Rais Kikwete nchi imemshinda mwanzo mwisho

Rais Kikwete nchi imemshinda mwanzo mwisho

[QUOTE: Th los proffcnal;12619155]Yote kwa yote ila kuna mambo anastahili pongezi kwa upande wangu,kama miundombinu.[/QUOTE]

Nchi hii wapo wengi sana wanaofikiria kama wewe.... Na wengi wao utakuta wana akili za kuambiwa..!!!
 
Kaachiwa na nani wewe? wacha uongo.

Uchumi wa Tanzania ya leo si uchumi wa Tanzania aliyochukuwa Kikwete. Tulikuwa hatuna reserve ya pesa za nje hata ya mwezi mmoja leo tuna ya miezi minne.

Fikiri.

Duuuu!! Tuna safari ndefu
 
Kikwete anaondoka, nasi hatuwezi na haitatokea nchi yetu kuongozwa na WAZINZI hats mpige debe vipi hatutaki....................
 
Kusema JK kashindwa ni kama kumuonea tu, nchi aingozwi na kusimamiwa na mtu mmoja alichokifanya JK kwakweli as days go ni blessing in disguise.

Kikubwa ni exposure aliyoitoa ya weak institution ya CCM ambayo kwa sasa aijitambui kisera wala kuona umuhimu wa kuisimamia serikari. Sijui ni kiasi gani wengine huwa mna pay attention anachokisema waziri wa fedha maana that is what determines a lot in terms of maendeleo ya mtu mmoja, kiwango cha huduma za taifa (elimu, afya, makazi, etc) na maendeleo ya taifa kwa pamoja.

Imekuwa tabia sasa ya wizara ya fedha kujitungia kodi kila kukicha tofauti na itikadi za chama tawala na kupanga matumizi tofauti na hoja za wanasiasa wanapokuwa majuukwani kuna detachment ya serikari na chama na sijui wengine wamelichukuliaje hili la ilani kuandikwa bila ya dira na vision za kiongozi wa taifa kwangu mimi ni majanga makubwa na ndio sababu ya kila mtu kudhani anaweza nafasi ya uraisi, inapelekea kuchagua watu bila ya kujali uwezo wa kutimiza ilani yaaani linachangia matatizo makubwa ya jamii and administration issues and monitoring.

Mfano jana waziri Mkuya katika kutetea hoja ya sh100 ya ongezeko la mafuta hili kupeleka umeme vijijini amejenga nadharia ya uzalendo, hali kadhalika ki sera unaweza sema ni kupokonya watu hela za matumizi na nini hasa msimamo wa chama interms of income distribution. Ukizingatia already watu wengi wanachoma mafuta mengi barabarani bila ya kusogea walau angesema hela ni kuziba mashimo au kutanua barabara ningeelewa lakini kupeleka umeme vijijini are you serious? halafu anatoa mfano uchwara kwani umeme umepita vijiji vingapi mpaka sasa na hakuna viwanda wewe uone mfano wa kijana wa shinyanga tu? issue ni umeme au mitaji kama mtu ana mtaji ata generator la umeme angeweza fungua kiwanda kidogo huyu dada sijui kwanini amumuoni for what she is pure simple and bogus.

On the contrary wana kijana kama January Makamba anae dai kuna vyanzo vya mapato ambavyo aviko exploited in billions annually moja wapo ni supervision of fishing activities which amounts to over 500 billion sh na mengineo anayoyaonglea ambazo vitaacha kuongeza kodi na kutoa hela kwenye mifuko ya watu kila kukicha.

Sasa unajiuliza hawa jamaa wanakaa pamoja kweli wakati wakitafakari mikakati ya kisera ziko wapi itikadi za chama mbona tofauti sana na wizara inavyojiamulia, mbona wanachama wanamuono tofauti sana who is shaping the party culture, who is supervising who serikari au chama.

In short kama umesoma siasa alichokifanya JK through open government ni ku-expose the chaotic state of the national politics, party politics, the weaknes of CCM (yaani wanan'goka dakika moja kama unajua kupiga domo la siasa vizuri) sasa hapa zikija external influences such as regional integration ndio kabisa sishangai kuona makampuni ya kigeni kulazimishwa kutumia bidhaa za ndani kibiashara hiko wapi sera ya ushindani kwa viwanda vya ndani kufanya mgeni aone faida ya kutumia bidhaa zetu hivi mtu anaweza kweli kutoa machungwa south afrika wakati muheza yapo kama lengo ni faida zake (kikwetu atuweki mazingira sahihi lakini tunataka walazimisha watumie awataki waondoke bila yakujali ajira wala taxes) huku sasa ndio kuishiwa ubunifu we need to change CCM ina bahati ya upinzani kuwa very weak tu lakini ilibidi wakae chonjo JK amefungua matatizo ya taifa ni dhahiri yako wazi sasa tutafanya makosa makubwa sana tukiwaendeza CCM na mgombea wao we must demand the quality of the next president.
 
