MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,924
- 8,911
Upuuzi tu, hakuna siri yoyote ya maana hapo."Kwa vyovyote vile Sitotoa siri za baraza la mawaziri"
Upuuzi tu, hakuna siri yoyote ya maana hapo."Kwa vyovyote vile Sitotoa siri za baraza la mawaziri"
Elewa boss..kaapishwa na Jaji Mkuu..lakini kimpangilio yeye pale anakuwa Kama waziri tu siokweli akili tatu kwani ameapishwA na Nani apo
okayRais Magufuli leo anaongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri baada ya uchaguzi mkuu wa 2020.
Tukio liko mubashara TBC, Channel ten na ITV
Updates;
Viongozi wote wameshaketi ukumbini akiwemo makamu wa Rais mama Samia, Rais wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi na Waziri mkuu mh Majaliwa.
DooohNilistuka nikahisi labda kikao cha kwanza cha Baraza la Malaika