Rais Kikwete na safari za nje

Rais Kikwete na safari za nje

Wakuu Kuna Aka Ka Nyepesi Nyepesi
Ati Uyu Makamu Wa Raisi Anaogopa Ndege
Ndio Maana Mzee Anaamua Kuzunguka Safarinyingine Za Mkuu Shein????
Au Jamaa Amekula Kipindi Cha Benny Kaamua Kumwambia Jamaa Asubiri Kipindi Kijacho Chake Uuuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Hivi ina maana hizi safari za Jk hazipo kwenye bajeti ?Zinachotwa tu pesa hazina au?
 
Huyu muungwana alishazoea tangu kipindi cha chenkapa manake simnakumbuka alikua ndo B.Membe wa sasa.Afu hataivyo mimi nahisi anaingia hapa DC kutafuta wawekezaji wengine.

Nina machungu sana na hao wawekezaji waliopo bongo hasa mikoa fulani fulani nchini kwetu kwa mambo wanyoyafanya ikiwemo na poor compasation za viwanja vya wazawa halali wa maeneo ya madini,Ubaguzi na tabia zisizokubalika kwa jamii ya mTZ wa kawaida na siyo hivyo tu!!!!!

Wakulu hawa hawa wanavyogawana na wawekezaji hizo mali za waTZ kwa nguvu na bila kujali kizazi kijacho na bila hata lepe ya aibu!!

Tanzania Tanzania Nchi yangu niipendayo sana kwa moyo wangu wote itapotea katika uso wa dunia hii pasipo wanaichi wake kugundua kwanini inapotea!!!!!

Nani ajuae wachimba dhahabu katika migodi yao hao wawekezaji ni kiasi gani cha dhahabu huchukuliwa na serikali inafaidika kiasi gani kila Mwaka,Mwezi wiki na kila siku Nani anaweza kujua soko la dhahabu duniani huathiriwa na mambo gani kila siku na kutambua nchi yetu inaathirika vipi na soko la dhahabu???????

Inaumiza kiasi cha kufanya mwili wangu usisimke pale ninapokumbuka yaliyotokea Bulihyulu mwaka 1994 inatiahasira hadi leo Muungwana kutwa kucha kutafuta wawekezaji hali huko alikotoka chini ameacha mgogoro wa Shirika la Reli,ukizidi kuja juu na bila kujali kwamba wanainchi wa kawaida wanategemea usafiri wa reli katika maisha yao ya kila siku.

Hebu niambie kigoma,mwanza,shinyanga na mikoa yote yenye kupitiwa na reli ilikua katika hali gani kwa kipindi chote cha mgomo wa wafanyakazi wa Reli??????

Mnyonge ni mnyonge tu ila siku akitambua ana haki zake....... MTAMPATIA tuuuu!
 
Mkuu FMES, heshima mbele.

Sources nyingine zinaonyesha kuwa Muungwana atakuwa Lusaka kesho kwenye mkutano wa SADC, hiyo ya US haimo kwenye ratiba zake za wakati huu; isijekuwa wame-confuse na visit ya mkewe Salma?
Jamani hapa hakuna cha kuchanganya safari yake na mke wake wala nini.jamaa amezidi sana mkewe alikuwa huko sasa anakaribia wiki mbili na yupo na jopo la watu kumi na mbili, sasa mi sijui hawa wanalipiwa na nini
 
Hivi ina maana hizi safari za Jk hazipo kwenye bajeti ?Zinachotwa tu pesa hazina au?

Kwi kwi kwi!!!

I'm yet to see/hear a budget which details specific travels, routes and reasons in advance. Unless I don't know what budget and budget process means; but so far during budget you just allocate or rather put a side a certain amount of money for president travel purposes. During the budget period in most cases you still do not know!!! Kenya will have violence situation; Zimbwabwe there will be an issue, Chinese President will invite you!!! etc. etc.

What you deserve to question is:-
1. Are the president travels genuine/prudent meaning that are they bringing short term and long term benefits to the nation; (well majority they only interpret the short term benefits, they never look beyond 1 to 2 years...) So i forgive them.

