosoa ww mchochezi. Hata kitaa baba mkali mzee mkali husemwa kwa mafumbo!!Ebu to pay some respect kwa raisi wetu hiv vijembe vya lugha havina maana
ha ha ha...i am not tried (mimi sijaribiwi)
rather use provokei am not tried (mimi sijaribiwi)