Daaaa rubani wake sijui ana deiwaka make route za huyu mheshimiwa noma ... Alitoka Europe akarudi kisha south karudi kisha south alafu kaunganisha marekani mwezi mmoja
Natabiri huyu mkulu atafia angani!..this is too much!
Daaaa rubani wake sijui ana deiwaka make route za huyu mheshimiwa noma ... Alitoka Europe akarudi kisha south karudi kisha south alafu kaunganisha marekani mwezi mmoja
Usilie ila chukua hatua. Hatuwezi kuwa taifa la mazezeta, yaani mashabiki wa wezi na ujinga. Tunashabikia hata watu wanaokula taifa letu mchana kweupe?Umeongea kwa machungu sana hadi umeniliza
Narudia tena..huyu baba asipojua kuendesha ndege mwaka huu atakuwa na kichwa kigumu sana
Rais Kikwete
amewasili Dubai usiku jana akiwa njiani kwenda marekani kwa ajili ya
matibabu na kufanya check up ya afya yake.
Maafisa wa ikulu wamethibitisha kuwa safari hii ni kwa ajili ya matibabu
tu ingawa haijasemwa anasumbuliwa na nini
Haya maneno mwambie Dr.Slaa ambaye alikwenda Ujerumani kutibiwa na girlfriend wake Josephine
Naona umeishiwa na hoja, kinakukera nini mtoto? au umeshashiba saa hizi unabwabwaja tu.
Haya maneno mwambie Dr.Slaa ambaye alikwenda Ujerumani kutibiwa na girlfriend wake Josephine
Aisee bibie Salma huwa yupo salama kweli akibaki au vijana washakamata fulsa?
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Safari 361 times (approx) 7 days time 3000USD
361 X 7 X 3000 = $ 7,581,000/=
$7,581,000 x Tsh 1,580/= (approx) =
TSHS 11,977,980,000
(BILIONI KUMI NA MOJA NUKTA TISA TISA)!!
UTANIBEEBA LEO.......!!!
Narudia tena..huyu baba asipojua kuendesha ndege mwaka huu atakuwa na kichwa kigumu sana
Hakujifunza kwa mzee mandela kutibiwa nyumbani!yaani viongozi wa africa kufia nje ya nchi zao wanaona sifa