Rais Kikwete nchi imemshinda mwanzo mwisho

Rais Kikwete nchi imemshinda mwanzo mwisho

Kuna member anaitwa Faiza Foxy anasema JK ni best presdient after Mwinyi, na anaona nchi imekuwa na neema, utajiri, na maendeleo makubwa kuliko nchi yoyote ya Afrika, na Mtanzania anaishi maisha bora kuliko mwafrika yoyote. Subiri aje utaona.

hahahahahah mwinyi alikua best president?
zaidi ya Nyerere?
zaidi ya mkapa?

kuna dalili ya udini hapa?
 
Mwenzio katoka Mwanza kapitiliza NEW YORK.
Sijui atapokelewa na nani wenzie akina Bill Clinton + Obama, Wanakuja kuinyonya Africa
Fahamu itifaki za Marekani, Rais wa Marekani hampokei Rais mwenzie wapo wahusika maalum. Jitahidi kujenga hoja na si kukurupuka. Umesikia!
 
jk means joka kuu? miaka kumi ya kutwanga maji. bora akajaribu na hiyo bongo fleva labda huko atafaulu. huyu anayemtetea anasubiri ubunge wa siku zilizobaki au? anatoa mapovu hata ukatibu kata hajapewa. au huwa anafaidi makombo pale magogoni.
Huu ni upotoshaji wa hali ya juu na utovu wa nidhamu kwa kiwango kikubwa. Inabidi uchukuliwe hatua kwa kumuita hivyo Mhe. Rais. JK maana yake kwa context hii ni Jakaya Kikwete. Halafu ujinga wenu wa kuwaza vyeo ndo unaowasumbua hata mkashindwa kufanya kazi kwa bidii mkitegemea vyeo vya kupewa. Havipo hivyo. Jitume ndipo utakapotumwa kwa maana ya kuteuliwa.
 
Acha ndoto za mchana mtu wewe. Kuona mabaya ni rahisi sana kuliko kuona mema hasa kwa watu kama ninyi wenye roho zilizojaa uovu. Mazuri hamyaoni. Mnafaa kuitwa mazuri blindness huu ni ugonjwa. Yaani mtu mwenye akili ya kawaida kama yako unashindwa kuona hata vitu ishirini vizuri ambavyo JK na wenzake wamefanya. Kama vyote huvioni basi ona hata uwezo wako wa kupata kisimu chako cha smart au laptop ukaweza kuandika haya. Pia ona uhuru na uwanja ulioupata kutoa maoni yako yasiyofaa. Hii yote ni kwa sababu ya Mhe. JK kuheshimu demokrasia ambayo ninyi mmeigeuza kuwa DOMOKRASIA.

Mkuu bmbalamwezi kama jamaa hapo juu kaona na kuorodhesha hayo mapungufu au mabaya, ni heri nawe ukayaona hayo mema na mazuri na kuyaweka hapa. (Nimeona umesema kuhusu kumiliki smartphone na uwanja huru wa kusema..... )
 
Last edited by a moderator:
hahahahahah mwinyi alikua best president?
zaidi ya Nyerere?
zaidi ya mkapa?

kuna dalili ya udini hapa?

Ndio maana mie nasema 97% kaboronga,UDINI UMEKUZWA SANA AWAMU YA NNE NA YEYE ANAONA NI VEMA TU.
Maaskofu na mashekhe kila wakati ni kutoa matamko.

Sina chuki binafsi na huyu mzee ukweli unabakia pale pale NCHI IMEMSHINDA KABISAAA.
 
uko sahihi kabisa huyu jamaa huwa sitaki hata kumuona au kumsikia kabisa kwa jinsi ambavyo aliachiwa nchi ikiwa nzuri uchumi imara na serikali ikiwa na pesa nyingi yaani ilikuwa ni kiasi cha kuiendeleza miradi aliyoachiwa badala yake nchi kaifikisha hapa tulipo leo kila kitu ni shida. Yaani huwa naikumbuka ile kauli ya mwalimu nyerere aliyomwambia wewe bado mwachie kwanza mkapa. Kumbe alikuwa na maana wewe huwezi kuiongoza nchi huna uwezo leo hii kila mtanzania analijua hilo ngoja niishie hapa maana nikiendelea kwa hasira niliyonayo naweza kujikuta natoa maneno yasiyofaa

Bora umestuka maana nimesoma gazeti moja tayari ameshamwaga wino kwenye kale kasheria ketu ka makosa ya mtandaoni.
 
Tukipata raisi mwenye sifa zifuatazo basi nchi itakwenda kasi ktk maendeleo:
  1. Kuilinda katiba ya nchi.
  2. Utashi wa uongozi maan uongozi ni tunu/kipaji.
  3. Mwenye Hofu na Mungu/Allah.
  4. Mwenye kujali maslahi ya nchi na c chama chake.
  5. Mwenye kusubutu kutoa maamuzi magumu bila kujali urafiki au itikadi ktk vyama.
  6. Mwenye kuhakikish neema ya nchi inawanufaisha watanzania wote.
  7. Kukuza uchumi wa nchi.
  8. Apige vita Rushwa, ujinga, maradhi na umaskini.
  9. Mwenye kuheshimu uhuru wa kuongea/kutoa maoni.
we need our Tanzania back since the current Tanzania is far away from Tanzanians.
 
