Kaachiwa na nani wewe? wacha uongo.
Uchumi wa Tanzania ya leo si uchumi wa Tanzania aliyochukuwa Kikwete. Tulikuwa hatuna reserve ya pesa za nje hata ya mwezi mmoja leo tuna ya miezi minne.
Fikiri.
Acha kuropoka jipime ww umefanya nn kwa miaka 10 jk ameboresha sehem kubwa watu wako huru kuongea kama ww anavyotoa pointless
Siasa hizi yaani kikwete hakuna hata mazuri alioyafanya katika kipindi chake?
hivi Tanzania kitu kipi ni cha uhakika ?
maji ?
umeme?
usafiri ?
bandari ?
elimu ?
ajira ?
mawasiliano ?
ukinijibu haya mmoja wetu atakua mnafki
hii nchi kupata passport ni dili kuliko kupata bangi
Tufanye kafanya mazuri kama 5% hiv, sasa we kwa akili yako unaanzaje kumsifia, labda kama una personal interest naye.
Usifikiri kutetea madudu utaukwaa udc umeshachelewa bibi kizee wewe nenda kulee hoja mchanganyiko hasa kwenye udini,waakina Tabby wakueleweshe huku hakukufai ww bb kizee.
wewe acha ujinga Ukiona Mahali panahalibika na kiongozi yupo, basi tatizo ni kiongozi au anafurahia, au anasaidia au ni mzebeau ana akili kidogo, kiukweli nchi imeisha, pia usisahau Udini umekua sana kipindi hiki cha nne, Ugaidi umeibuka sana kipindi hiki. sijuwi unataka ushaidi gani?mzee wa kaya ndiye anawaua albino? akili za kushikiliwa mbaya sana. yani kwa ujinga wenu mnaua albino mnasema ni mkuu wa kaya hahahaaa eeeeeh
Huyu kibibi hana macho hatuwezi kumwambia tazama hili au lile kwa ujumla hakuna jema zaidi ya Huzuni na wasiwasi wa magaidi kutulipua.Usifikiri kuponda ndiyo inakuwa ukweli.
Ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.
Kikwete ndiyo aliyetutoa kutoka kwenye umasikini wa mwisho duniani wa chini ya dola moja kwa siku, mfupa uliowashinda wote wa kabla yake.
kafanya mazuri yanamsaidia yeye.Kwangu amefanya 80% kwa sababu tulikuwa hatuna barabara ya Rami, maji Safi ya bomba, umeme, sec school, zahanati nk katika kipindi chake hivyo vyote tumepata sasa nitamuonaje mbaya? Kuhusu kuwa na pesa mfukoni hilo ni suala la mtu kujituma kila mtu anatakiwa afanye kazi kwa bidii maana hakuna mtu atakae kujaza pesa mfukoni na ukiona hapo ulipo maisha magumu hamia sehemu nyingine Tanzania kubwa hii ndugu yangu na kumbuka maisha ni kutafuta sio kutafutana Asante Rais kikwete maendeleo yako sisi wengine tumeyaona na tunakisifu ukiwa hai atusubiri mpaka ufe
kafanya mazuri yanamsaidia yeye.
mmmmmmmmm!!!!!!!!!!!Ha ha haaa...! Inatisha mkuu huyo jamaa atakua shemej yake sio bure
mmmmmmmmm!!!!!!!!!!!
Maji ni shida tupu Dar kwanza
Umeme wa bei juu Escro zaidi
Ardhi migogoro tupu
Usafiri migomo na ajali tupu.
usalama magaidi kila kona
Udini zaidi
upendeleo wa kidini,
Albino hofu tupu, hata kama kuna barabara inamsaidiaje kama anauawa
jamani Escro escro hadi imea poromosha shilingi kwa asilimia 90. mkuu wa kaya yuko wapi kuidhibiti hiyo zaidi ya kuitetea kuwa si hela ya wananchi.
subiri mkuu itapimwa kila sekta mwisho tutatafuta tu wastani,tutajua tu,sasa tuelekeze nguvu kuwataka watu wajiandikishe mara tu daftari litakapopita,Akili ndogo zinasoma thread hii na kutoelewa chochote, Mtu MAKINI ataona na kujua ni 3% tu za hayo mazuri unayosubiri mpaka aondoke ndio tumkumbuke.
Kama kikwete angefikisha 25%-45% za kuleta MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA,Hakuna mtu angesema RAIS KIKWETE NCHI IMEMSHINDA.
Tumefika hapa tulipo kwa uhalisia wa mambo ulivyo LAZIMA TUSEME KWA UJASIRI HATA KAMA NDIO ANAONDOKA MADARAKANI.
Haihusiana na mambo ya kuomha au kugawana cheo hata kidogo.
wewe acha ujinga Ukiona Mahali panahalibika na kiongozi yupo, basi tatizo ni kiongozi au anafurahia, au anasaidia au ni mzebeau ana akili kidogo, kiukweli nchi imeisha, pia usisahau Udini umekua sana kipindi hiki cha nne, Ugaidi umeibuka sana kipindi hiki. sijuwi unataka ushaidi gani?
Ha ha ha ha nipe ka like bhanaaaa.leo na kamvuamvua haka niko mahala flani nawaskia akina mama "aaah aende tu tushamchoka,na asithubutu kujiongezea muda,kila kitu kaharibu,,,,,".Nikajisemea kimoyomoyo "Hawa si ndo waliokuwa wakimpenda hawa......leo nao wamemchoka?"Masihara hayo unanipa shida kukupa like natumia wap ha ha haa
Uzuri hata hao unaowatetea nao wanalalamika,ila pole kwakua kwenye kundi la walalamikajiwe mpuuzi unataka mpaka mabinti zako wakibebea mimba nyumbani lawama umbebeshe rais??? tatizo letu sisi tunapenda sana kulalamika kwa kila kitu ila nachojua ni kua kuongoza nchi yenye mambumbumbu wasioona, waliokosa shukran kama wewe ni kazi sana.. endelea kulalamika kuna muda utaja gundua tatizo ni wewe na sio rais ila ni mpaka usiku utakapokwisha!!