Marire
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 12,326
- 5,264
kificha pesa_ulayaHakujifunza kwa mzee mandela kutibiwa nyumbani!yaani viongozi wa africa kufia nje ya nchi zao wanaona sifa
shopping Ulaya
kula raha_ulaya
kutibiwa_ulaya
kuzikwa_Africa
kificha pesa_ulayaHakujifunza kwa mzee mandela kutibiwa nyumbani!yaani viongozi wa africa kufia nje ya nchi zao wanaona sifa
Una hakika na unachokisema?alienda kupima afya kweli au unataka kuandika?hukumbuki ilikuwa ni safari iliyohusu moja ya mashirika makubwa hapa Tanzania yanayotoa huduma za afya,ambalo ni CCBRT? hujui kama alikwenda kufanya mazungumzo na moja ya mashirika wafadhili wanaochangia ktk uendeshaji wa hospital ya CCBRT?Nyie pro-Chadema najua mna chuki sana na rais wetu JK hata kama anakwenda kutibiwa tatizo lipo wapi acheni unafiki basi, juzi hapa kiongozi wenu Dr.Slaa kaongozana na girlfriend wake Josephine kwenda Ujerumani kuangaliwa afya mlishangilia sana leo JK mnaanza kuponda acheni siasa za makengengeza.
Hakujifunza kwa mzee mandela kutibiwa nyumbani!yaani viongozi wa africa kufia nje ya nchi zao wanaona sifa
Wewe ndiyo hauna kumbukumbu ndiyo maana umeona wenzako wamekaa kimya.Una hakika na unachokisema?alienda kupima afya kweli au unataka kuandika?hukumbuki ilikuwa ni safari iliyohusu moja ya mashirika makubwa hapa Tanzania yanayotoa huduma za afya,ambalo ni CCBRT? hujui kama alikwenda kufanya mazungumzo na moja ya mashirika wafadhili wanaochangia ktk uendeshaji wa hospital ya CCBRT?
Mandela alishawahi kwenda Saudi Arabia kutibiwa macho, huu wakati (1990) naona wewe bado ulikuwa kichinchiri;
This 1990 file photo shows Saudi Gazette Editor-in-Chief Khaled Almaeena with Nelson Mandela in Riyadh. (Photo courtesy: Saudi Gazette)
Upon his release from jail in 1990, Mandela came to Riyadh. This, I think, was part of a tour of countries in Africa and abroad to thank those who had supported the ANC during the years of struggle. Diplomatic relations between South Africa and Saudi Arabia were formalized during Mandela's visit to the kingdom in November 1994.
If I remember correctly, during his first visit Mandela had his eyes checked in a Riyadh hospital. Years of breaking rocks in a quarry as a prisoner in Robben Island had taken a heavy toll on his eyes. I am sure Mandela might have considered it a small price to pay for opening the eyes of the whole world to the brutalities and inequities of the apartheid regime in South Africa.
Soma zaidi: http://english.alarabiya.net/en/views/news/world/2013/12/08/Personal-reminiscences-on-Mandela.html
Kumbuka hapa ni JF. usije na habari kabla ya kufanyia japo kautafiti kadogo, utaumbuka.
Haumwi huyo, anaenda kuangalia miradi yake. Kama mmegundua, siku hizi yeye ni kama mgeni Tanzania. Akirudi tu, anafanya ka ziara mikoani, anapiga picha na wajinga hili kuonesha alikuwepo, then anatokomea anakokujua.Hakujifunza kwa mzee mandela kutibiwa nyumbani!yaani viongozi wa africa kufia nje ya nchi zao wanaona sifa
Sasa hayo angeanza kuulizwa Nyerere, Kwani ni yeye alitibiwa na hata kufia UK. Je muhimbili ilikuwa wapi? Kwanini mumsakame JK au muna lenu jambo!
Shame on u!
Kikwete aliwahi fungwa jela ipi?
Mkikosa hoja mnaanza viroja.
Umtuwe Rais wetu amuepushie mdege mbaya. Uliokosa haya wewe wala kujuwa vibaya. Kuna mtu anamuombea mwenzake kwenda jela? Unafikiri Mandela alipenda kwenda Jela?
Mmhh kwa taarifa yako nyerere hakutaka kwenda huko nje Mkapa ndo alimlazimisha!
Rais kivuli Dr.Slaa anafuta nyao zake majuzi alikuwa Marekani, Ujerumani, Italy.