Rais Kikwete nchi imemshinda mwanzo mwisho

Kiuhalisia kuna ambayo kafanya hatuwezi kusema hajafanya ila ni 5% ya aliyotuhaidi.
Asilimia 95% kafeli total Jana walimu wanalia shemejii unatuachaje hiyo ni mbaya acha hiyo deni la taifa huku ndio balaa Sababu hivi ndivyo vigezo vya uchumi umekuwa.
Jk ni so soft sana ndio maana uongozi wake kila mtu Ana mtazamo wake hamna common dira.
Soft wa nini? Mbona alikuwa very strong kutetea ESCROW? 95% failure hata kupewa division 10 ha qualify.
 
tatizo unakaa kariakoo unafikiri maisha ya kariakoo ndio tanzania nzima pole dada nenda tandale uwaone watu wanakunywa chai badala ya sukari wanaweka pipi

Daa Mwanangu Umenikumbusha Uchungu Hiyo Ya Kuweka Pipi Kwenye Sukari, Unajua Watu Wengine Hawajapitia Pilika Za Maisha, Anazaliwa Kaliakoo Anakulia Malekani Shuleni, Sasa Unavyomueleza Ubaya Wa Ccm Anakushangaa, Ukimwambia Kuna Watu Wanalala Njaa, Hapo Atabisha Mpaka Kesho Asubuhi.
 
Hata kama ukitetea namna gani, rais wangu ameprove big failure,huwezi kuachiwa Trln 4 leo T39 nn kmefanya mpka ifikie huko? Miradi mingi tumejenga wenyewe wananchi?

Kaachiwa na nani wewe? wacha uongo.

Uchumi wa Tanzania ya leo si uchumi wa Tanzania aliyochukuwa Kikwete. Tulikuwa hatuna reserve ya pesa za nje hata ya mwezi mmoja leo tuna ya miezi minne.

Fikiri.
 
Subirini chadema ishike nchi, watafungua bilicanas kila mkoa na wilaya.
 
Prapaganda mnafazifanya mpaka kwenye mambo muhimu kwa TAIFA,Wakati uhalisia wa kujinasua kwenye umaskini kwa WANANCHI ni Sifuri yenye masikio. SHAME ON YOU!!!

Utafananisha Mtanzania wa leo na wa miaka 10 nyuma?

Leo mpaka kijijini kwenu mnaona ligi ya Uingereza kwa flat screen, yalikuwepo hayo kabla, kama ulikuwepo kabla ya Kikwete itakuwa kwa mara ya kwanza TV uliionea ulipofika mjini? Fikiri.
 
Wewe dada unakufuru maisha yamekua magumu maji watu hawana udogoni maji kila nyumba leo hii aibu
treni kwenda mwanza ilikua ya uhakika
maisha magumu kariakoo sio tanzania nzima Maisha magumu unayaona kwenye tv tu
hujawahi kuwaona baba mama na watoto sita wanalala chumba kimoja hapa hapa dsm
ulivyoambiwa kuwa uyaone sio maghorofa ya hapo kariakoo
hebu njoo huku kwetu hatuingii ndani bila kuvuka mavi choo kimoja watu 20 hebu acha masikhara
unajua tunadaiwa dollar ngapi ?
mbaya zaidi dollar imepanda wewe bibi mnafki sana
 
Mmmmmm wewe unapenda kutetea mambo yasiyo na TIJA kwa WANANCHI,Yamkini unao ka mrija ka ulaji na unywaji kwa Mkuu wa Kaya.
TANZANIA kufika kwenye matumizi ya FLAT SCREEN hio sio juhudi pekee ya Kikwete ila TUMELAZIMISHWA NA MWENDO KASI WA MAENDELEO YA DUNIA KWA UJUMLA WAKE UNATUSUKUMA NASI TUINGIE HUKO TUPENDE TUSIPENDE NASI TUNAKIMBIA MCHAKA MCHAKA.
Rais JK alikuwa na maono gani juu ya NCHI yetu.Lazima utekelezaji uwe HOI BIN TAABANI.
 