2. Is the total allocated budget spent and exceeded? If exceed why? What was so special in that particular year of consideration?

Those are the only questions you as citizen you can question!!! Otherwise the other questions are "majungus and simple politics"

NB: I meant to understand that travels of our Excelence President of United Republic of Tanzania when travel on capacity as AU chairman are charged back to AU!!!
 
FMES,
Hapa sasa naona tunashabihiana. JK ni mtu asiye na haya, haachi kututukana waTanzania kila kukicha kwa vitimbwi vyake na mkewe. Safari zake zimeshapigiwa kelele sana lakini inaelekea anaona hakuna wa kumsulubu ndio maana anafunga masikio. Ndio maana naendelea kusisitiza kuwa tuongeze makelele ya kumshinikiza aachie madaraka, kama si kwa EPA basi hata kwa matumizi mabovu ya mali ya umma na uendeshaji mbovu wa serikali, mpaka wabunge wake nao wamchoke na kumuweka kiti moto. Only CCM MPs can take him to task.

Mkuu ! Mawazo yangu mimi makelele yanafaa zaidi katika kudai Katiba mpya kwanihiyo ndio suluhisho ya mambo yote na kuondoa ukiritimba wa CCM.

Kweli jamani wananchi wa Tz hatuwezi kuchachamaa tukaweza kulifanikisha hili naamini ikiwa tutalisimamia kwa dhati na uwezo wetu wote kwa umoja wetu na kuwa ndio lengo la pamoja tunaweza kufanikiwa.

Tunachohitaji ni watu wa kutuonyesha njia na kuongoza utaratibu wa nini cha kufanya - vyama vya siasa , mashirika yasiyo ya kiserekali , taasisi za dini na Taasisi za kutetea haki za binadamu wakae pamoja kulijadili hili. Bila hivyo viongozi wa CCM watafanya watakalokwani wanajua katiba inawalinda na hawataondoka madarakani kwa njia ya demokrasia milele - Kwa katiba iliopo.
 
5. Analogy; Nikimfananisha Rais wa Nchi kama CEO wa Kampuni, sioni tatizo la Kikwete, CEO anaye-delegate shughuli zake vizuri hana sababu ya kutotembea na kuona wengine wanafanya nini? Anaenda kwenye masoko n.k. CEO yoyote ambaye anafanya kazi za COO ni CEO ambaye hawezi kuwa-successfull!
[/QUOTE]

Tafadhali usitudhalilishie nchi yetu namna hii. Unaifananishaje na kampuni na rais wetu CEO?!!!!!!? Tafadhali sana
 
Hapana mkuu wangu mimi ni mtu mzima, siwezi kukurupuka na ishu kama hii, kuna mpaka baadhi ya members hapa walikuwepo kule Columbia New York, ambako alihutubia kwa lugha ya kiswahili huku projector ikitafsiri in English, yaani una maana ile safari ilitakiwa kuwa siri? Are you serious?

First Lady amekaa wiki mbili US?
 
Kwi kwi kwi!!!

I'm yet to see/hear a budget which details specific travels, routes and reasons in advance. Unless I don't know what budget and budget process means; but so far during budget you just allocate or rather put a side a certain amount of money for president travel purposes. During the budget period in most cases you still do not know!!! Kenya will have violence situation; Zimbwabwe there will be an issue, Chinese President will invite you!!! etc. etc.

mkuu, kuna safari za dharura na zilizopangwa. kwa mfano mwaliko kutoka kwa raisi wa nchi nyingine sio dharura hizi hupangwa kwa muda muafaka na mara nyingi zinakuwa ndani ya bajeti. masuala kama ya vurugu kenya au songombingo zimbabwe ni dharura nazo hushughulikiwa na bajeti ya dharura.

napenda kuamini rais au ofisi ya rais kwa kushirikiana na mambo ya nje wanauwezo wa kupanga bajeti ya safari za mheshimiwa wakijua kwamba mwaka huu wa bajeti mheshimiwa atakwenda nchi kadhaa.

hivi huko marekani kuna nini haswa? rais wa nchi kwenda marekani (sio umoja wa mataifa new york) zaidi ya mara mbili katika kipindi cha miaka miwili ni lazima kulete maswali.
 
hivi huko marekani kuna nini haswa? rais wa nchi kwenda marekani (sio umoja wa mataifa new york) zaidi ya mara mbili katika kipindi cha miaka miwili ni lazima kulete maswali.

