Rais Kikwete safarini Marekani

Rais Kikwete safarini Marekani

Si waboresha hospitali za nyumbani jamani. Kuna siku watapata emergency kufika airport ikawa issue. Boresha hospitali zetu zitawakomboa siku moja.

Hawataki wanaona watakosa ulaji na trip za nje kama hivi
 
Nilivyosikia anarudi siku ya tarehe 26 boxing day nimeshapata majibu kilichompeleka huko.

Na kama mnakeleka naye kwa taarifa yenu tu kwamba akirudi Dar tu anakaa siku noja halafu anakwenda kujirusha serengeti mbungani mpaka tarehe 2 January.

Habari ndio hiyo Rais kaipata nchi na siyo nchi imempata Rais.
 
Alimpitia First lady


haya mambo mweleze mzee wako yeye akiumwa abaki nyumbani kwake asiende hospital kwani nani kakudanganya kuwa jk ameenda kwenye matibabu kama kaenda kufirisi mali za mafisadi kama wale walioficha pesa dubai.
 
Daaaa rubani wake sijui ana deiwaka make route za huyu mheshimiwa noma ... Alitoka Europe akarudi kisha south karudi kisha south alafu kaunganisha marekani mwezi mmoja
 
Huyu jamaa noma nadhani ana alergy ya kukaa nchini na kusafiri ndiyo kuitibu
 
Narudia tena..huyu baba asipojua kuendesha ndege mwaka huu atakuwa na kichwa kigumu sana
 
Sasa hayo angeanza kuulizwa Nyerere, Kwani ni yeye alitibiwa na hata kufia UK. Je muhimbili ilikuwa wapi? Kwanini mumsakame JK au muna lenu jambo!

Shame on u!


Tafadhwali alhabib Barubaru mheshimu sana Nyerere. Tabia ya kuchomeka jina lake kwenye mijadala ya hovyo kama mjadala huu humtendei haki Simba huyu wa Afrika na Kinara wa utawala bora Tanzania...
 
Last edited by a moderator:
kachoka kukaa mana tangu ametoka kumzika madiba hajatoka hivyo ilikua lazima akacheki na kasuti ka sikukuu dubai
 
Tulikosea sana kumchagua huyu baba. kila siku kiguu na njia!!!
kwa kweli tuna kila sababu ya kuichukia ccm.

kuugua ni kitu cha kawaida kwa binaadamu wacha kuongea pumba hapa.ama umepata gongo tayar koz wengine wanaanguka chini kwa gongo hapa.tokea babu atoe neno
 
kuugua ni kitu cha kawaida kwa binaadamu wacha kuongea pumba hapa.ama umepata gongo tayar koz wengine wanaanguka chini kwa gongo hapa.tokea babu atoe neno

Mhnnn...sijui nikutofautisheje na akili za interahamwe'. unamapenzi kiasi gani na rais wa jinsi hii? hata angekuwa babako nyumbani hakai, chakula taabu, mamako uchi...nguo hakuna...bado tu unge yatamka hayo? what a tanzanian is you by the way?
 
Madiba pamoj na umuhimu wake kwa SA lakini hakupandishwa ndege kuvuka mipaka ya South kufuata matibabu nje....kwa hali hiyo si rahisi kuboresha hospitali zetu kwa kuwa wao wana fursa ya kwenda nje kwa gharama yoyote ya walipa kodi. Who cares daaah!!
kama hawaamini madaktari wa ndani ya nchi si awaite hao anaowaamini waje wamfanyie matibabu humhumu ndani.......lkn kinachonipa moyo hawezikuzikwa dubai wala amerika utarudi tu
 
Rais Kikwete amewasili Dubai usiku jana akiwa njiani kwenda marekani kwa ajili ya matibabu na kufanya check up ya afya yake.

Maafisa wa ikulu wamethibitisha kuwa safari hii ni kwa ajili ya matibabu tu ingawa haijasemwa anasumbuliwa na nini
Kila la kheri Rais Wetu, tunakuombea kwa Allah S.W.T akupe afya njema, maisha marefu na busara nyingi zaidi... Nasikia Wamarekani wamekukatalia kuwakubalia Investors wa kutoka China waliotaka kuleta ndege za bei nafuu hapa bongo, kama habari hizi ni zakweli basi weka wazi ili tujue kuwa tunakilimbitwa na hatuna sauti ndani ya nchi yetu...
 
Back
Top Bottom