Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,505
- Thread starter
- #241
Just remove the question mark and replace with a fulstop.Unataka kusema wakati wa sherehe za uhuru 9 December hakuna rais yoyote aliekuja kutoka Africa?
Just remove the question mark and replace with a fulstop.Unataka kusema wakati wa sherehe za uhuru 9 December hakuna rais yoyote aliekuja kutoka Africa?
Watu kama wewe ndo mnaliweka taifa letu nyuma. Yaani wewe unaamini huyu mtu akisafiri kuna hela inaletwa ndani ya nchi? Kama wewe ni mzee, basi unasema hivyo kwa sababu ya uzee. Kama kijana, basi unaumwa na unastahili marafiki wa kukuchallenge na uwasikie kwa sababu una upungufu wa mawazo usio wa kawaida.
..........
Duh! CHADEMA kwa kuchonga! Hamjambo! Maelezo yote ya nini? Kila siku husikii kwamba safari za rais wetu zina tija? Maadili hufundishwa misikitini na makanisani, kama hamuelewi huko unadhani darasani ndiyo mtaelewa? Acha maneno, leta data za income za Mh. Rais kwa taifa. Usione aibu.
wewe pimbi nini, hizo pesa zimeletwa halafu zikapelekwa wapi?
hakika mkuu huku kwetu ni makaburini............ngoja tuzikanetanzania ni makaburn mkuu.
hakika mkuu huku kwetu ni makaburini............ngoja tuzikane
Nyie pro-Chadema najua mna chuki sana na rais wetu JK hata kama anakwenda kutibiwa tatizo lipo wapi acheni unafiki basi, juzi hapa kiongozi wenu Dr.Slaa kaongozana na girlfriend wake Josephine kwenda Ujerumani kuangaliwa afya mlishangilia sana leo JK mnaanza kuponda acheni siasa za makengengeza.
hivi mpendwa wetu karejea!?haya mambo mweleze mzee wako yeye akiumwa abaki nyumbani kwake asiende hospital kwani nani kakudanganya kuwa jk ameenda kwenye matibabu kama kaenda kufirisi mali za mafisadi kama wale walioficha pesa dubai.
Comment ya mdau:haya mambo mweleze mzee wako yeye akiumwa abaki nyumbani kwake asiende hospital kwani nani kakudanganya kuwa jk ameenda kwenye matibabu kama kaenda kufirisi mali za mafisadi kama wale walioficha pesa dubai.
We were told that he's ill,so he left the country 4 medication.sasa misele hii tena imetoka wap?
United National secretary general Ban Ki Moon welcomes President Jakaya Kikwete at his office at the UN headquarters in New York on Tuesday. The two leaders discussed the contribution of Tanzania in peacekeeping. Tanzania has a peacekeeping mission in Darfur in Sudan, Lebanon and Goma in the Democratic Republic of Congo. PHOTO|STATE HOUSE
hivi mpendwa wetu karejea!?
Hapa tatizo sio kwenda Ulaya, tatizo ni nani anagharimia hizo safari! kama JK ameenda kwa pesa zake za mfukoni hapo sawa, but kama anatumia pesa za walipakodi kuzurura ulimwengu mzima bila sababu, basi hapo lazima achukiwe!
Pengine anaweza akawa na haki ya kutibiwa kama Rais, but kutokana na tabia yake ya kuzurura zurura ulimwengu mzima basi anaonekana mzururaji hata kwenye hili! anapaswa kujirekebisha mr JK!
Taarifa zilizopo ni kwamba akiwa angani kurejea nchini leo, amepata dharura ya kuunganisha Reo de Janeiro- Brazil kuhudhuria mkutano wa mawaziri wa kilimo duniani. Mkutano utaanza Januari 2 na utakuwa wa wiki moja. Rais atarejea Januari 10 nchini. Kwa hiyo tuombe tu hiyo tarehe asipate dharura tena maana nime-mmiss sana jamani rais wetu mpendwa baba mwanaAsha.
Presidaa ni noma yaniakisafiri anachukua bilioni 12 mabenki eti raisi anaenda nje dah 2015 nadhani tutakuwa tumefirisika , mwaka 2012 government debt ilikuwa 23 trillion , kwa expenditure kama hizi sijui litakuwa limefika kiasi gani jamaa boga sana tulikosea sana kumchaguaTulikosea sana kumchagua huyu baba. kila siku kiguu na njia!!!
kwa kweli tuna kila sababu ya kuichukia ccm.
Ugonjwa wapi? anakula raha zake tu. Huyo kijana anaitwa Miraji....ndo anaendesha kila kitu akiwa huko New YorkTushukuru pamoja na ugonjwa lakini anachapa kazi kwa kufukuza mawaziri, njia nyeuope kwa Migiro sasa
Jiwe aliufanyia kazi ushauri wakoHakujifunza kwa mzee mandela kutibiwa nyumbani!yaani viongozi wa africa kufia nje ya nchi zao wanaona sifa
Rais Kikwete amewasili Dubai usiku jana akiwa njiani kwenda marekani kwa ajili ya matibabu na kufanya check up ya afya yake.
Maafisa wa ikulu wamethibitisha kuwa safari hii ni kwa ajili ya matibabu tu ingawa haijasemwa anasumbuliwa na nini