Kumjadili kikwete ni kupoteza muda.jamaa kaanza kuaga.tusubiri tu atoke tutaona mazuri yake.hizi thread za fake id zina tabu sana,,yumkini mtoa mada amefaidika sana na utawala wa kikwete,lakini anasumbuliwa na homa ya kugawana vyeo
 
hahahahahah mwinyi alikua best president?
zaidi ya Nyerere?
zaidi ya mkapa?

kuna dalili ya udini hapa?

Mkubwa kwa mtanzania yoyote aliyekwenda shule, japo ya kidato cha sita anajua ukweli wa madhara aliyoacha Mwinyi kwa Tanzania. Lakini huwezi kuamini kuwa watu wanasema kuwa he was the best president ever...umesema ni harufu ya uduni.....lakini ukweli naona ni harufu ya umbumbumbu. Calling the worst the best, to me is just a disgrace.
 
Yote kwa yote ila kuna mambo anastahili pongezi kwa upande wangu,kama miundombinu.

Miundombinu ipi zaidi ya hizi barabara za kichina (viwango duni) wanazotujengea kwa kuchukua mikopo ya hatari na kuongeza deni la taifa zaidi ya 1000%??!!
 
Mhhh naona Kama ni tafit za jumla jumla! Basi ndo uhuru wetu wa Kuchangia mawazo!wasalaam
 
Kumjadili kikwete ni kupoteza muda.jamaa kaanza kuaga.tusubiri tu atoke tutaona mazuri yake.hizi thread za fake idr zina tabu sana,,yumkini mtoa mada amefaidika sana na utawala wa kikwete,lakini anasumbuliwa na homa ya kugawana vyeo

Akili ndogo zinasoma thread hii na kutoelewa chochote, Mtu MAKINI ataona na kujua ni 3% tu za hayo mazuri unayosubiri mpaka aondoke ndio tumkumbuke.

Kama kikwete angefikisha 25%-45% za kuleta MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA,Hakuna mtu angesema RAIS KIKWETE NCHI IMEMSHINDA.

Tumefika hapa tulipo kwa uhalisia wa mambo ulivyo LAZIMA TUSEME KWA UJASIRI HATA KAMA NDIO ANAONDOKA MADARAKANI.

Haihusiana na mambo ya kuomha au kugawana cheo hata kidogo.
 
Kumjadili kikwete ni kupoteza muda.jamaa kaanza kuaga.tusubiri tu atoke tutaona mazuri yake.hizi thread za fake idr zina tabu sana,,yumkini mtoa mada amefaidika sana na utawala wa kikwete,lakini anasumbuliwa na homa ya kugawana vyeo

Akili ndogo zinasoma thread hii na kutoelewa chochote, Mtu MAKINI ataona na kujua ni 3% tu za hayo mazuri unayosubiri mpaka aondoke ndio tumkumbuke.

Kama kikwete angefikisha 25%-45% za kuleta MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA,Hakuna mtu angesema RAIS KIKWETE NCHI IMEMSHINDA.

Tumefika hapa tulipo kwa uhalisia wa mambo ulivyo LAZIMA TUSEME KWA UJASIRI HATA KAMA NDIO ANAONDOKA MADARAKANI.

Haihusiana na mambo ya kuomha au kugawana cheo hata kidogo.
 
Ndio maana mie nasema 97% kaboronga,UDINI UMEKUZWA SANA AWAMU YA NNE NA YEYE ANAONA NI VEMA TU.
Maaskofu na mashekhe kila wakati ni kutoa matamko.

Sina chuki binafsi na huyu mzee ukweli unabakia pale pale NCHI IMEMSHINDA KABISAAA.

sisi watanzania tunapenda sana kulalamika ila hatupendi kuwajibika kwa sehemu zetu kila mmoja. msemo wa jamaa urais ni cheo kisichokua na shukrani hata kidogo. we unaelilia maisha bora umeifanyia nini nchi kiazi kikuu wewe??
 
Wewe ni walewale tu ninyi ndio mnaoitafuna hii Nchi ka MCHWA anakula manyasi,Madreva wanagoma kisa unatoa 500,000/- ya mafunzo ya awali na baada ya miezi mitatu tudi tena kwenye mafunzo lipa tena LAKI TANO.

Rais amewaandalia mazingira gani hao madreva?
Wakongwe wanadai haki zao wanamwagiwa maji ya washawasha.
Albinosm uchaguzi umekaribia ndio VIFO vyao vinaongezeka hilo swali mwuulize Mkuu wa Kaya NINI KATUFANYIA?

MBONA NCHI IMEMSHINDA.
 
Back
Top Bottom