Mkuu wangu Kafara,

Heshima mbele, hapa tupo ukurasa mmoja. Maswali yanakuja on the facts kwamba Joji Kichaka si alikuwa bongo majuzi tu? Sasa tayari rais wetu alishakuja mwaka huu, hii itakuwa safari ya pili, halafu GA September, ataenda tena, halafu mimi ningeelwa kuwa anaenda na watu kumi tu, lakini NO, linakuwa kundi kubwa sana watu wanapiga shopping tu na kununua spare za magari yao bongo, I mean with all due respect kwa muungwana, this is out of control unless kuna maelezo mazito basi yatolewe!
 
Mama JK nafikiri ni STD 7 au Form 4. Sasa kwenye haya majukwaa sijui anaiwakilishaje nchi.

Kubwajinga,

That statement is tasteless and disrespect to all Watanzania who are not "educated" with a university degree like you. It is an insult to Mama Salma and I strongly urge you to correct yourself and your thinking on this!

What you are demonstating to Tanzania and so is to everybode else is that one has to be an "academic elite" to be an inspiration to others. Have you forgoten that your great grandparents were intelligent and wise with their traditional education and possibly never set a foot on modern education center?

Its all about wisdom and inspiration and I do not see anything wrong with Mama Salma to give out a speech at Columbia or American university. Being intelligent you do not have to have BA, MA or PHD!

The matter of fact she delivered the speech in Swahili is commended and I salute her for that!

Usilete ubaguzi wa kisomi bwana. Mama Salma hajafanya lolote baya, kama kosa ni kuwa Mke wa Kikwete, then ina maana Mama Maria, Mama Sitti, Mama Khadija na Mama Anna wote walikuwa na makosa kuwa wake wa maraisi!
 
Mimi huwaga napenda tusijadili wingi wa safari... nadhani tujadili safari ipi ya Mh. Rais haikuwa/haina/haitakuwa na umuhimu. Ni muhimu pia wakati tunajadili tusijekumpa Rais majukumu ya Waziri Mkuu!

1. India - Muhimu (Kama mwenyekiti wa AU, kama hamuitaki hii safari,,, mungekataa asiwe Mwenyekit wa AU). Kwa maana nyingine tatizo sio safari bali kuwa mwenyekiti wa AU.

2. China - Muhimu (Mahusiano ya Kiuchumi na China ni muhimu kwa taifa letu, Nimesoma biashara kati ya TZ na china imekuwa kwa asilimia 48.x kati ya 2006 na 2007 iko kwenye... mil. 800$ kwa mwaka kama sikosei.)
3. Zambia - Muhimu (Mahusiano yetu na Zimbwabwe, SADC)

4.Marekani; mimi sijui anaenda kufanya nini? Tukijua anaenda kufanya nini? Ndio tuta-hukumu; zaidi ya hapo... itakuwa ni ile saratani ya kitaifa ya kutojadili hoja, badala yake kujadili watu...

5. Analogy; Nikimfananisha Rais wa Nchi kama CEO wa Kampuni, sioni tatizo la Kikwete, CEO anaye-delegate shughuli zake vizuri hana sababu ya kutotembea na kuona wengine wanafanya nini? Anaenda kwenye masoko n.k. CEO yoyote ambaye anafanya kazi za COO ni CEO ambaye hawezi kuwa-successfull!

