Sam GM
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 535
- 32
Mbali na kuwa Jk anasafiri sana kwa kisingizio kuinadi nchi kwa serious investors, je katika hii miaka miwili kuna ushahidi wowote kuwa gharama zinalipa au kuonyesha matunda yoyote?
Hizi safari ni kuwa anajaribu kujinadi yeye kama JK nje ya nchi, au kweli anainadi Tanzania kama nchi?
Hizi safari ni kuwa anajaribu kujinadi yeye kama JK nje ya nchi, au kweli anainadi Tanzania kama nchi?