Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,243
- 44,524
yeah... mimi nadhani ni bora awe anasafiri tu nadhani ndio kazi yake kubwa na ya msingi kama Rais wa Nchi, kwani asiposafiri nchi haiendelei.
Halafu nadhani wapangiane anaanza Waziri Mkuu, Makamu wa Rais halafu Rais kutembelea nchi hiyo hiyo.. kama wanavyofanya India ambako Makamu alikuwa huko kwa karibu siku saba na sasa Rais na baadaye mwaka huu Waziri Mkuu.. nadhani yote ni katika kutumia resources zetu vizuri.