Ifike hatua watz tuache unafiq kwa sababu za kisiasa kikwete kafanya mengi ya maana kuliko mabaya tatizo kushinda vijiweni na kuhuzuria mikutano ya mapadre wanasiasa angalia miundo mbinu ya tz ya sasa kama mtu wa kutembea utaelewa kero za miaka ya nyuma juu ya usafiri angalia ajira kwa vijana angalia uwekezaji wenye tija kwa nchi angalia uhuru wa vyombo vya habari miaka ya nyuma hayakuwepo haya leo kikwete anatukanwa na watoto wadogo kabisa lakini ni busara anatumia angalia mishahara kwa watumishi wa serikali. Utawala wa kikwete mema mengi kuliko mabaya tuongee ukweli kwa kuacha unafiq kilichomponza kikwete kuzuia mirija ya kinyonyaji katika baadhi ya sekta za kidini hapo ndipo alipo likoroga huu ndio ukweli utaki andamana.
 
hivi Tanzania kitu kipi ni cha uhakika ?
maji ?
umeme?
usafiri ?
bandari ?
elimu ?
ajira ?
mawasiliano ?

ukinijibu haya mmoja wetu atakua mnafki
hii nchi kupata passport ni dili kuliko kupata bangi
 
umesahau na hili vyama vya siasa kuwa na vyumba na vifaa vya utesaji kama yaliyomkuta bwana Kagenzi
 
Acha kuropoka jipime ww umefanya nn kwa miaka 10 jk ameboresha sehem kubwa watu wako huru kuongea kama ww anavyotoa pointless
 
jamani ni kweli kabisa huyu mkuuu hata kama amewaongoza watu katika kipindi cha uchangamfu lakn kazidi bwanaaaaa duuuuu afu naona kama octoba haifiki iviii
 
Siasa hizi yaani kikwete hakuna hata mazuri alioyafanya katika kipindi chake?
Anayesema hakuna mazuri aliyoyafanya JK atakua ni mnafki,kiukweli JK as shemeji yangu kwakua kamuoa dadangu (Mwalim mwenzangu)amefanya mengi sana mazuri,hapa ntaorodhesha machache tu.
1.Kuwasamehe baadhi ya wezi wa EPA
2.Kushindwa kutumia vyombo vya dola kuitambua KAGODA AGRICULTURE
3.Kuwatimua watu juu ya pesa za escrow while si za umma
4.Kuongeza kiwango cha ufaulu,ambapo kwa sasa mtoto mwenye divisheni four ya 34 anasoma advance level
5.Kupambana na ujangili
6.Kupambana na wauza unga
7.Kuwa na mawaziri wachapa kazi,sijui huwa anawapataje
8.Kuwa mkali sana kwa wanaojihusisha na rushwa
9.Kuboresha huduma za afya,kila kata kuna zahanati
10.Kuondoa kero ya maji mijini hasa Dar es Salaam
11.Kupunguza matumizi ya serikali yasiyo ya lazima
12.Kutopenda kusafirisafiri kwenda nje ya nchi hasa amerika
 
Mmmmmm wewe unapenda kutetea mambo yasiyo na TIJA kwa WANANCHI,Yamkini unao ka mrija ka ulaji na unywaji kwa Mkuu wa Kaya.
TANZANIA kufika kwenye matumizi ya FLAT SCREEN hio sio juhudi pekee ya Kikwete ila TUMELAZIMISHWA NA MWENDO KASI WA MAENDELEO YA DUNIA KWA UJUMLA WAKE UNATUSUKUMA NASI TUINGIE HUKO TUPENDE TUSIPENDE NASI TUNAKIMBIA MCHAKA MCHAKA.
Rais JK alikuwa na maono gani juu ya NCHI yetu.Lazima utekelezaji uwe HOI BIN TAABANI.

.. faiza foxy ana uhakika Yuko ktk ulaji, huyo ni mboga 8 familia,ndomana mateso hayasiki wala kuyaona
 
Last edited by a moderator:
hivi Tanzania kitu kipi ni cha uhakika ?
maji ?
umeme?
usafiri ?
bandari ?
elimu ?
ajira ?
mawasiliano ?

ukinijibu haya mmoja wetu atakua mnafki
hii nchi kupata passport ni dili kuliko kupata bangi

Swali lako lishatoa jibu wewe ni mnafiq
 
Back
Top Bottom