Wanaboard.
Serikali ya Demark iliyoko madarakani ina wakati mgumu sana kwa walipa kodi wake na wananchi wote wa Demark kwa Ujumla.
Walijifunga mkanda ili waweze kuwasaidia watanzania kuendesha serikali yao na misaada mengineyo ga maendeleo.
Badala yake kodi zao zimetumika vinginevyo.
Hasira ya wapiga kura wa Demark ni kuona kodi yao imetumika vingenevyo. Kodi yao imetumika kwa safari za kila siku za presidential convoy America, ulaya na Asia kila kukicha. Kodi zao zinatumika kifisidi kama vile hamna serimali. Wakati waziri wao mkuu anaenda kanisani na gari la 1500cc.
Kuonekana kwa mkuu wetu kungeamsha hasira zaidi.
Inauma sana pale unapojifunga kumsaidia mtu ili aweze kula halafu mtu yule unayemsadia anatumia msaada wako kifisadi.
Ni Aibu yetu sote.
yaaani utumwa hautaisha!! yaani anaaga kwa kodi zetu..
kweli ukistajabu ya mussa uyaona ya filauni...
njooo utuage ss!!