Rais Kikwete safarini Marekani

Rais Kikwete safarini Marekani

Mkapa alifuata nyayo zake ndio maana akampeleka UK kutibiwa. Lakin kubwa zaidi Daktari wake alikuwa ni Prof Mwakyusa. Je inaingia akilini Mtz asomeshwe medicine mpaka kufikia U Profesa alafu amtibie mtu mmoja? Huo sio ubadhilifu na kutumia vibaya resource za taifa lenu?

Lipi bora sasa! Kutibu mtu mmoja tena RAIS wa nchi, Au kutotibu kabisa hata mtu mmoja na kukimbilia siasa?! Be the juror yourself
 
Hakujifunza kwa mzee mandela kutibiwa nyumbani!yaani viongozi wa africa kufia nje ya nchi zao wanaona sifa

mkuu kufia India ndo sufa mkuu tunapokuwa tunasubiri maiti ikisafilishwa toka india au uk au marekani ndo ufahari wenyewe mkuu.
 
Anasumbuliwa na S&T allowances!! Ndani ya week mbili tu ................. RSA x2, Kenya, sasa UAE na kesho USA!! Kama kweli ni matibabu kulikuwa na haja gani ya kupitia huko Dubai. Au anataka kudai ana save pesa za walipa kodi kwa cheap tickets za Emirates!!??

Dubai kuna bibi mdogo lazima akamjulie hali,
 
Nakumbuka kuna jamaa alishawahi kusema muheshimiwa asipojua kuendesha ndege atakua na kichwa kigumu sana..kwa safari hizi..
 
Wamarekani wampe kansa tu watusaidie kutupunguzia mzigo!
 
Umeongea kwa machungu sana hadi umeniliza
Haumwi huyo, anaenda kuangalia miradi yake. Kama mmegundua, siku hizi yeye ni kama mgeni Tanzania. Akirudi tu, anafanya ka ziara mikoani, anapiga picha na wajinga hili kuonesha alikuwepo, then anatokomea anakokujua.
Inawezekana ni maagano ya kishirikina kwamba asikae nchini zaidi ya muda fulani. Hadi kina michuzi waishamchoka sasa. Akifika Marekani, piga picha, Michuzi naye anapiga picha za majengo kuweka kwenye blog yake then wanarudi. Taifa linawalipa million 600.
Huyu baba hana huruma na watanzania, hapendi nchi yetu. Ni kama Zitto tu.
Watanzania mkiamua, hawa watu mtawatoa siku moja tu.
Ni wale wale. Hakuna cha Lowasa wala harambee. Inabidi bunge lifanye mkakati wa kuzuia malipo yake kwenye safari na kama rais. Tunamlipa kwa lipi sasa? Anatuhujumu mara mbili huyu juha. Tunamlipa bila kukaa ofisini na bado tunagharamia mamillion ya safari zisizo na tija?
Bunge liweke wazi badget ya safari zake na afungwe speed governor miguuni. Tuombe huko anakoenda wampime ubongo wake. Sidhani kama ni mzima huyu baba.
Hata mkuu wa mkoa Dar aishachoka kumpokea. Siku hizi anarudi kinyemera.
Hana tofauti na majangiri wanaotaifisha rasilimali zetu. Tena yeye anawazidi wale maana hata ukiua Tembo wote, huwezi kupata hela kama anayolipwa huyu mweu kwenye safari mbili.
 
Nyerere Miaka 24 Ikulu safari 66 nje ya TZ
JK miaka 8 Ikulu safari 361 nje ya TZ

Anayetetea safari za JK nje ya nchi ana matatizo ya kufikiri!!



Safari 361 times (approx) 7 days time 3000USD

361 X 7 X 3000 = $ 7,581,000/=

$7,581,000 x Tsh 1,580/= (approx) =
TSHS 11,977,980,000
(BILIONI KUMI NA MOJA NUKTA TISA TISA)!!

UTANIBEEBA LEO.......!!!
 
  • Thanks
Reactions: Awo
jK mwenyewe aliwahi kusema kuna watu wanachuki hata ukifanya jambo gani zuri,lkn wao watakuchukia tu,leo ndo nimeamini.

kwenda kucheki malaria marekani huku akiwa na msururu wa watu tena kwa gharama za serikali ndiyo jambo zuri?
 
That is J.K for real!

Mmemsakama kuwa awafukuze uwaziri mashosti wake , ameona afadhali akimbie ili upepo upite na akirudi mtakuwa mmesahau kuwa alitakiwa awafukuze kazi genge la wakina Kawambwa na Malima,kama mlivyosahau kuwa Alhaj Juma Kapuya alitakiwa kutiwa mbaroni kwa kumbaka mtoto wa watu na kumuambukiza ukimwi!!!! Mkweree hawezi kutoa maamuzi magumu.
 
Jamani hivi hawa mamechanics wa ndege ya rais wanapata muda wakuifanyia service kweli ndege yetu sababu kila siku ipo route tuu.Ok get well soon my prezidaa.Atarudi lini au mpk new year......................?
Swali zuri sana!! ila sina uakika kama anaenda na hiyo ndege kwa safari za nje ya Africa
 
Tunamtakia matibabu mema apone ili arudi kutuongoza. Hata hivyo ni aibu sana kwa viongozi wetu kwenda nje eti kwa ajili ya kufanyiwa check up! Hata matibabu kwa viongozi wa muhimu inatakiwa yatolewe ndani hapa hapa kwa sababu za kiuslama zaidi. Maisha ya mgonjwa huwa yako mikononi mwa daktari wake, na kwetu sisi kuacha uhai wa rais wetu mikononi mwa dakatri wa nje ambaye hatuwezi kumfanyia lolote akifanya makosa ya kitababu na kumdhuru rais. Hata kama anakwenda na daktari wake, hospitali zote kubwa za marekani haziruhusu daktari ambaye hana admission privileges katika hospitali hiyo kushughulika na wagonjwa; ina maana daktari wake akifika atakaa chumba cha kusubiria wagonjwa kama ndugu mwingine yeyote.

Kwa nini hosptiali ya Lugalo isiwezeshwe zaidi ili iwe ndiyo hospitali kuu ya viongozi wetu na sisi wengine tubakie na Muhimbili yetu tu?
 
Safari 361 times (approx) 7 days time 3000USD

361 X 7 X 3000 = $ 7,581,000/=

$7,581,000 x Tsh 1,580/= (approx) =
TSHS 11,977,980,000
(BILIONI KUMI NA MOJA NUKTA TISA TISA)!!

UTANIBEEBA LEO.......!!!

ameenda kupumzika,mzigo ni mzito pia ni amechakaa pamoja na chama chake
 
Back
Top Bottom