Haijakamilika! Tuwekee na pesa zilizoletwa na safari hizi, hapo utakuwa fair. Kinyume cha hapo CHUKI TU.
wewe pimbi nini, hizo pesa zimeletwa halafu zikapelekwa wapi?
Haijakamilika! Tuwekee na pesa zilizoletwa na safari hizi, hapo utakuwa fair. Kinyume cha hapo CHUKI TU.
Mmmmmmmhh! Unamaanisha nini?Hakujifunza kwa mzee mandela kutibiwa nyumbani!yaani viongozi wa africa kufia nje ya nchi zao wanaona sifa
Hivi ukiwa mwana ccm ni lazima uwe na akili ndogo kama pilitoni! Unaamua kujitoa ufahamu kwa kutetea huyo mbaba?
Kwahiyo Ritz unakiri JK nikama popo hewani muda wote.
Dubai kuna bibi mdogo lazima akamjulie hali,
Aisee bibie Salma huwa yupo salama kweli akibaki au vijana washakamata fulsa?
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Emekwenda na Mkewe au? au mkewe hatakiwi kupima afya yake? kama kamwacha akina mama fanyeni maandamano kwani huu ni unyanyasaji wa kijiisia!:sleepy:
Usiwe mjinga kila siku wewe,hivi Hospital alizofungua yeye kama Rais ni special kwa wananchi wengine na yeye hahusiki na kwa nini asicheki afya yake Muhimbili kama wengine??Usishabikie vitu vya kijingaNyie pro-Chadema najua mna chuki sana na rais wetu JK hata kama anakwenda kutibiwa tatizo lipo wapi acheni unafiki basi, juzi hapa kiongozi wenu Dr.Slaa kaongozana na girlfriend wake Josephine kwenda Ujerumani kuangaliwa afya mlishangilia sana leo JK mnaanza kuponda acheni siasa za makengengeza.
mmeumia sana Msiba wa Mandela kukosa hitma,kukosa 40
Hakujifunza kwa mzee mandela kutibiwa nyumbani!yaani viongozi wa africa kufia nje ya nchi zao wanaona sifa
Watu kama wewe ndo mnaliweka taifa letu nyuma. Yaani wewe unaamini huyu mtu akisafiri kuna hela inaletwa ndani ya nchi? Kama wewe ni mzee, basi unasema hivyo kwa sababu ya uzee. Kama kijana, basi unaumwa na unastahili marafiki wa kukuchallenge na uwasikie kwa sababu una upungufu wa mawazo usio wa kawaida.Haijakamilika! Tuwekee na pesa zilizoletwa na safari hizi, hapo utakuwa fair. Kinyume cha hapo CHUKI TU.
Unataka kusema wakati wa sherehe za uhuru 9 December hakuna rais yoyote aliekuja kutoka Africa?Ngoja tuojiane hapa. Juzi tu tulikuwa na sherehe za uhuru wa taifa letu uwanja wa taifa. JK alikuwepo peke yake (hapa naongelea viongozi wa nchi zilizotuzunguka). Hakuna aliyekuja. Ila baada ya hapo, Kenya wakafanya sherehe kama hiyo. Nakwambia JK aliwahi ile sherehe. Sasa nambie, huo ni urafiki gani? Yaani wewe unatembelea watu wasiokutembelea?.
kama hawaamini madaktari wa ndani ya nchi si awaite hao anaowaamini waje wamfanyie matibabu humhumu ndani.......lkn kinachonipa moyo hawezikuzikwa dubai wala amerika utarudi tu
Rais Kikwete amewasili Dubai usiku jana akiwa njiani kwenda marekani kwa ajili ya matibabu na kufanya check up ya afya yake.
Maafisa wa ikulu wamethibitisha kuwa safari hii ni kwa ajili ya matibabu tu ingawa haijasemwa anasumbuliwa na nini