Rais Magufuli aivunja Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala

Uyo Boniface JACOb nae Ni wa kupuuzwa Kama wapuuzi wengine.

Anachoshangaa Ni Nini hapo?

Kwani kabla ya hapo, izo gongo la mboto, chanika n.k zilikua zinahesabiwa wapi?

Si zilikua jijini hapo hapo?

Anachoshangaa Ni Nini Sasa, Mbona hajashangaa nyumba za udongo zilizoko kariakoo na Ni katikakati ya jiji.

Aache ujinga bhana
 


Duuh..
Hii mitaa inanikumbusha mbali sana, wakati nasoma, nikitoka shule lazima nipite mtaa wa congo mwanzo mpaka mwisho
Halafu kuna vimitaa katikati wanauza raba za kuchumpa na za kupalama mitumba wakati huo hamna za mchina ni Nike , Reebok na Adidas za mitumba.
 
Tusipotezeane muda na wala tusibishe kwa hili Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli yupo sahihi kwani Ilala ndiyo Dar es Salaam na Tanzania vile vile. Na hata Watoto wa Mjini wote wapo Ilala na siyo Kwingineko ambako kumejaa tu Washamba na Malofa watupu japo wenyewe ( wao ) wanajiona Wajanja.
Lakini washua wote wanaishi kinondoni
 
Yaani Mkazi wa Osterbay, Masaki, Mikocheni na Mbezi Beach wanaishi Manispaa wakati wakazi wa Ulongoni, Gongolamboto, Buguruni kwa Mnyamani, Chanika wako Jiji la Dar😃😃 Tutaelewana tu hata kama itachukua muda ila mwishoni tutaelewana.

Mikumi Sasa siyo Mitano tena.
Nchi imekosa maono
 
Huko masaki zaidi ya wanadiplomasia na vigogo kwenda kulala kuna uzalishaji gani? Unaweza ukakuta pato la stendi ya gomzi ni Kubwa kuliko kinachoingizwa Kata nzima ya masaki sijui ni kata kijiji au tarafa.
Hujui kwamba Masaki na Oysterbay Kuna maofisi mengi kuliko makazi? Migahawa, night clubs, shopping malls, mahoteli ya kitalii yako mengi.
 
Huko masaki zaidi ya wanadiplomasia na vigogo kwenda kulala kuna uzalishaji gani? Unaweza ukakuta pato la stendi ya gomzi ni Kubwa kuliko kinachoingizwa Kata nzima ya masaki sijui ni kata kijiji au tarafa.
Masaki ni mtaa ulioko kwenye kata ya Msasani. Nakuhakikishia makusanyo ya kata ya Msasani ni makubwa mno ukilinganisha na kata ya Gongo la Mboto
 
If you are wise enough,u can't complain abt president decision. if u can't understand now,wait for the results of his act.simple & clear.
 
Pole sana. Tatizo umezoea kucrame na nina wasiwasi mrija wako umekatwa. Swali, je rais ameharibi kitu gani? na kama mlikuwa mnadhani city council ni ya kuvunjwa kwanini hamkusema wala kuliongelea. Chuki za wazi na rais. Kamwe hamtashinda.
 
Watu wanaochangia hapa ni wapumbavu sijapata kuona
Hivi wabongo mna shida gani hasa. Why bad blood always towards each other. Nlidhani as country we're truly related in one way or other. Kipi kinakuwa kizito kuchukia mtu ambae anacriticise kitu cha nchi yake aweze elewa. Kipi kinakuumiza kutumia nguvu ya kutukana watu ambao hujui hata kusema wengine ni wakubwa kwako humu au wana nafasi fulani hata kwa Mungu. Unapata faida gani hasa ukimchukia m2 ambae hata ID yake ni fake? 2badilike jamani kuhoji sio kosa kisheria wala dhambi. Kutukana je? Jenga hoja elewesha watu waelewe hata kama hawataelewa jaribu mpaka utakapo ona yafaa.
 
Yaani Mkazi wa Osterbay, Masaki, Mikocheni na Mbezi Beach wanaishi Manispaa wakati wakazi wa Ulongoni, Gongolamboto, Buguruni kwa Mnyamani, Chanika wako Jiji la Dar Tutaelewana tu hata kama itachukua muda ila mwishoni tutaelewana.

Mikumi Sasa siyo Mitano tena.
Ninadhani haujagundua kuwa haukugundua mapema. Na ambacho haukugundua wewe ni mahali lilipo jiji na maeneo linayoyahudumia!
 
Back
Top Bottom