Rais Kikwete amewasili Dubai usiku jana akiwa njiani kwenda marekani kwa ajili ya matibabu na kufanya check up ya afya yake.
Maafisa wa ikulu wamethibitisha kuwa safari hii ni kwa ajili ya matibabu tu ingawa haijasemwa anasumbuliwa na nini
Tulikosea sana kumchagua huyu baba. kila siku kiguu na njia!!!
kwa kweli tuna kila sababu ya kuichukia ccm.
Rais kivuli Dr.Slaa anafuta nyao zake majuzi alikuwa Marekani, Ujerumani, Italy.Katiba mpya ikataze madudu haya! Huyu jamaa hachoki kusafiri? Ana pepo wa safari huyu naapia!
Nyie pro-Chadema najua mna chuki sana na rais wetu JK hata kama anakwenda kutibiwa tatizo lipo wapi acheni unafiki basi, juzi hapa kiongozi wenu Dr.Slaa kaongozana na girlfriend wake Josephine kwenda Ujerumani kuangaliwa afya mlishangilia sana leo JK mnaanza kuponda acheni siasa za makengengeza.
daah huyu baba amezidi...nina wasiwasi ameach usia akifa azikwe marekani.Tulikosea sana kumchagua huyu baba. kila siku kiguu na njia!!!
kwa kweli tuna kila sababu ya kuichukia ccm.
Mbona Dr.Slaa alidondoka Mwanza bafuni na akarudi salama.Asije akadondoka huko Marekani akashindwa kurudi!
Hivi Muhimbili walimjengea nani? Mtu aweza kupika msosi akausifia mtamu sana kisha hataki kuula! Shame on JK!
Hakujifunza kwa mzee mandela kutibiwa nyumbani!yaani viongozi wa africa kufia nje ya nchi zao wanaona sifa
chezea mzaramo wewe. wacha azurure sasa hivi coz he got nothing to loose. si unajua haihitaji kura zetu tenaKatiba mpya ikataze madudu haya! Huyu jamaa hachoki kusafiri? Ana pepo wa safari huyu naapia!
Sasa hayo angeanza kuulizwa Nyerere, Kwani ni yeye alitibiwa na hata kufia UK. Je muhimbili ilikuwa wapi? Kwanini mumsakame JK au muna lenu jambo!
Shame on u!