Rais Kikwete azuiliwa kuingia Denmark

Rais Kikwete azuiliwa kuingia Denmark

Kikwete anatisha!

Hata uzunguni wamemuogopa? Kuwa anaweza kuwa kichocheo cha wazungu kumpigia kura amtakae yeye.

Kwa hakika hii ni sifa kubwa sana na ni historia kama ni kweli.
 
Najiuliza na wao wakimaliza uongozi wanakujaga kuaga?

"waage" ili iweje? ni mandondocha ya kitanzania tu ndiyo yanajipendekeza kwenda kuaga. nchi hii ni kama vile inaongozwa na wendawazimu.
 
Anaacha kuwaaga wapiga kura anaaga wanyonyaji eti wamepewa jina la WAHISANI..!!
 
Du! wenzetu kumpokea mgeni nikampeni imekaavyema, ukishinda ni uwezo wako na si vinginevyo
 
Mbona Tanzania hakuna anayekuja kuaga? Wala kujitambulisha?
 
Hao ccm wanarusha matangazo Yao bure?
Je ccm ITV, star tv, Chanel 10 Na nyinginezo inapata air time Kama vyama vingine?
Hebu fafanua vizuri Mkuu, nimetaka kukujibu lakini nikahisi sijaelewe vema ulichouliza, nisije kukujibu ndivyo sivyo!
 
JK; hod humu.
Denmark; who are you?
JK; am the president of Tanzania.
Denmark; where are u going?
JK; Ha-ha-haa...(blablaa)
Denmark; be serious mr. president!!
JK;you know,..eeh.am coming to bid farewell.
Denmark; No way, we ar dealing with serious issues.come aftr three monthz.
JK; Hatuwez kuchakachua? i mean to manipulate.
Denmark; ar yo really the president of tz? We ar not of that shit busness.ok?
 
Fungeni milango anakuja....

Bwana nipe pesa
watoto wana njaa
lakini mke wako
anapenda kutangatanga
hata majirani
walichoka kumwona
wawa husema fungeni milango anakuja

Bwana nipe pesa
watoto wana njaa
lakini mke wako
anapenda kutangatanga
hata majirani
walichoka kumwona
wawa husema fungeni milango anakuja

watu wote wa Nairobi
wakuona kila siku
kuingia nyumba zote
zaachanga kali sana

tafadhali bwana rudi
watoto wanalia
sababu mke wako
ashazoea kutangatanga
sasa majirani
walichoka kumwona
wawa husema fungeni milango anakuja

maskini...

Bwana nipe pesa
watoto wana njaa
lakini mke wako
anapenda kutangatanga
hata majirani
walichoka kumwona
wawa husema fungeni milango anakuja

bwana nipe pesa
watoto wanalia
sababu mke wako
ashazoea kutangatanga
sasa majirani
walichoka kumwona
wawa husema fungeni milango anakuja

watu wote wa Mombasa
wakuona kila siku
kuingia nyumba zote
zaachanga kali sana

tafadhali bwana rudi
watoto wanalia
sababu mke wako
ashazoea kutangatanga
sasa majirani
walichoka kumwona
wawa husema fungeni milango anakuja

...by Orchestre Super Mazembe & Lo Six
 
JK; hod humu.
Denmark; who are you?
JK; am the president of Tanzania.
Denmark; where are u going?
JK; Ha-ha-haa...(blablaa)
Denmark; be serious mr. president!!
JK;you know,..eeh.am coming to bid farewell.
Denmark; No way, we ar dealing with serious issues.come aftr three monthz.
JK; Hatuwez kuchakachua? i mean to manipulate.
Denmark; ar yo really the president of tz? We ar not of that shit busness.ok?

hahahaha! nimecheka sana mkuu.
 
Huku kwetu Lowassa kanunua vyombo vya habari.kutangaza habari zake na kumsafisha.
 
nimekumbuka ule wimbo wa wakenya "watoto wanalia lakini mke wako anapenda kutanga tanga nao husema fungeni milango anakuja"
 
jk; hod humu.
Denmark; who are you?
Jk; am the president of tanzania.
Denmark; where are u going?
Jk; ha-ha-haa...(blablaa)
denmark; be serious mr. President!!
Jk;you know,..eeh.am coming to bid farewell.
Denmark; no way, we ar dealing with serious issues.come aftr three monthz.
Jk; hatuwez kuchakachua? I mean to manipulate.
Denmark; ar yo really the president of tz? We ar not of that shit busness.ok?

am advocate rweyendera per say you have to attend kisutu magistrate court, to defended your statement actually
 
JK; hod humu.
Denmark; who are you?
JK; am the president of Tanzania.
Denmark; where are u going?
JK; Ha-ha-haa...(blablaa)
Denmark; be serious mr. president!!
JK;you know,..eeh.am coming to bid farewell.
Denmark; No way, we ar dealing with serious issues.come aftr three monthz.
JK; Hatuwez kuchakachua? i mean to manipulate.
Denmark; ar yo really the president of tz? We ar not of that shit busness.ok?


Ha ha ha ha kazi kweli kweli....
 
Back
Top Bottom