Rais Kikwete nchi imemshinda mwanzo mwisho

Rais Kikwete nchi imemshinda mwanzo mwisho

Uzuri hata hao unaowatetea nao wanalalamika,ila pole kwakua kwenye kundi la walalamikaji

Mtu anayelalamika jamani rumbesa za baadhi mazao biashara ikiwemo vitunguu zinaleta hasara kwa wakulima.

Serikali tengenezeni mazingira mazuri ili watu wale mema (Asali na Maziwa) ndani ya Nchi yetu.
weee unamwona analalama,mbaya na hafai kisa huenda u Dobi wa mkuu wa kaya unalipwa dollar ya Marekani.
Ni mengi mno YANAYOFUNUA UHALISIA WA Rais Kikwete Nchi Imemshinda.
 
jk means joka kuu? miaka kumi ya kutwanga maji. bora akajaribu na hiyo bongo fleva labda huko atafaulu. huyu anayemtetea anasubiri ubunge wa siku zilizobaki au? anatoa mapovu hata ukatibu kata hajapewa. au huwa anafaidi makombo pale magogoni.

Wewe ni mpuuzi sasa. Sijui kama ni Me au ni Ke. Ila una tabia za kike kike.
 
Uzalendo wetu tulete tena watu jamii ya kikwete. Jamani mamvi home,na wewe mzee wa kutumia sayansi tumia sasa hivi muda ukiisha kapumzike. Rudisha form wambie mimi nimezeeka nilikosea kuja kuchukua,nilitakiwa niende kwa daktari ndio anajua sayansi. Wazee bwana mi Nkurunzinza tu.
 
Halaf eti bado wanataka tuendelee kuwaamini tuwape tena miaka kumi,tutakuwa tumerogwa
 
1.kuongezeka kwa kutisha kwa udini ndani ya kipindi chake.

2.kuwahadaa watanganyika kwa kuruhusu zanzibar kujiita nchi kupelekea watanganyika nao kudai nchi yao.

3.mfumko wa bei na uchumi mbovu,shilingi kuporomoka ovyo.

4.kusema uwongo kwamba sera yake kuu ni kilimo kwanza,angali hakuna miundombinu ya kilimo iliyowekwa.

5.hazina kutokuwa na uwazi wa mapato na matumizi.
 
Muuh haya utaongea na wenyewe wakija lakini hivi ni kweli matatizo yetu yako katika mtu au mfumo au sisi sote. Tuna mstaafu hapa kijijini kwetu alikuwa mwadilifu ofisini kwao akiishi kwa mshahara na haki zinazomuelekea, akawa na muda mwingi wa kuwa kwake akazaa watoto wengi watu wengi wanamwambia ni mjinga.
 
muuh haya utaongea na wenyewe wakija lakini hivi ni kweli matatizo yetu yako katika mtu au mfumo au sisi sote. Tuna mstaafu hapa kijijini kwetu alikuwa mwadilifu ofisini kwao akiishi kwa mshahara na haki zinazomuelekea, akawa na muda mwingi wa kuwa kwake akazaa watoto wengi watu wengi wanamwambia ni mjinga.

kikwete kadanganya nchi kwamba sera kuu yake ni kilimo kwanza angali kilimo sasa hakitamaniki na watu tunafanya kwa vile na njaa tu na hakuna namna ila hakijaboreshwa hata tone
 
matokeo yake mwisho wa kipindi chake anajinadi kuwa kainua elimu, angali hakikuwa kipaumbele namba moja chake
 
Ni sawa kama akikudanganya na wewe ukadanganyika sio kwamba matatizo yako unapeleka kwa mtu mwingine badala ya kujisahihisha. Kikwete sasa anaelekea kuwa mstaafu tungeyalilia ya mbele period
 
"Mtu asipojua aendako hawezi kupotea...."
Kikwete na wafuasi wake wanaamini wako vizuri sana....
Labda mnisaidie kuwauliza ni kipi walichoanzisha na kukisimamia hadi mwisho...??
Maisha Bora....?
Kasi Mpya...??
Mamilioni ya Kikwete..??
Orodha ya wauza unga, waua Albino...??
Kilimo kwanza...??
Operesheni tokomeza...??
Katiba Mpya...??
Maabara kila kata...??
Vituo vya afya kila kata...??
Kuwavua gamba mapacha watatu...??
 
1.kuongezeka kwa kutisha kwa udini ndani ya kipindi chake.

2.kuwahadaa watanganyika kwa kuruhusu zanzibar kujiita nchi kupelekea watanganyika nao kudai nchi yao.

3.mfumko wa bei na uchumi mbovu,shilingi kuporomoka ovyo.

4.kusema uwongo kwamba sera yake kuu ni kilimo kwanza,angali hakuna miundombinu ya kilimo iliyowekwa.

5.hazina kutokuwa na uwazi wa mapato na matumizi.

Hii ndio tabu ya kunywa viroba mwezi mtukufu wa ramadhani haya kachukue jero yako kinondoni kwa ufipa upate na ugolo
 
Back
Top Bottom