FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,819
Nilikuwa nakuheshimu FaizaFoxy.Ila sasa sikuheshimu tena.
Kwa kuwa tu umeshindwa kujibu hoja zangu?
Nilikuwa nakuheshimu FaizaFoxy.Ila sasa sikuheshimu tena.
tuanze na deni la taifa
nyerere+mkapa+mwinyi=trilion4
Jakaya+Mrisho+Kikwete=trilion39+
Imemshinda kwa lipi? wakati huu wa Kikwete Tanzania imepaa katika nyannja zote kuliko wakati wowote wa kabla yake.
Tuanze moja moja hapa tuone ukweli ukoje. Tuanze na Rais yupi tumlinganishe nae? tuanze na wa awamu ya kwanza, Nyerere.
Tuanze na life expectancy ya Mtanzania kwa miaka 24 ya Nyerere alipopewa nchi ilikuwa ngapi na alipowachia madaraka kaiwacha ngapi? na Kikwete alipopewa nchi ilikuwa ngapi na mpaka sasa iko ngapi?
Wacha porojo.
Kwanza kabisa tuelezee hizo trillions unazozielezea hapa ni za American System au British System, maana siyo mnajiandikia tu trillioni lakini hata hamuelewi mnachokiongea.
we bibi usikwepe hoja,shilingi 100 ya Tanzania itabaki kuwa shilingi 100 ya Tanzania hata uende kuzimu!
deni la taifa
He has a mental illness achana nae dada, hajitambui huyo ndo maana anaweweseka nahc viroba vinamsumbua maana amekunywa mapema kweli leoDeni la Taifa limefanya nini?
wewe dogo acha kuweka uongo humu ndani, unatunga abstract issues!we bibi usikwepe hoja,shilingi 100 ya Tanzania itabaki kuwa shilingi 100 ya Tanzania hata uende kuzimu!
He has a mental illness achana nae dada, hajitambui huyo ndo maana anaweweseka nahc viroba vinamsumbua maana amekunywa mapema kweli leo
umekuwa mtumwa wewe ndo maana unatunga figures za uongo kwanza trilioninyenyewe huijui unaropoka tuuu, kenge weeetuanze na deni la taifa
nyerere+mwinyi+mkapa=trilion4
Jakaya+Mrisho+kikwete=trilion39+
wewe dogo acha kuweka uongo humu ndani, unatunga abstract issues!
Nadhani ni ufinyo wa akili ya mtu ndiyo tatizo. haiwezekani rafiki anakuharibia kazi yako au nyumba yako, na wewe upoupo tu.JK alikuwa na nia ila marafiki ndio wamemponza.
Atashangaa hao marafiki watakavyoanza kumtosa kuanzia miezi mitatu ijayo.
Nilishangaa alivyotusaliti wananchi ktk sakata la escrow
siyo kila anayepigia kelele udhalimu wa serikali ni mwanachama wa Ukawa,kumbuka hilo!
Siyo vibaya kukopa,ila kama unakopa hovyo hovyo bila mikakati madhubuti ndiyo tatizo,tunaona haya ya kukopa ili kulipa deni la awali?Mmeshindwa kukusanya kodi ipasavyo,misamaha ya kodi kiholela,watu wanakwepa kodi kwa kusaidiwa na viongozi wa serikali(mf sakata la escrow),ufisadi uliokithiri na matumizi ya anasa kwa viongozi!
Mnakuja hapa mnatuambia hata marekani wanakopa,nonsense,haya wao wanakopa wana miondombinu mizuri!
Pesa tunakopa ila matumizi yake hayaeleweki,pesa kubwa inapotea kwenye michakato na upembuzi yakinifu!
Ni aibu kwa nchi yenye rasilimali kama Tanzania kuwa hapa tulipo kwa miaka yote hiyo toka uhuru!
Nashindwa kumwelewa huyu Ajuza ,Wakati mimi nakua kusikia mtu amekufa ni mpaka mwaka uishe lakini siku hizi kila siku ni misiba halafu unasema life expectancy ya mtanzania imeongezeka hizo ni porojo za kwenye makaratasi angalia watu wanavyokufa kwa ukimwi na malaria, halafu unapenda sana kuongele foleni ya chakula wakati wa Nyerere kama ndio kero kubwa iliyokuwepo wakati wa Mwalimu hii yote ni upuuzi Mwalimu alitaka tuproduce humu kwetu na sio kuimport mpaka toothpick thats the reason kukawa na shortage ya chakula, lakini kumbuka leo hii chakula kinaweza kuwepo kingi ambacho ni imported swali je ni watanzania wote wa uwezo wa kununua chakula?? ni wangapi wanashinda njaa leo hii hapa Bongo??Kikwete huwezi mnanisha na yeyote wa kabla yake, mfupa uliowashinda wote wa kabla yake, Kikwete kauavuruga vuga kulaini kabisa.
Nyerere, life expectancy miaka 38, changanya na Mwinyi na Mkapa ikafika 48 kwa jumla ya miaka 44 ya utawala wao, Kikwete pekee katupaisha mpaka miaka 62 na hiyo ni hesabu ya mwaka 2012.
Inakueleza nini hiyo?
Ndo akaja mekoNimejaribu kufuatilia kwa makini na hatua kwa hatua tangu huyu mzee aingie madarakani ili nibaini ni kipi ametenda hata tumkumbuke baada ya kuondoka kwake madarakani Octoba 2015. Nimegundua kwa 97% mkuu wa kaya ameshindwa vibaya mno kuleta MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA aliyotuahidi.
Mh.MKAPA alimwambia nakuachia Nchi kama ni Ndege wakati huo ilikuwa iko kwenye RUNNING,Alichopaswa kufanya ni kuipaisha tu ili ikifika Octoba ili ndege hio itue ikiwa imesheheni unono na urojorojo, Uchumi ulioimara kwa kila MWANANCHI. BADALA YAKE NDEGE HIO JK ALIIZIMA,
Tumaini la Wananchi likapotea, kila kitu kikavurugika:-
-Mfumko wa bei kwa BIDHAA zote ukawa juu.
-Shillingi yetu ikaporomoka kwa KASI MPYA,NGUVU MPYA na ARI MPYA.
-Tatizo la umeme mpaka kesho ni kitendawili Nchini.
-Ujambazi umerudi kama ilivyokuwa zama za kale hadi Polisi wanauawa na silaha kuibiwa VITUONI.
-Ziara za nje ya Nchi za kutembeza BAKULI LA OMBA OMBA (BLO)Awamu ya nne inaongoza kwa safari zenye kulitia hasara Taifa letu.
-Waandishi wa Habari na Wanaharakati kuuawa na kuteswa.
-Umwagaji damu usio wa lazima kutokea kwenye maandamano.
-Ajali na ongezeko la vifo na vilema vimekithiri awamu ya nne.
-Mikataba mingi inayohusu RASILIMALI ZETU imesainiwa kwa SIRI na WACHINA bila Raia kujua kinachoendelea ndani yake.
-KATIBA PENDEKEZWA ni kiini macho uhalisia UMEENGULIWA na BATILI imewekwa mbele.
-DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA -Uandikishwaji wake unacheleweshwa kwa MAKUSUDI.
-Hata ndani ya CCM uchaguzi wa kumpata Mgombea Urais hali ni tete mpaka leo.
Kwa uchache tu haya ni baadhi ya mambo yanayoonesha kuwa NCHI IMEMSHINDA JK MWANZO MWISHO.
RAIS ajaye anatakiwa awe ngangari kweli kweli la sivyo JAHAZI LITAZAMA.