Rais Kikwete na safari za nje

Rais Kikwete na safari za nje

Atakuwa hapa kwa wiki mbili, pamoja na kufanya yaliyosemwa ataungana na Mama, halafu na yeye mwenyewe atakuwa kwa ajili ya Medical check up. Ana tatizo ambalo nilishadokeza siku nyingi zilizopita na sasa wakati umefika wa kulitilia mkazo, and NO siyo mdudu a.k.a ngoma a.ka umeme kama wengi walivyoaminishwa.

That exclusive from KLHN: Hadi hawa jamaa watakapojua kuwa wa wazi kuhusu afya ya Rais na kwa kadiri wanavyochelewa kuliambia Taifa sisi wengine tutajitolea kufanya hivyo.

Sasa kama ni kweli kina Nape washachukuwa nchi...Then kwanini aendelee kufanya kila kitu siri tuu.
Ila tunashukuru kwa hiyo xclusiv...Tunaliombea Taifa letu amani..Kwani hakuna anayewajali wananchi tena
 
Atakuwa hapa kwa wiki mbili, pamoja na kufanya yaliyosemwa ataungana na Mama, halafu na yeye mwenyewe atakuwa kwa ajili ya Medical check up. Ana tatizo ambalo nilishadokeza siku nyingi zilizopita na sasa wakati umefika wa kulitilia mkazo, and NO siyo mdudu a.k.a ngoma a.ka umeme kama wengi walivyoaminishwa.

That exclusive from KLHN: Hadi hawa jamaa watakapojua kuwa wa wazi kuhusu afya ya Rais na kwa kadiri wanavyochelewa kuliambia Taifa sisi wengine tutajitolea kufanya hivyo.

Ulimpima?No or yes inategemea na majibu ya vipimo!labda mwenzetu ulishampima?na huwezi kukonclude ugonjwa wa mtu kwa kumwangalia tu!
 
Kweli nimeshasahu First Lady....Alipimwa?
Ama ndio anaenda kipimwa?
 
Amekula miguu ya kuku huyo!

Wana JF,
Naomba kuwa mkweli katika hili. Naona wazi kuwa kuna mantiki katika safari hii ya JK. Kama mwenyekiti wa AU anatakiwa kuhutubia UN, hivyo kuna umuhimu wa yeye kwenda katika mkutano huo huko USA. Na gharama za usafiri katika masuala kama haya si za Tanzania pekee yake bali ni za African Union.
JK ni binadamu kama binadamu wengine hivyo kupima na ku-check afya yake ni muhimu na ukichukulia kwamba atakuwa huko USA kikazi basi ni busara kupiga ndege wawili kwa jiwe moja.

Si vyema kulalamika kila kitu hata kwa vile vyenye mantiki.
 
Amekula miguu ya kuku huyo!

Ha ha ha haha haha ha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! long live JF, Kevo you made my day (Well I was frustrated and tired) but now it is just laughing..... ha ha ha haha ha!!!!!!!
 
credibility yetu inashuka kwa kasi sana, kama credibility ya CUF ilivyoyeyuka. tunajadili wakati mwingine upuuzi.

Mungu ibariki JF
 
Jamani, kwa nini mnasema ni upuuzi? Alikuwa Marekani lini last time? Last I checked it was 2 weeks ago? Kwa nini asingefanya timing nzuri aende wakati mmoja? Wewe huoni kama ni ubadilifu wa pesa zetu sisi walipa kodi? Aaaah! Credibility ya JF iko hapohapo, kwa kuwa waaandishi na vyombo vya habari hawataki kuongea the obvious!!! This President is wasting our money and time kwa safari zisizo na maana!
Alafu kuhusu medical check up.... kwa nini asiende pale Lugalo kufanya check up kama Muhimbili amepaona pako public sana? from what I understand Lugalo hospital imepewa funds nyingi ili iwe hospitali inayotibu vigogo na viongozi wa serikali. Sasa akafanye pale vipimo kama ni routine medical check up! If he does not trust teh staff and equipment of any hopital in Tanzania, he has to admit that our health care system is in shambles and he should something about it.
Mkuu Mwanakijiji, wewe tumwagie hapa information kuhusu maradhi ya huyu mheshimiwa maana tumechoka!
 
Heri umaskini wa mali kuliko wa fikra!

Mungu ibariki Tanzania
 
Yangu macho, nasubiri kuona 'ligi' ikiendelea maana itakuwa nyumbani na ugeni ilhali namba za kurasa zikizidi kupaa.
 
Atakuwa hapa kwa wiki mbili, pamoja na kufanya yaliyosemwa ataungana na Mama, halafu na yeye mwenyewe atakuwa kwa ajili ya Medical check up. Ana tatizo ambalo nilishadokeza siku nyingi zilizopita na sasa wakati umefika wa kulitilia mkazo, and NO siyo mdudu a.k.a ngoma a.ka umeme kama wengi walivyoaminishwa.

That exclusive from KLHN: Hadi hawa jamaa watakapojua kuwa wa wazi kuhusu afya ya Rais na kwa kadiri wanavyochelewa kuliambia Taifa sisi wengine tutajitolea kufanya hivyo.

..hivi mukulu na mkewe si walipimwa ngoma pale...mnazi mmoja wakakutwa hawana ngoma...sasa marekani wanaenda kutibiwa uuuuuuuuuuu!

maana mama alishatangulia....
 
Mambo mawili. Kikwete ni rais wetu na pia ni mwenyekiti wa AU, zote ni nyadhifa zinazompa nafasi mbalimbali za kusafiri kikazi.

