Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,193
- 299
According to the dataz, mkulu yuko njiani kuelekea US, akianzia NY, I mean hivi si mama alikuwa huko last week? Yaaani kweli hakuweza kushugulikia hizo itifaki mpaka na mkulu naye anaenda huko tena? Na huo utitiri anaofuatana nao nani anaulipia? Wanakwenda kufanya nini watu wote hao?
Ndugu yangu muungwana, tuoneee huruma kidogo wananchi wa Tanzania, hivi ni kweli marais wote duniani wanasafiri namna hii?
Ohhhh! Mungu Ibariki Tanzania, mwe! mwe! mwe! mweeeeeeeeeee!
FMES,
Hapa sasa naona tunashabihiana. JK ni mtu asiye na haya, haachi kututukana waTanzania kila kukicha kwa vitimbwi vyake na mkewe. Safari zake zimeshapigiwa kelele sana lakini inaelekea anaona hakuna wa kumsulubu ndio maana anafunga masikio. Ndio maana naendelea kusisitiza kuwa tuongeze makelele ya kumshinikiza aachie madaraka, kama si kwa EPA basi hata kwa matumizi mabovu ya mali ya umma na uendeshaji mbovu wa serikali, mpaka wabunge wake nao wamchoke na kumuweka kiti moto. Only CCM MPs can take him to task.