Katika nchi kama ya kwetu,, COO ni Waziri mkuu, ndiye mwenye kufanya shuguli nyingi... sio CEO...
6. Nachelea kuamini kwamba Rais wetu angekuwa anaenda kupiga bla bla bla... isingekuwa rahisi kwake kupewa mialiko na mataifa hayo makubwa... unless tuseme anajialika mwenyewe....

Hivi huyu Kikwete na wewe Mnajua kweli umuhimu wa kutumia pesa kwa kadri ya uwezo? Ina maana Balozi za nje zilizoko Tanzania zina kazi gani zaidi ya kukutanisha nchi zingine na Tanzania?

Nchi yetu bado ni masikini, kuleta wawekezaji ambao watakumbana na umeme wa masaa 4 kwa siku, bei ghali ya ujenzi, usafiri usio na uhakika, rushwa na longolongo bandarini na TRA, na mengine mengi, ni sababu tosha ya kuwarudisha wawekezaji huko walikotoka siku ya pili.

Jenga nchi kwenye standard nzuri na mengine yatajijenga juu yake
 
That statement is tasteless and disrespect to all Watanzania who are not "educated" with a university degree like you. It is an insult to Mama Salma and I strongly urge you to correct yourself and your thinking on this!

Mkulu KJ,

Heshima mbele mkuu, hii below the belt, kuwa mke wa rais sio lazima uwe umesoma, halafu huyu mama amekuwa mwalimu wa shule kwa muda mrefu sana, sio kweli kwamba kitabu hakipandi, nje ya nchi kutumia lugha yoyote ni sawa tu, sio lazima useme english,

Mkuu Kishoka, tuko wote hapo.
 
Kubwajinga,

That statement is tasteless and disrespect to all Watanzania who are not "educated" with a university degree like you. It is an insult to Mama Salma and I strongly urge you to correct yourself and your thinking on this!

What you are demonstating to Tanzania and so is to everybode else is that one has to be an "academic elite" to be an inspiration to others. Have you forgoten that your great grandparents were intelligent and wise with their traditional education and possibly never set a foot on modern education center?

Its all about wisdom and inspiration and I do not see anything wrong with Mama Salma to give out a speech at Columbia or American university. Being intelligent you do not have to have BA, MA or PHD!

The matter of fact she delivered the speech in Swahili is commended and I salute her for that!

Usilete ubaguzi wa kisomi bwana. Mama Salma hajafanya lolote baya, kama kosa ni kuwa Mke wa Kikwete, then ina maana Mama Maria, Mama Sitti, Mama Khadija na Mama Anna wote walikuwa na makosa kuwa wake wa maraisi!

Heshima Mbele Rev,

I respectfully beg to differ with your perspective, that querying for someone's qualifications is being disrespectful.

I have high regards for the office of the prez and all associated with it, but when they misbehave, they become just like any other citizen. The least one can do is to slap them and remind of their obligations to the country.

We all pay for mama Salma's trips, and feel deeply obliged to know how I benefit from her travelings/spendings. It costs almost $10,000 a person, between Dar and NY/DC in a 1st class. This could have paid for about 10 medical students at Muhimbili for the whole year. With their traveling contigents, always comprising of 5 -10 or more people, you can picture how much it costs the nation, hotel and car rental excluded.

Trotting around the continents in the guise of presenting papers at universities, is something that I can not buy. Std 7 is std 7, form 4 is form 4, we can neither change that nor can we turn madam JK into an intellectual overnight. This is something created by those around her for their own benefits at our expense, and it has got to stop. That is why I decided to call a spade, spade.

Wakati umefika wa kuacha kupamba baadhi ya maneno ya kukemea, ambayo yakifanyiwa hivyo, uzito wake unapungua. Namheshimu sana mama Salma JK, lakini sidhani kama ni busara kwake kutumia vibaya pesa yetu, wakati watu wanakufa njaa nyumbani.

Tusipopinga huu u-Vasco da Gama wa Mr. & Mrs. JK usiotusaidia, tena kwa lugha kali, hata kama itakuwa zinachukiza kidogo, haya yataendelea maana inaonekana wao hawana uchungu na nchi.