La pili kwa Mwanakijiji: Kama kweli huyu mkuu wetu anaumwa kuna umuhimu gani wa kuuweka wazi ugonjwa wake, imetuathiri kiasi gani kama taifa? Au kafikia hatua ya kushindwa kutimiza wajibu wake? Sisi tunamwona anachapa kazi kama kawaida (nisiulizwe mafanikio, hayo yana utaratibu wake wa kuyapima, lakini tunamwona na kumsikia akitenda kazi). Tukianza kuchokonoana nani mwenye pumu, kifafa, gout nk hatutafika popote zaidi ya unyanyapaa usio na msingi wowote.
 
Atakuwa hapa kwa wiki mbili, pamoja na kufanya yaliyosemwa ataungana na Mama, halafu na yeye mwenyewe atakuwa kwa ajili ya Medical check up. Ana tatizo ambalo nilishadokeza siku nyingi zilizopita na sasa wakati umefika wa kulitilia mkazo, and NO siyo mdudu a.k.a ngoma a.ka umeme kama wengi walivyoaminishwa.

That exclusive from KLHN: Hadi hawa jamaa watakapojua kuwa wa wazi kuhusu afya ya Rais na kwa kadiri wanavyochelewa kuliambia Taifa sisi wengine tutajitolea kufanya hivyo.

Nakubali huyu jamaa anaumwa kwa sababu mtu mzima mwenye afya tele hawezi kusafiri kiasi hicho, kwa vyovyote vile angekuwa amechoka, lakini matibabu hatuchoki ndio maana sasa anataka kuvunja rekodi ya Marais wote waliowahi kuitembelea Marekani hata kama yeye anaenda kama mwenyekiti wa AU lakini kichaa kapewa rungu.

Sijui Nyumba ya magogoni anakaa saa ngapi kumbuka alienda Manyara katikati ya ziara ile akaenda kubeep Zimbabwe aliporudi tu anapitilza kwenda huko aendako Sijazungumzia Safari ya Dodoma kwenda kumthibiti Nape!! Du. Nafikiri sasa WaTZ tumuombee apone haraka.
 
Ahamie huko huko US bongo haimfai muungwana...Nchi amwachie Rostamu na Lowassa.

Hii ni chuki binafsi, inawahusu nini Rostam na Lowassa? Kikwete safari zake zote zina faida kubwa kwa wa Tanzania, kwa wale wenye kufikiri tu.
 
Nakubali huyu jamaa anaumwa kwa sababu mtu mzima mwenye afya tele hawezi kusafiri kiasi hicho, kwa vyovyote vile angekuwa amechoka, lakini matibabu hatuchoki ndio maana sasa anataka kuvunja rekodi ya Marais wote waliowahi kuitembelea Marekani hata kama yeye anaenda kama mwenyekiti wa AU lakini kichaa kapewa rungu.

Sijui Nyumba ya magogoni anakaa saa ngapi kumbuka alienda Manyara katikati ya ziara ile akaenda kubeep Zimbabwe aliporudi tu anapitilza kwenda huko aendako Sijazungumzia Safari ya Dodoma kwenda kumthibiti Nape!! Du. Nafikiri sasa WaTZ tumuombee apone haraka.

Na huko kote anakwenda kucheza? Au mnafikiri safari za Ki Rais zinastarehe ndani yake? ama kweli asiyejuwa maana haambiwi maana!
 
Sioni sababu ya sisi kuchonga kila mara anaposarifi, its obvious this time kuna genuine reasons kwa hii safari yake.

Nakuunga mkono ka hilo na kwa kuongezea tu, si safari hii tu, safari zote za JK zina maana kwa nchi yetu na nadhani wengi wanalijuwa hilo.
 
Nakubali huyu jamaa anaumwa kwa sababu mtu mzima mwenye afya tele hawezi kusafiri kiasi hicho, kwa vyovyote vile angekuwa amechoka, lakini matibabu hatuchoki ndio maana sasa anataka kuvunja rekodi ya Marais wote waliowahi kuitembelea Marekani hata kama yeye anaenda kama mwenyekiti wa AU lakini kichaa kapewa rungu.

Sijui Nyumba ya magogoni anakaa saa ngapi kumbuka alienda Manyara katikati ya ziara ile akaenda kubeep Zimbabwe aliporudi tu anapitilza kwenda huko aendako Sijazungumzia Safari ya Dodoma kwenda kumthibiti Nape!! Du. Nafikiri sasa WaTZ tumuombee apone haraka.

Mtu mzima mwenye afya tele ndiye mwenye uwezo wa kutimiza majukumu yake vema, yakiwamo yale yanayomtaka kusafiri. Ama ninyi mlitaka awe anakaa pale ikulu afanye kazi kwa remote control? Kumbe wapo wanaodhani tumemchagua rais ati awe "anakaa" nyumba ya magogoni? Si lazima mtu kuwa rais ndipo mtu "akae" ndani ya jengo hilo la ikulu, kule kuna wapishi, walinzi na wasaidizi kibao wote "wanakaa" huko. Kazi ya rais siyo "kukaa" ikulu, ni kutimiza majukumu ya urais popote anapohitajika, ndani ama nje ya nchi. Tumechagua rais achape kazi, siyo "kukaa ikulu"! Anastahili rais Kikwete kupewa hongera na pole kwa kazi, anachapa kazi huyu mtu. Kwa nini hatufikirii kuwa huko anakoenda anachoka kwa kuchapa kazi, badala yake watu mnawaza "matanuzi" tu, kumbe wengine mngepewa nafasi kama hiyo mngekuwa mnasafiri kwenda "kutanua" badala ya kuchapa kazi? Nimeshachoka kabisa na hizi blah blah za kuhoji kila safari anayofanya Kikwete, watu wanaendekeza ujuha na ulimbukeni, pengine hata na chuki binafsi zaidi kuliko masuala ya msingi. Upumbavu mtupu!
 
Back
Top Bottom