Rais Magufuli aongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dodoma, Rais Mwinyi aapishwa kuwa Mjumbe wa Baraza

Aisee, vikao hivyo ni SIRI hata minutes zake ni miongoni mwa highly classified documents. Hakina serious agenda atikayo jadiliwa live.

Ni kama ule usanii wa eti uchaguzi wa CCM unafanyika hadharani, kisha kikao cha maamuzi nani hasa agombee kikawa gizani!
 
Rais wa Tanzania, John Magufuli leo Jumatano ataongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri jijini Dodoma. Matangazo ya moja kwa moja ya kikao hicho yatarushwa kuanzia saa 4:00 asubuhi.

Historia itawekwa leo ikiwa ni mara ya kwanza kikao cha Baraza la Mawaziri kurushwa mbashara kwenye TV na Redio mbalimbali nchini.

=========

Kikao cha baraza kinaanza kwa kiapo cha Dkt. Mwinyi kama mjumbe wa baraza la mawaziri mbele ya Jaji mkuu wa Tanzania, Dkt. Ibrahim Juma na kuwa mjumbe Rasmi wa Baraza la Mawaziri.

Rais Magufuli anampongeza kwa kuapa na kumkaribisha kwenye kikao, Rais Magufuli anawakaribisha wajumbe wote na kuwapongeza kuwa wajumbe wa Baraza la Mawaziri.

Kila siku ni mambo ya kipuuzi tu, yasiyoongeza mapato, tukio kama hili, kuna haja gani ya kulipeleka mubashara?
Zilianza teuzi, vikaja viapo, viapo Tena na majigambo yasiyo na tija, jiwe hajui afanye nini? Kila kitu hovyo. Sasa ni kugawa vyeo na kutisha tisha watu tu.

Ajira.
Kilimo.
Huduma za jamii.
Maji.
Elimu ya juu.
Mahusiano ya nje.
Innovation na IT.
 
Rais wa Tanzania, John Magufuli leo Jumatano ataongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri jijini Dodoma. Matangazo ya moja kwa moja ya kikao hicho yatarushwa kuanzia saa 4:00 asubuhi.

Historia itawekwa leo ikiwa ni mara ya kwanza kikao cha Baraza la Mawaziri kurushwa mbashara kwenye TV na Redio mbalimbali nchini.

=========

Kikao cha baraza kinaanza kwa kiapo cha Dkt. Mwinyi kama Mjumbe wa Baraza la Mawaziri mbele ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Dkt. Ibrahim Juma na kuwa mjumbe Rasmi wa Baraza la Mawaziri.

Rais Magufuli anampongeza kwa kuapa na kumkaribisha kwenye kikao, Rais Magufuli anawakaribisha wajumbe wote na kuwapongeza kuwa wajumbe wa Baraza la Mawaziri.

Mbona uchaguzi haukuwa live? Mbwembwe za vikao vya mawaziri hali ya kuwa mlijipachika madarakani wenyewe hatuzitaki! Ingelikuwa tuliwachagua hapo sawa! Lakini kwa vile mlituibia hatuna hamu na lolote mtakalolifanya.
 
Kama Seifu angeukwaa Urais wa Zanzibar hapo asingelihudhuria hata dakika moja, moja ya sababu ya kutumika kuyapindua matokeo ya Chaguzi za Zanzibar ni hilo.
 
Rais wa Zanzibar ni mjumbe wa baraza la mawaziri, ila rais wa Tanzania siyo mjumbe wa baraza hilo bali ni Mwenyekiti wa baraza. Hii ni kwa mujibu wa Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, ya nwaka 1977.

Lakini interesting, ni kwamba Rais wa Zanzibar, ni mjumbe wa baraza la mawaziri la JMT, impliedly, Rais wa Zanzibar katika JMT ni waziri wa Zanzibar.

Sijui waandishi wa Katiba ya JMT, 1977 walikuwa na lengo na au maana gani.

Lakini ajabu nyingine, Katiba ya Zanzibar ya 1984 toleo 2010, inasema Zanzibar ni nchi na ina Rais, ila Katiba ya JMT, Rais huyohuyo anatambuliwa Kama Waziri, impliedly, Waziri wa Zanzibar.

Ninafikiri tuna haja ya kusawazisha haya Mambo. Ni mengi.

Waziri Mkuu wa JMT hatambuliki Kikatiba huko visiwani, lakini pia, Katiba ya JMT inamtambua Waziri Kiongozi wa Zanzibar, wakati Katiba ya Zanzibar haimtambui maana hicho cheo kilifutwa 2010.

Katiba ya Zanzibar inawatambua Makamo wa Kwanza na wa Pili wa Zanzibar wakati Katiba ya JMT haimtambui hilo Jambo.
Sasa sijui, kiitifaki Makamu wa rais wa JMT akiwa pamoja na hawa Makamo watatambulikaje.
Lakini pia rais wa Zanzibar anakuwa anaapa mbele ya Majaji Wakuu wawili, ameapa mbele ya Jaji Mkuu Zanzibar kuwa rais wa Zanzibar, na anaapa kwa Jaji Mkuu wa JMT kuwa mjumbe wa Baraza la Mawaziri. Labda ni sawa; lakini, mbona Makamu wa rais hali kiapo mara mbili ilihali naye ni mjumbe wa cabinet?