Am stistfied kuwa hukuenda shule, itachukua muda kukufundisha uelewe what Povety is, what Poverty Line is, n.k. Nyie ndo mnategemea GNP na GDP kuigrade nchi na hali ya wananchi? Tatizo la ku-google bila kwenda shule ndilo hilo, bahati mbaya it is too late kwako!!! Huwezi kuelewa

Nnaona unapenda kujifurahisha, ukiongelea "poverty" hata nchi tajiri kama USA wana "poverty" pia. USA leo hii kuna watu wako kwenye "poverty" wengi kuliko watu wa Tanzania nzima, unalijuwa hilo?

Faidika na darsa la FaizaFoxy, jisomee: More than 46 million Americans live in Poverty USA.

Ilm yangu hauipati hata asilimia tano (5 %), na kwenda shule pekee si kuwa na elimu, wengi wenu shule mmeenda kusomea ujinga - kumbuka hilo.
 
Last edited by a moderator:
Nnaona unapenda kujifurahisha, ukiongelea "poverty" hata nchi tajiri kama USA wana "poverty" pia. USA leo hii kuna watu wako kwenye "poverty" wengi kuliko watu wa Tanzania nzima,

unalijuwa hilo?

Faidika na darsa la FaizaFoxy, jisomee: More than 46 million Americans live in Poverty USA.

Ilm yangu hauipati hata asilimia tano (5 %), na kwenda shule pekee si kuwa na elimu, wengi wenu shule mmeenda kusomea ujinga - kumbuka hilo.

sure...upo sahihi USA si mchezo
 
Last edited by a moderator:
Nnaona unapenda kujifurahisha, ukiongelea "poverty" hata nchi tajiri kama USA wana "poverty" pia. USA leo hii kuna watu wako kwenye "poverty" wengi kuliko watu wa Tanzania nzima, unalijuwa hilo?

Faidika na darsa la FaizaFoxy, jisomee: More than 46 million Americans live in Poverty USA.

Ilm yangu hauipati hata asilimia tano (5 %), na kwenda shule pekee si kuwa na elimu, wengi wenu shule mmeenda kusomea ujinga - kumbuka hilo.
Tofautisha kwanza poverty measurement kama utaangalia relative poverty kwa Tanzania as the bench mark kama wao wanavyofanya utakuta no more than 10% of the population are out of it kwa nchi kama Tanzania.

Janga hapa ni absolute poverty unajua maana yake ulaya ukifikia huko unajitakia we mwenyewe for the most and some form of addiction is involved wakati Tanzania ni kawaida tu.
 
" Tanzania, Tanzania, nakupenda kwa moyo wote. Nchi yangu Tanzania, jina lako ni zuri sana> nilalapo nakuwaza wewe, .............."

View attachment 262975

WAGONJWA_ZAHANATI_KISAKI[1]_.JPG

Wajawazito_Temeke_Hospital.jpg

View attachment 262978

Barabara Mbovu Rukwa 1.jpg

Barabara Mbovu Rukwa 2.jpg

Barabara Mbovu Rukwa 3.jpg

Niliahidi.jpg

View attachment 262991​

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Tofautisha kwanza poverty measurement kama utaangalia relative poverty kwa Tanzania as the bench mark kama wao wanavyofanya utakuta no more than 10% of the population are out of it kwa nchi kama Tanzania.

Janga hapa ni absolute poverty unajua maana yake ulaya ukifikia huko unajitakia we mwenyewe for the most and some form of addiction is involved wakati Tanzania ni kawaida tu.

Umasikini wa Tanzania unataka kuulinganisha na tuliokuwa nao awamu ipi zilizopita?. Hicho ndicho cha muhimu.

Poverty ya mwengine ni utajiri kwako na poverty yako ni utajiri kwa mwengine - kumbuka hilo.

Tanzania ya leo tupo kwenye neema, umewahi kuishi wakati wa kukaa foleni za chakula Tanzania hii (awamu ya kwanza)?
 
Poverty ni poverty tu hakuna mesurement hapo,mtu anakosa mlo wewe unasema nini,Marekani kuna maskini wa kufa leo leo!
 
Hawa wanaomkejeli Jk Wameshiba sembe,
Jonathan wa Nigeria walimkebehi hivyohivyo
wakampa nchi Buhari wao waliompenda sana wakamuingiza kwa vishindo
sasa kafika siku 100 kaanza kulialia mpaka kawaambia wananchi wake wasiandamane wamuonee huruma teh teh alifikiri uongozi wa nchi ni kula ubwabwa na kunywa wine!
 
Umasikini wa Tanzania unataka kuulinganisha na tuliokuwa nao awamu ipi zilizopita?. Hicho ndicho cha muhimu.

Poverty ya mwengine ni utajiri kwako na poverty yako ni utajiri kwa mwengine - kumbuka hilo.

