Rais Magufuli aongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dodoma, Rais Mwinyi aapishwa kuwa Mjumbe wa Baraza

Rais Magufuli leo anaongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri baada ya uchaguzi mkuu wa 2020.

Tukio liko mubashara TBC, Channel ten na ITV

Updates;

Viongozi wote wameshaketi ukumbini akiwemo makamu wa Rais mama Samia, Rais wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi na Waziri mkuu mh Majaliwa.
okay
 
Siku hizi nyuzi za Mwendazake zimepamba moto
Sijui ni "wafiwa" wanatafuta pa kumtibulia rais au ni wapinga maridhiano wanatafuta pa kutokea?
 
Back
Top Bottom