Haumwi huyo, anaenda kuangalia miradi yake. Kama mmegundua, siku hizi yeye ni kama mgeni Tanzania. Akirudi tu, anafanya ka ziara mikoani, anapiga picha na wajinga hili kuonesha alikuwepo, then anatokomea anakokujua.
Inawezekana ni maagano ya kishirikina kwamba asikae nchini zaidi ya muda fulani. Hadi kina michuzi waishamchoka sasa. Akifika Marekani, piga picha, Michuzi naye anapiga picha za majengo kuweka kwenye blog yake then wanarudi. Taifa linawalipa million 600.
Huyu baba hana huruma na watanzania, hapendi nchi yetu. Ni kama Zitto tu.
Watanzania mkiamua, hawa watu mtawatoa siku moja tu.
Ni wale wale. Hakuna cha Lowasa wala harambee. Inabidi bunge lifanye mkakati wa kuzuia malipo yake kwenye safari na kama rais. Tunamlipa kwa lipi sasa? Anatuhujumu mara mbili huyu juha. Tunamlipa bila kukaa ofisini na bado tunagharamia mamillion ya safari zisizo na tija?
Bunge liweke wazi badget ya safari zake na afungwe speed governor miguuni. Tuombe huko anakoenda wampime ubongo wake. Sidhani kama ni mzima huyu baba.
Hata mkuu wa mkoa Dar aishachoka kumpokea. Siku hizi anarudi kinyemera.
Hana tofauti na majangiri wanaotaifisha rasilimali zetu. Tena yeye anawazidi wale maana hata ukiua Tembo wote, huwezi kupata hela kama anayolipwa huyu mweu kwenye safari mbili.