Tanzania ya leo tupo kwenye neema, umewahi kuishi wakati wa kukaa foleni za chakula Tanzania hii (awamu ya kwanza)?
Poverty aiwezi kuwa sawa na utajiri kwa mtu yeyote so long mtu ana limited choice, limited expenditure of which add up to not meeting his ends needs kamwe awezi kuwa kuchochote zaidi ya kuwa maskini ata kama anaamini tofuauti una hela ya matibabu utakufa tu its simple as that, unaela ya chakula utalala njaa na kwa Tanzania hakuna alternative. There a alot of people living on those constraints hata kama chakula akina foleni lakini hela hawana.

Poverty ni poverty tu hakuna mesurement hapo,mtu anakosa mlo wewe unasema nini,Marekani kuna maskini wa kufa leo leo!
Tofautisha wao hoja kubwa ya umaskini kwa nchi tajiri kama marekani ni income distribution policies (ambazo sio popular sana kwenye siasa zao), against wealth creation opportunities and the things in between. Sasa wewe kama raia amua fursa zipo wazi na risk ziko wazi on how you choose to develop your self, so as the safety precautions ways.

Hadi ulale njaa huko na kuna food stamps, homeless shelters, social workers wa kukushauri lazima unamatatizo makubwa psychologically au unajitakia tu mwenyewe.
 
Poverty aiwezi kuwa sawa na utajiri kwa mtu yeyote so long mtu ana limited choice, limited expenditure of which add up to not meeting his ends needs kamwe awezi kuwa kuchochote zaidi ya kuwa maskini ata kama anaamini tofuauti una hela ya matibabu utakufa tu its simple as that, unaela ya chakula utalala njaa na kwa Tanzania hakuna alternative. There a alot of people living on those constraints hata kama chakula akina foleni lakini hela hawana.

Tofautisha wao hoja kubwa ya umaskini kwa nchi tajiri kama marekani ni income distribution policies (ambazo sio popular sana kwenye siasa zao), against wealth creation opportunities and the things in between. Sasa wewe kama raia amua fursa zipo wazi na risk ziko wazi on how you choose to develop your self, so as the safety precautions ways.

Hadi ulale njaa huko na kuna food stamps, homeless shelters, social workers wa kukushauri lazima unamatatizo makubwa psychologically au unajitakia tu mwenyewe.

Ngonjera tu za watanzani hzi,wasomi kibao
but useless,elimu wanasoma ili wakaibe,kwenye michango wako very active
and samrt, wape kazi sasa ni kulialia na kuiba kizazi kilicholaaniwa
hata ungekuja na paper yako hapa so long as hulisaidii taifa kutoka hapa
ua nonsense, we want to move now usiniletee story zako hapa masikini ni masikini tu
hata awe Marekani masikini tu,usijifanye janja widi hapa tokaa!
 
fanya kuedit hapo uongeze kubwa kuliko yote

kupaa kwa deni la taifa toka trl 4 alizozikuta wakati anaingia madarakani mpaka trl 39 hivi sasa (bado hajaondoka madarakani.!!

tutakwisha..!!

Back tanganyika
eti??!!mkuu ka vile cjakelewa
 
Poverty aiwezi kuwa sawa na utajiri kwa mtu yeyote so long mtu ana limited choice, limited expenditure of which add up to not meeting his ends needs kamwe awezi kuwa kuchochote zaidi ya kuwa maskini ata kama anaamini tofuauti una hela ya matibabu utakufa tu its simple as that, unaela ya chakula utalala njaa na kwa Tanzania hakuna alternative. There a alot of people living on those constraints hata kama chakula akina foleni lakini hela hawana.

Tofautisha wao hoja kubwa ya umaskini kwa nchi tajiri kama marekani ni income distribution policies (ambazo sio popular sana kwenye siasa zao), against wealth creation opportunities and the things in between. Sasa wewe kama raia amua fursa zipo wazi na risk ziko wazi on how you choose to develop your self, so as the safety precautions ways.

Hadi ulale njaa huko na kuna food stamps, homeless shelters, social workers wa kukushauri lazima unamatatizo makubwa psychologically au unajitakia tu mwenyewe.

Tofauti yako na yangu ni kuwa wewe shule ulienda kusomea ujinga.

Kuwa na material ndiyo kwako utajiri, kwangu mimi kuwa happy na afya njema na kuwa na basics za kukufanya uishi ndiyo utajiri. Kula wali na nyama ni chakula basic kwangu na kula ugali na maharage ni basic kwa mwengine, hata umpe wali na nyama hatoridhika - kumbuka hilo.

Kikwete katutowa kwenye life expectancy ya miaka chini ya 50 alipokabidhiwa nchi miaka 9 iliyopita, leo tupo kwenye life expectancy ya miaka 62. Dogo hilo? compare na miaka 43 life expectancy tuliyowachiwa na awamu ya kwanza.

Hivi unataka kufafananisha Tanzania ya leo na awamu ipi iliyopita kwa umasikini?
 
Back
Top Bottom