Katiba hizi zinahitaji mapitio ili zilinganishwe mana Sasa ni muda mrefu Katiba ya JMT haijarekebishwa since 2008 ambapo ilirekwbishwa.

Kabla ya 2008 ilirekwbishwa 2005, 2002, 1998, nk.
 
Rais wa Zanzibar ni mjumbe wa baraza la mawaziri, ila rais wa Tanzania siyo mjumbe wa baraza hilo bali ni Mwenyekiti wa baraza. Hii ni kwa mujibu wa Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, ya nwaka 1977.

Lakini interesting, ni kwamba rais wa Zanzibar, ni mjumbe wa baraza la mawaziri la JMT, impliedly, rais wa Zanzibar katika JMT ni waziri wa Zanzibar.

Sijui waandishi wa Katiba ya JMT, 1977 walikuwa na lengo na au maana gani.

Lakini ajabu nyingine, Katiba ya Zanzibar ya 1984 toleo 2010, inasema Zanzibar ni nchi na ina rais, ila Katiba ya JMT, rais huyohuyo anatambuliwa Kama Waziri, impliedly, Waziri wa Zanzibar.

zanzibar ni koloni letu mkuu
 
Zanzibar ni koloni la Tanganyika...

Sema na Waziri wa Zanzibar, Ndugu Hussein Mwinyi
tarehe kama ya leo Zanzibar ilijuunga na UNITED NATIONS 16-12-1963.
nchi hizi 2 kuwa na muwakilishi mmoja UN isiwe sababu ya kukosa adabu kwa kiasi hicho.
This union is international treaty
It is one decision away
 
Attachments

  • 20201216_130811.jpg
    20201216_130811.jpg
    45.2 KB · Views: 1
Rais wa Tanzania, John Magufuli leo Jumatano ataongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri jijini Dodoma. Matangazo ya moja kwa moja ya kikao hicho yatarushwa kuanzia saa 4:00 asubuhi.

Historia itawekwa leo ikiwa ni mara ya kwanza kikao cha Baraza la Mawaziri kurushwa mbashara kwenye TV na Redio mbalimbali nchini.

=========

Kikao cha baraza kinaanza kwa kiapo cha Dkt. Mwinyi kama Mjumbe wa Baraza la Mawaziri mbele ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa. Ibrahim Juma na kuwa mjumbe Rasmi wa Baraza la Mawaziri.

View attachment 1651393
Jaji Mkuu Profesa Juma akimwapisha Dkt. Mwinyi kuwa Mjumbe wa Baraza la Mawaziri

Rais Magufuli anampongeza kwa kuapa na kumkaribisha kwenye kikao, Rais Magufuli anawakaribisha wajumbe wote na kuwapongeza kuwa wajumbe wa Baraza la Mawaziri.
Nimekaa kwenye tv kuona hiyo historia ikiandikwa Msigwa amekata matangazo, swali mlikuwa mnamlaghai nani?

Kikao cha baraza la mawaziri ni siri, hata naibu waziri haingii, wewe mcheza kiduku ndio uoneshwe kwenye tv mjadala wa kikao cha baraza la mawaziri?

Hao mawaziri wenyewe wanakula kiapo cha kutunza siri za vikao hivyo, halafu wewe zuzu unajiaminisha utaoneshwa kikao kinajadili nini? Nonsense.
 
Kumbe cabinet members huapishwa na jaji mkuu??
Na hao wajumbe wengine akina Kabudi na wenzie jaji aliwaapisha lini?
 
Rais Magufuli leo ameshuhudia Rais wa Zanzibar Dr Hussein Mwinyi akila kiapo kuwa mjumbe wa Baraza la mawaziri mbele ya Jaji mkuu Prof Juma.

Hili ni takwa la kikatiba linalomtaka Rais wa Zanzibar kula kiapo kabla ya kuanza kuhudhuria vikao vya baraza.
Anakula kiapo ?

Kwani wadhifa wake kama Rais wa Zanzibar haumfanyi kuwa mjumbe wa baraza la mawaziri moja kwa moja ?
 
Ila hili la Rais wa znz kula kiapo naona Kama ni kuidhalilisha znz ama ndio kusema znz kwa tanganyika si kitu ..haiwezekan Rais ambaye kule ameteua mawaziri,wakuu wa mikoa,makatibu wa serikali na wizara..aje huku bara ageuke waziri...tena akiwa kule anapigiwa salut na mizinga ..Ila akija huku hivyo vyote ni hisan...

Yani inamaana pale JPM anaweza akamkoromea ama kumpuuza Mwinyi..the same kwa waziri Mkuu nk.

Na kingine, Kama Rais wa znz akija huku anakuwa ni sehemu ya mawaziri , ambapo kikawaida kijanja wa mawaziri ni PM mbona kwenye ukaaji wao asianze PM Kisha ndio Rais wa SMZ !? Ila badala yake anaanza Rais SMZ Kisha PM!?

Nafikiria Kuna haja ya kuifanya znz kuwa wizara kwa kuwa waziri wake ambaye ni Rais anahudhuria kikao cha Baraza la mawaziri wa tanganyika.
 
Back
Top Bottom