Kwa hiyo mkuu Rev., usinielewe vibaya kuwa nina nia ya kumdharau mama JK, la hasha. I just want my point to be naked and inambiguous clear
 
Mkulu KJ,

Heshima mbele mkuu, hii below the belt, kuwa mke wa rais sio lazima uwe umesoma, halafu huyu mama amekuwa mwalimu wa shule kwa muda mrefu sana, sio kweli kwamba kitabu hakipandi, nje ya nchi kutumia lugha yoyote ni sawa tu, sio lazima useme english,

Mkuu Kishoka, tuko wote hapo.

Mkuu FMES,
Hii niliipanga vizuri kabisa iwe "below the belt", katika jitihada za kuifanya ieleweke vizuri. Mambo mengine ni ya aibu kabisaaa, wakati uwezo wa wahusika unaeleweka. Tusiigeuze nchi yetu ikawa ya kifalme.
 
na nafikiri tunaweza kuanza hiyo kwa kuangalia vyama havitawaliwi na kabila moja which might lead to a one family party !
 
Mkuu wa Medani za Kivita ES; Hapa leo naiona nguvu ya hoja yangu, unune usinune tutaendelea kukusoma kianaharakati na muelimishaji zaidi, JK asaidiwe kiuungwana,akosolewe kistaarabu na apongezwe kwa haki pale alipofanya kweli na kutunyanyulisha mabega juu si kwa ngoma bali kwa heshima; With all respect-FDR Jr.
 
Hii itabidi iwe thread ya kukeep count on JK's trips za 2008 maana mwaka jana tulishindwa kuweka count hivyo wengine tukakosa hoja. Mwisho wa 2008 kama tutakuwa wazima tutajua safari vipi zilikuwa na ulazima na zipi siyo za muhimu

Evaluation yetu itaangalia msafara wake huwa anachukua watu wangapi
Anafikia hoteli gani
Umuhimu wa hiyo safari
Estimation ya gharama za kila safari
Gharama ambazo ubalozi husika huzipata

KISHA

tutaoanisha na repoti ya PUBLIC ACCOUNTS COMMETEE
na auditing reports za Foreign na Ikulu
kisha tutajua kama IKULU iko fot for purpose
sioni sababu gani hili lisiwezekane afterall wana JF mnajua itinerary ya JK ya mwezi ujao kabla hata hao watu wake ikulu hawajaijua.

Hizi safari zake kweli zimezidi je kweli kuna umuhimu gani yeye kuwepo?Je hana mawaziri wa kuwasilisha?

Nakumbuka alitoa ahadi kuwa atakuwa akikutana na waandishi wa habari wetu was it kila mwisho wa mwezi au kila baada ya miezi mitatu?

summit.jpg

Wakati wa press conference akijibu swali.........hebu tuangalie jibu lake

President Jakaya Kikwete (United Republic of Tanzania): In our discussions, it became apparent that there is a big deficiency in terms of the overseeing of the international financial system.For example, the current financial climes. How could it happen that suddenly $500 billion has evaporated and the world now is in such a big crisis? These are some of those basic issues that really demand that we need to do something about the international institutions.........

I wish i was there,mimi ingemuuliza EPA mbona unahepa unasafiri safiri tu kaa nyumbni ujibu na kuwajibisha
 
Lakini lazma watu tuseme, hizo trips zimezidi.Jk anaweza kutuma wakilishi sehemu nyingne na hizo trips za Mama sijui kama ni necessary sana. Watu wana shida hapa TZ hela hizo zingesaidia mambo mengi.Trip moja ya JK ineweza kuongeza vitanda pale Ocean Road Hospital ambako wagonjwa wana share vitanda.Trip moja ya Mama watoto wengi wa shule wangepata madawati kuliko kukaa chini na mengine mengi tu. Isitoshe ma trips kibao wanabeba na washikaji kwenda kufanya shopping.
 
Back
Top Bottom